chagu wa malundeAsipindishe maneno alishafukuzwa na Cc ilishalidhia.
CCM imewaweka wanachama wake kwenye CAGE.Katika moja ya hotuba zake muhimu kwa nchi hii wakati wa uhai wake Mwalimu Nyerere aliwahi kutoa utabiri kuwa upinzani wa dhati nchini utatoka ndani ya CCM
Kutokana na kujitokeza kwa mwanasiasa, Bernard Membe kudai kuwa amepania kuchukua fomu ya kugombea Urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu, kwa tiketi ya CCM, ndiko kunakonifanya nione kuwa utabiri wa Mwalimu Nyerere unaweza kuanza kutimia katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu..
Halmashauri kuu siyo cc.Mkutano mkuu au Cc?
Kwa hiyo kafukuzwa na mkutano mkuu au halmashauri kuu na cc ikaridhia?Asipindishe maneno alishafukuzwa na Cc ilishalidhia.
Kwa hiyo hajafukuzwa?chagu wa malunde
Wewe ni miongoni ya wale tunaowaita wa "praise & worship for Magufuli" kwa kila kitu akifanyacho, hata kama ni madudu ya dhahiri?
Hiyo hali ya kumtetemekea huyo Magu, ndiko ambako kwa ujasiri mkubwa Mheshimiwa Membe amekugomea.......CCM imewaweka wanachama wake kwenye CAGE.
Hakuna anaeweza kuishi nje ya mfumo huo unaomtegemea Mwenyekiti aka yesu mgawa pesa na vyeo.
Ndio maana hata hata wakikukata hawataki uhame.
WanaCCM hawana UHURU
View attachment 1488177
Anaota!Hiyo hali ya kumtetemekea huyo Magu, ndiko ambako kwa ujasiri mkubwa Mheshimiwa Membe amekugomea.......
Na yeye mwenyewe amesema upo umati mkubwa sana wa wanaccm ambao wapo nyuma yake
Halmashauri kuu na Cc kipi chombo cha mwisho kwa maamuzi?Halmashauri kuu siyo cc.
Cc inatoa mapendekezo tu. Katiba ya chama ndivyo inavyosema.
Ni Halmashauri kuuHalmashauri kuu na Cc kipi chombo cha mwisho kwa maamuzi?
Mkuu 'Mystery', hata mimi niliisha isikia hotuba hiyo ya Mwalimu, lakini nadhani nikaielewa tofauti na wewe ulivyoielewa.Katika moja ya hotuba zake muhimu kwa nchi hii wakati wa uhai wake Mwalimu Nyerere aliwahi kutoa utabiri kuwa upinzani wa dhati nchini utatoka ndani ya CCM
Kati ya watu ambao nashindwa kuwatabiri wapo wapi, mmoja wapo ni wewe 'Mkaruka.'CCM imewaweka wanachama wake kwenye CAGE.
Hakuna anaeweza kuishi nje ya mfumo huo unaomtegemea Mwenyekiti aka yesu mgawa pesa na vyeo.
Ndio maana hata hata wakikukata hawataki uhame.
WanaCCM hawana UHURU
View attachment 1488177
Cc ina uwezo wa kumsimamisha si kumfukuza.Halmashauri kuu na Cc kipi chombo cha mwisho kwa maamuzi?
Mimi Ni Mtu Huru Kabisa na muumini wa utu.Kati ya watu ambao nashindwa kuwatabiri wapo wapi, mmoja wapo ni wewe 'Mkaruka.'
Kama jina lako lina maana yoyote, basi nadhani hiyo ndiyo sababu.
Kachero mbobezi nahodha asiye na ramani wa upinzani tz 2020[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].
Miaka yote sijawahi kumsikia akidai tume huru, ila ndani ya miaka mitano akiwa benchi anadai tume huru. Huyu huyu alishawahi kudai 2015 akishinda urais ndoto yake ni baadhi ya watu watafute nchi za kukimbilia. Sikuwahi kumsikia 2015 akidai tume huru wala umuhimu wa tume huru.