Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Magufuli anakumbukwa humu kuliko Maalim Seif, hivi sababu itakuwa ni nini?
9%20(1).jpg
 
Alipokuwa ziarani Kagera kuna mwanamama alikuwa anamjibu Jiwe kwa kujiamini. Jiwe akamuambia usinijibu hivyo na jioni yake akamfukuza kazi.
Hapo umeongopa kamanda! Yule mama ambaye alikuwa Mkurugenzi wa Bukoba Wilaya hakuwa anajiamini, alikuwa hajui amepelekewa kiasi gani kwa ajili ya pesa za maendeleo. Akamjibu kwamba sijui kwa kuwa nina kazi nyingi huku akichekacheka! Akakumbana na Mzee jioni yeye na mwenzake ambaye alikuwa Mkurugenzi wa Manispaa wakafutwa kazi!
 
Yule Mwamba ndio ulikuwa unaona tafsiri sahihi ya kiongozi wa Dola, No kuyumbishwa na pumbavu hizi...

Anawatingisha na kuwachekecha halafu machuma yanawashwa mapumzikoni Chato via ziarani vijiji vyote vya njiani humo....machuma yakianza kurudi tu kutoka Chato watu wanakaa sawa wanajua Mwanamume anarudi sasa.... Ile ndio ilikuwa Dola....no fyoko fyoko.....

Sasahivi filimbi na miruzi imeanza kila kona kila mtu amekuwa kambale..
SIJARIBIWI
 
Hapo umeongopa kamanda! Yule mama ambaye alikuwa Mkurugenzi wa Bukoba Wilaya hakuwa anajiamini, alikuwa hajui amepelekewa kiasi gani kwa ajili ya pesa za maendeleo. Akamjibu kwamba sijui kwa kuwa nina kazi nyingi huku akichekacheka! Akakumbana na Mzee jioni yeye na mwenzake ambaye alikuwa Mkurugenzi wa Manispaa wakafutwa kazi!
Asante mkuu kwa masahahisho!
 
Inakuwaje wanaJF!

Kuna siku akiwa ziarani Kanda ya ziwa wananchi waliusimamisha msafara wake na kumueleza shida na kero zao. Wengine walisikika wakimlilia baba tuna njaa babaa tusaidie njaa inatuua. Jiwe akawa jibu mnataka nije huko makwenu niwapikie? Fanyeni kazi! Nikikumbukaga hiyo kauli huwa nachekaga sana.

Mwana licha ya kuwa katili sometimes alikuwaga na sense of humor.

Pumzika mwana!
Mwafaaa!!
 
Alikuwa ni kichaa mwenye bahati
 
Hahaha ile ya kupima Corona Virus kwenye mapapai hadi leo nacheka aiseee, sijui aliwaza nini, yaani alitaka apate majibu gani?
 
Aisee Mwendazake alikuwa na majibu ya vijiweni mno utadhani sio mkuu wa nchi!
Hebu cheki haya majibu ya kutatanisha:
1.Wakati akiwa Tanga kuzindua ujenzi wa bomba la mafuta 2018, watumishi na kama sikosei walimu walimuandikia bango la shuka wakiomba nyongeza ya mishahara, waliambiwa hilo shuka kamtandikie mke wako! Mtumishi anayeona kazi ya serikali hailipi aache kazi akalime!

2.Akiwa katika mkutao wa kampeni wa kusaka mitano tena aliyoitumikia kwa miezi 3, Mama mmoja aliyekuwa a kero za muda mrefu alijitokeza kutaka kuomba msaada kwa Rais, kabla Mwanamama hajaongea chochote akaambiwa wewe mama ondoka hapa usinivurugie mkutano wangu, hayo matatizo yako kamueleze mume wako si unae!?....
Hahaha hahaha
 
Jiulize wananchi wangapi huwa wanazuru kaburi la JPM. But huko zenji ni maelfu kila siku mpka wanachota mchanga wakiamini una barka!!

Kila mtu ana impact yake duniani so never compare!!
Hizo ni issue za kimani ndio maana kuna kuna mambo ya kuchota mchanga kwenye makaburi ila mimi sija compare katika huo upande.
 
Back
Top Bottom