Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kweli asee nchi imezubaa mnoo [emoji2]...chuma is no more [emoji26]Now nchi imezubaa hakuna amsha amsha. Mdebwedo kwenda mbele
Mbavu zangu jamani hayo majibu mengine unawezajikuta unacheka pekeako kila ukikumbuka!Alisema nyonyo moja la sidiria linatosha kushona barakoa.
Hapo umeongopa kamanda! Yule mama ambaye alikuwa Mkurugenzi wa Bukoba Wilaya hakuwa anajiamini, alikuwa hajui amepelekewa kiasi gani kwa ajili ya pesa za maendeleo. Akamjibu kwamba sijui kwa kuwa nina kazi nyingi huku akichekacheka! Akakumbana na Mzee jioni yeye na mwenzake ambaye alikuwa Mkurugenzi wa Manispaa wakafutwa kazi!Alipokuwa ziarani Kagera kuna mwanamama alikuwa anamjibu Jiwe kwa kujiamini. Jiwe akamuambia usinijibu hivyo na jioni yake akamfukuza kazi.
SIJARIBIWIYule Mwamba ndio ulikuwa unaona tafsiri sahihi ya kiongozi wa Dola, No kuyumbishwa na pumbavu hizi...
Anawatingisha na kuwachekecha halafu machuma yanawashwa mapumzikoni Chato via ziarani vijiji vyote vya njiani humo....machuma yakianza kurudi tu kutoka Chato watu wanakaa sawa wanajua Mwanamume anarudi sasa.... Ile ndio ilikuwa Dola....no fyoko fyoko.....
Sasahivi filimbi na miruzi imeanza kila kona kila mtu amekuwa kambale..
Asante mkuu kwa masahahisho!Hapo umeongopa kamanda! Yule mama ambaye alikuwa Mkurugenzi wa Bukoba Wilaya hakuwa anajiamini, alikuwa hajui amepelekewa kiasi gani kwa ajili ya pesa za maendeleo. Akamjibu kwamba sijui kwa kuwa nina kazi nyingi huku akichekacheka! Akakumbana na Mzee jioni yeye na mwenzake ambaye alikuwa Mkurugenzi wa Manispaa wakafutwa kazi!
Nimecheka mpaka watu wananishangaa hapaKuna njemba stand ya Mbezi ilidai gharama za choo ziko juu akaambiwa abane mbolea yake mpaka nyumbani
Mwafaaa!!Inakuwaje wanaJF!
Kuna siku akiwa ziarani Kanda ya ziwa wananchi waliusimamisha msafara wake na kumueleza shida na kero zao. Wengine walisikika wakimlilia baba tuna njaa babaa tusaidie njaa inatuua. Jiwe akawa jibu mnataka nije huko makwenu niwapikie? Fanyeni kazi! Nikikumbukaga hiyo kauli huwa nachekaga sana.
Mwana licha ya kuwa katili sometimes alikuwaga na sense of humor.
Pumzika mwana!
Indeed, kupambana na marehemu ni kukosa akiliNilikuwa simpendi dikteta Ila tumuache apumzikee mwendo kashaumaliza.
Kupambana na marehemu ni udhaifu.
Alikuwa ni kichaa mwenye bahatiInakuwaje wanaJF!
Kuna siku akiwa ziarani Kanda ya ziwa wananchi waliusimamisha msafara wake na kumueleza shida na kero zao. Wengine walisikika wakimlilia baba tuna njaa babaa tusaidie njaa inatuua. Jiwe akawa jibu mnataka nije huko makwenu niwapikie? Fanyeni kazi! Nikikumbukaga hiyo kauli huwa nachekaga sana.
Mwana licha ya kuwa katili sometimes alikuwaga na sense of humor.
Pumzika mwana!
Safi kabisa!Kuna waliomlelekea mabango ya kero zao, akawaambia wayatandike walalie na wake zao.
Jiulize wananchi wangapi huwa wanazuru kaburi la JPM. But huko zenji ni maelfu kila siku mpka wanachota mchanga wakiamini una barka!!Magufuli anakumbukwa humu kuliko Maalim Seif, hivi sababu itakuwa ni nini? View attachment 1999551
Hahaha ile ya kupima Corona Virus kwenye mapapai hadi leo nacheka aiseee, sijui aliwaza nini, yaani alitaka apate majibu gani?Inakuwaje wanaJF!
Kuna siku akiwa ziarani Kanda ya ziwa wananchi waliusimamisha msafara wake na kumueleza shida na kero zao. Wengine walisikika wakimlilia baba tuna njaa babaa tusaidie njaa inatuua. Jiwe akawa jibu mnataka nije huko makwenu niwapikie? Fanyeni kazi! Nikikumbukaga hiyo kauli huwa nachekaga sana.
Mwana licha ya kuwa katili sometimes alikuwaga na sense of humor.
Pumzika mwana!
Yaani wewe mpuuzi unajiona umeyapatia maishaaaaa, ukute huna hata mia basi tu suhabiki maandaziSafi kabisa!
Maana mitz ukiizoesha kuna siku itakuletea bango eti mmewe jogoo hapandi mtungi
Hahaha hahahaAisee Mwendazake alikuwa na majibu ya vijiweni mno utadhani sio mkuu wa nchi!
Hebu cheki haya majibu ya kutatanisha:
1.Wakati akiwa Tanga kuzindua ujenzi wa bomba la mafuta 2018, watumishi na kama sikosei walimu walimuandikia bango la shuka wakiomba nyongeza ya mishahara, waliambiwa hilo shuka kamtandikie mke wako! Mtumishi anayeona kazi ya serikali hailipi aache kazi akalime!
2.Akiwa katika mkutao wa kampeni wa kusaka mitano tena aliyoitumikia kwa miezi 3, Mama mmoja aliyekuwa a kero za muda mrefu alijitokeza kutaka kuomba msaada kwa Rais, kabla Mwanamama hajaongea chochote akaambiwa wewe mama ondoka hapa usinivurugie mkutano wangu, hayo matatizo yako kamueleze mume wako si unae!?....
Manka acha kupanic!Yaani wewe mpuuzi unajiona umeyapatia maishaaaaa, ukute huna hata mia basi tu suhabiki maandazi
Hizo ni issue za kimani ndio maana kuna kuna mambo ya kuchota mchanga kwenye makaburi ila mimi sija compare katika huo upande.Jiulize wananchi wangapi huwa wanazuru kaburi la JPM. But huko zenji ni maelfu kila siku mpka wanachota mchanga wakiamini una barka!!
Kila mtu ana impact yake duniani so never compare!!