Unazungumzia ule wa chato? Kama ni terminal 3 ya Jk Nyerere nakusanua kuwa ujenzi wake ulianza awamu ya Kikwete.
Mshamba huyo anajua wapi? Halafu WiFi ya airport ipo miaka kibao ukishacheck in kule unaipata free tu miaka kibao mshamba ashazoea kupanda punda anataka tujue amepanda ndege kwa mara ya kwanza maana mtu aliyezoea hivyo vitu vipo miaka mingi tu.

Mshamba wahedi. Halafu airport kajenga Kikwete sio huyo Magufuli wenu. Tena alisimamisha ujenzi alipoingia takribani miezi saba. Ushamba tu chukua manati ukawinde kware pumbavu.
 
Ukichaa ukonao dhahiri kapimwe
 
Jizi, jambazi, liuaji, roho mbaya, liehu. Mungu uhimidiwe kwa matendo yako makuu
 
Hakuna uwanja wa ndege alojenga yule kiumbe zaidi ya wa Chattle!!mwacheni apambane na moto wake huko!
 
Mfufueni basi
 
Unavyosema kuwa hakutakuja kutokea Rais kama Magufuli maana yake ni kwamba umekudharau kizazi chako cha sasa na cha baadaye.
Kwakweli nilipumzika kumkashifu huyo marehemu nikamwacha atumikie adhabu zake za kuzimu ila wewe umeniamsha.
Magufuli ni mshenzi sana kama washenzi wengine waliowahi kutokea duniani.
Haiwezekani umuue Raia mwenzako ili kulinda kit chako kwa kisingizio cha unapigana vita ya kiuchumi.
Yule mzee ni jehanamu direct, hata kauli yake ya mwisho kabla hajakata roho ni ya kipumbavu iliyojaa ujinga , ni dhahiri kifo kilimpata kama mtego umnasavyo paa.
 
Wapigaji hela wanaanzishaga miradi mingi , wanakula hela, miradi haiishi. MAGUFULI alisimamia miradi mingi iishe. Na ni kweli airport mpya ya dar iko na hadhi ya kimataifa.
 
Utakufa na migundi gundi ya roho ulio nayo hivyo...

He will always be remembered as the best president to happen in Tanzania japo ametumikia kwa muda mchache. Waliomuua nao ni swala la muda tu watauana wao kwa wao!
 
Wapigaji hela wanaanzishaga miradi mingi , wanakula hela, miradi haiishi. MAGUFULI alisimamia miradi mingi iishe. Na ni kweli airport mpya ya dar iko na hadhi ya kimataifa.
Yeah umeongea kweli kabisa mkuu!

Enzi za mkwere miradi mingi ilianzishwaga ili watu wavune hela tu. Ila pia Magufuli alikuwa waziri wa ujenzi kwa hio alikuwa na influence kwa namna moja ama nyengine. Alipoingia uraisi akakomaa yote itekelezeke kwa haraka na kuharibia watu mifumo ya udokozi hapo ndipo tabu ilipoanzia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…