Ubungo unapita haupiti? Tazara unapita hupiti? Mbezi unapita hupiti? Hospital unaenda huendi? Vyeti feki vipo havipo? Msoga gang walikuwepo au walidhibitiwa? Bwawa la umeme linajengwa au la?SGR ipo au haipo? Ni kazi ngumu sana kuongoza washenz washenz wasiojua nchi inapaswaaa kuwaje? Democrasia unaijua ww? Niambie nchi yenye democrasia hata moja duniani? Watu kama nyie ni kuwalima shaba tu pumbavuu mnatucheleweshea maendeleo..tazama sasa hv mswahil anachofanya..
 
Jitu roho mbayaa nani alikumbuke, nyie sukuma gang veepeeee, we ukitaka kujua lilikua na roho mbaya angalia hata mkewe alivyonawiri baada ya lenyewe kufwa, crap kabisa lile jamaa
 
Hatutaki mtu asimamie anaochokiamini na anachokijua kwa sababu kama anajua matunguri na consiparcy ni janga zaidi ya C19. Tunataka kuongozwa na Sayansi ya kisasa kama binadamu waliostaarabika.
Nini maana ya kustaarabika???
Sayansi ya kisasa???
So ulitaka lockdown????
Empty tin
 
Wahusika wote waliofanya hiyo crime against humanity akiwa ni pamoja na mwendakuzimu wanatakiwa watambuliwe rasmi ili kuweka kumbukumbu za historia vizuri na walio hai washtakiwe ili walipe gharama za uovu wao waliotenda.
It won't save any purpose.....
kuzimu ni swala mtambuka hatujui kama kupo au hakupo......
so relax bro usije pata stree then troke....!
 
It won't save any purpose.....
kuzimu ni swala mtambuka hatujui kama kupo au hakupo......
so relax bro usije pata stree then troke....!
Sitarelax kwa sababu yeye wakati akiwa hai hakurelax katika kuteka watu,kutesa,kuua, kufanya ukabila,udini,ukanda,ubaguzi wa rangi kwa waafrika wenzie,wateule wake kubaka na kulawiti(akina Sabaya),kunyang'anya watu haki zao za kidemokrasia,kuua uhuru wa kujieleza,kuua uhuru wa vyombo vya habari,kuua uchumi,kudanganya katika takwimu za uchumi na kadhalika.

Nitaendelea kufanya haya ninayoyafanya ili kuwakera wafuasi wake waliokuwa wanamuunga mkono kwa sababu njia za kutafuta haki dhidi ya wale waliofanyiwa maovu haya zimefungwa na mifumo laghai tuliyonayo na ambayo aliitengeneza yeye.
 
Nini maana ya kustaarabika???
Sayansi ya kisasa???
So ulitaka lockdown????
Empty tin
Nilitaka Chanjo na lile banda la nyungu pale Muhimbili liwe kuni za kukaangia mihogo.
Pia ile juice aliyokuja nayo Kabudi kutoka Madagascar wagaiwe watoto wa shule ya Msingi Uhuru Mchanganyiko.
 
Endelea utachoka mwenyewe
 
Naheshimu mawazo yako.
 
Watu kupotezwa bila kujua walipo ..kunyonga Uhuru na demekrasia .kufujuza wafanyakazi bila kuwalipa..nitamkumbuka kwa hayo jp up mengine.meeeeeeengiiiiiiii saaaaaaanaaaa
 
Watu kupotezwa bila kujua walipo ..kunyonga Uhuru na demekrasia .kufujuza wafanyakazi bila kuwalipa..nitamkumbuka kwa hayo jp up mengine.meeeeeeengiiiiiiii saaaaaaanaaaa
Kwani ndio hayo tu uliyohadithiwa kuhusu utawala wa Magufuli?
 
Lete ushahidi sio blabla..
 
Jitu roho mbayaa nani alikumbuke, nyie sukuma gang veepeeee, we ukitaka kujua lilikua na roho mbaya angalia hata mkewe alivyonawiri baada ya lenyewe kufwa, crap kabisa lile jamaa
Hujawahi kuona watu wananepa mwezi wa ramadhani na wakati mchana mzima wanashinda njaa? usipokuwa makini unaweza kusema njaa inanenepesha.
 
Shujaa wa Tanzania kwa ujumla wake. Nidhamu Serikalini, Miradi yote ya kimkakati pamoja na kuongeza Hospitali kila mahali, wachilia mbali barabara za lami kila kona. ''Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.''

Fedha ya Tanzania ikarudi kuwa na hadhi wakati wote wa uhai wake. Wale walanguzi uchwara waliokuwa wana-biashara na pesa za walipa kodi walipotea jumla.
 
Reactions: nao
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…