Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aligundua kuwa ni Religious Fanatic aliyeacha kifikiri kwa kutumia kichwa chake.Rais wa kwanza Kupigwa Kofi hadharani na raia.
Pale Mzee aliteleza,Ila mpiga Kofi naye akili Hana,ule ushauri ni sawa na polisi kushauri wezi njia nzuri na salama ya kuiba,Nina Imani mzee alifanya tobaAligundua kuwa ni Religious Fanatic aliyeacha kifikiri kwa kutumia kichwa chake.
Mzee hakuteleza alituambia sisi Wananchi tutumie kinga ili kuepuka ugonjwa wa UKIMWI hata Makka na Saudia Arebia sasa wanatumia Condom.Pale Mzee aliteleza,Ila mpiga Kofi naye akili Hana,ule ushauri ni sawa na polisi kushauri wezi njia nzuri na salama ya kuiba,Nina Imani mzee alifanya toba
Alisema hivyo kwenye maulidMzee hakuteleza alituambia sisi Wananchi tutumie kinga ili kuepuka ugonjwa wa UKIMWI hata Makka na Saudia Arebia sasa wanatumia Condom.
Nakumbuka hivyo.Alisema hivyo kwenye maulid
👆👍👌👏🤝🙏1. Kupenda Dini na Kusali sana.
2. Kupenda Utani na Ucheshi.
3. Kukitukuza Kiswahili na Kujivunia Kukiongea Kiufasaha.
4. Kuridhika na Maisha aliyonayo huku akipenda sana Kula Vyakula vya Kiasili na vya kuutunza Mwili kwa muda mrefu.
5. Kupenda mno Mazoezi hasa ya Kutembea kwa Miguu kwa Umbali mrefu.
6. Huruma,, Kusamehe na kutokiwa na Kinyongo na Mtu hasa hasa Adui.
7. Kutopenda Kujitukuza kama Kiongozi na kupenda Ushirikiano na Watu na kuwa mwepesi Kushaurika na Kujifunza.
Pumzika Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Alhaji Ali Hassan Mwinyi hakika Mwendo Umeumaliza na huna baya hata kama lipo Watanzania tulishakusamehe Kitambo na Uhai wako huu mrefu ulikuwa ni Zawadi na Faraja kwetu.
Ulale mahala pema. Peponi AHM.
Hata kikwete nae alipandisha mabega?Namba 7 ni sifa yake kubwa
ni Mwinyi pekee ndie hakujaribu kupandisha mabega akiwa Amiri jeshi , marais wote watano wengine kuna nyakati walikuwa wanajisahau na kujiona kama vile hawajaumbwa kwa udongo
wote kasoro Balozi Mzee Ally Hassan MwinyiHata kikwete nae alipandisha mabega?