Magufuli anakumbukwa humu kuliko Maalim Seif, hivi sababu itakuwa ni nini?
 
Alipokuwa ziarani Kagera kuna mwanamama alikuwa anamjibu Jiwe kwa kujiamini. Jiwe akamuambia usinijibu hivyo na jioni yake akamfukuza kazi.
Hapo umeongopa kamanda! Yule mama ambaye alikuwa Mkurugenzi wa Bukoba Wilaya hakuwa anajiamini, alikuwa hajui amepelekewa kiasi gani kwa ajili ya pesa za maendeleo. Akamjibu kwamba sijui kwa kuwa nina kazi nyingi huku akichekacheka! Akakumbana na Mzee jioni yeye na mwenzake ambaye alikuwa Mkurugenzi wa Manispaa wakafutwa kazi!
 
SIJARIBIWI
 
Asante mkuu kwa masahahisho!
 
Mwafaaa!!
 
Alikuwa ni kichaa mwenye bahati
 
Hahaha ile ya kupima Corona Virus kwenye mapapai hadi leo nacheka aiseee, sijui aliwaza nini, yaani alitaka apate majibu gani?
 
Hahaha hahaha
 
Jiulize wananchi wangapi huwa wanazuru kaburi la JPM. But huko zenji ni maelfu kila siku mpka wanachota mchanga wakiamini una barka!!

Kila mtu ana impact yake duniani so never compare!!
Hizo ni issue za kimani ndio maana kuna kuna mambo ya kuchota mchanga kwenye makaburi ila mimi sija compare katika huo upande.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…