zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,661
- 40,890
Katiba pia inasaidia maana inaongeza uwajibikaji. Mfano Rasimu ya warionaMiafrika haina ustaarabu na hicho ndio kitu chenye kutufanya sisi tuwe tofauti na wengine na wala si suala la katiba wala nini ni kukosa kustaarabika tu, Magufuli aliwafanya watu waekeleze mambo majukumu yao kwa kumhofia yeye hadi wakamwita mungu mtu ila sasa watu wapo huru kutekeleza majukumu yao bila kutiwa hofu ila sasa angalia kinachofanyika?
Sasa hivyi full maigizo,mateso kabisa unalizimishwa mibarakoa.Usisahahau handling ya uviko 19 jamaa alisimamia anachokijua na kukiamini na taifa halikutetereka mpaka pale alipofumba macho
Ndege zipi mkuu wakati hta aligoma manunuzi yake kufanyiwa auditing!! Pia mfuko wa Rais huwa haukaguliwi so fungu likiwekwa huko no one is authorised kulifuatilia sio CAG wala FIU!!Hivi unaijua 1.5 trillions mkuu, ni ayo manunuzi ya ndege na mengineyo, ila sio kwamba kapiga zote, ni rahisi sana kulaumu
Vipi kuhusu familia ya Ben Saanane au Azory Gwanda ambayo mwendakuzimu aliwaua kikatili na kuwapoteza wasome hiyo posti yangu?Mkuu kuwa lau na chembe ya utu basi. Vp familia ya Hayati wasome hii?
Acha upuuzi weweVitendo vya kikatili ndivyo vilisaidia kufanikisha hayo yote. Ukifanya hesabu nzuri utaona manufaa yalikuwa mengi
Una uhakika na ulisemalo? Hata mie nilifanyiwa ukatili ujueAch
Aa upuuzi wewe
Angefanyiwa ukatili ndugu yako usingeandika ujinga huu
Hata ungekuwa uchaguzi wa malaika rabsha hazikosekaniVipi kuhusu familia ya Ben Saanane au Azory Gwanda ambayo mwendakuzimu aliwaua kikatili na kuwapoteza wasome hiyo posti yangu?
Vipi kuhusu famili za Zanzibar ambazo mwendakuzimu aliua watu wake pamoja na kusababishia watu wake vilema wakati wa uchaguzi mkuu wa 2020 wasome posti yangu hiyo?View attachment 1897720
Kwa hiyo unaona ilikuwa sawa kufanyiwa ukatiliUna uhakika na ulisemalo? Hata mie nilifanyiwa ukatili ujue
Kama ukatili husika ulikuwa kwa manufaa ya wengi si tumbo lakeKwa hiyo unaona ilikuwa sawa kufanyiwa ukatili
Kwani ripoti ilisema 1.5T ilinunulia ndege?
Manunuzi ya ndege yasiwe kwenye vitabu vya serikali? Halafu una maana kapiga ila “sio zote”? Umeamua kumchoma zaidi Magufuli?
Hatutaki mtu asimamie anaochokiamini na anachokijua kwa sababu kama anajua matunguri na consiparcy ni janga zaidi ya C19. Tunataka kuongozwa na Sayansi ya kisasa kama binadamu waliostaarabika.Usisahahau handling ya uviko 19 jamaa alisimamia anachokijua na kukiamini na taifa halikutetereka mpaka pale alipofumba macho
Haya, ss baki na urithi wa hao kanga.alinunua kanga.
Kuua watu tena kwa kiwango cha kutisha tena kwa kutumia majeshi ya kukodi kutoka Burundi hiyo siyo rabsha bali ni crime against humanity.Na mbaya zaidi mauaji yaliyotokea Zanzibar yana viashiria vya mauaji ya kimbari!Hata ungekuwa uchaguzi wa malaika rabsha hazikosekani
Mkuu hayo mazuri ya JPM ni yapi? Mtu anapimwa kwa vision, integrity, honesty, intelligence, cognisance na compassion. Kwa yote aliyokuwa akifanya, wapi unaona hizo elements?Ndege zipi mkuu wakati hta aligoma manunuzi yake kufanyiwa auditing!! Pia mfuko wa Rais huwa haukaguliwi so fungu likiwekwa huko no one is authorised kulifuatilia sio CAG wala FIU!!
JPM ana mazuri yake lakini tusimfanye malaika fulani kuna ujinga mwingi aliuacha uendelee ilihali alijiita mzalendo.
Hivi unawezaje ''mpangia" bajeti CAG kutoka 80B mpaka 40B!! Sasa hutaki kukaguliwa hku ni msafi??
Ndio imeshatokea sasa tufanyejeKuua watu tena kwa kiwango cha kutisha tena kwa kutumia majeshi ya kukodi kutoka Burundi hiyo siyo rabsha bali ni crime against humanity.Na mbaya zaidi mauaji yaliyotokea Zanzibar yana viashiria vya mauaji ya kimbari!
Wahusika wote waliofanya hiyo crime against humanity akiwa ni pamoja na mwendakuzimu wanatakiwa watambuliwe rasmi ili kuweka kumbukumbu za historia vizuri na walio hai washtakiwe ili walipe gharama za uovu wao waliotenda.Ndio imeshatokea sasa tufanyeje
UnajuajeTaifa halikutetereka na data zote walizuia ?Usisahahau handling ya uviko 19 jamaa alisimamia anachokijua na kukiamini na taifa halikutetereka mpaka pale alipofumba macho