Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
DuuuhhhYeah umeongea kweli kabisa mkuu!
Enzi za mkwere miradi mingi ilianzishwaga ili watu wavune hela tu. Ila pia Magufuli alikuwa waziri wa ujenzi kwa hio alikuwa na influence kwa namna moja ama nyengine. Alipoingia uraisi akakomaa yote itekelezeke kwa haraka na kuharibia watu mifumo ya udokozi hapo ndipo tabu ilipoanzia.
He is no more.Utakufa na migundi gundi ya roho ulio nayo hivyo...
He will always be remembered as the best president to happen in Tanzania japo ametumikia kwa muda mchache. Waliomuua nao ni swala la muda tu watauana wao kwa wao!
Asingewaumiza Msoga Camp still angeendelea kudumu licha ya magumu yote.Duuuhhh
Ahhahahha utabakia hivyo hivyoHe is no more.
Kila aliyeshabikia umwagaji damu wa yule mzee atamfuata.
Nakuambia kuwa utaniacha naperuzi jf kipindi hicho ushaoza.
Kwa hili sina mashaka
"Ku clash na msoga maana take unapigana na chama cha mapinduzi which is a mostly deadly fighting"Asingewaumiza Msoga Camp still angeendelea kudumu licha ya magumu yote.
Ila hizi akili za Mkwere za kutaka kumchopeka February Marope na mwanae Rizimoko Mkwere ili wafanye mambo ya hovyo alizikataaga. Kumkamata wife wa Mkwere na kumuhenyesha alipomdaka na cargo bandarini😅 hizi ni miongoni mwa pigo ambazo mkwere hakupenda.
Kosa la marehem Magu ni ku clash na Msoga Empire tu! Aliukataa mfumo wa mkwere wa kupanga safu ya udokozi😅
The worst battle ever mzee, na alijua tu kuwa hatoboi ndio maana alikuwa anajihami kwa kauli zile mapema. Alijulipua kuwa scape goat tu"Ku clash na msoga maana take unapigana na chama cha mapinduzi which is a mostly deadly fighting"
Bila picha ya huo uwanja wa ndege wa chato, hii story hainogi.....WiFi kila sehem mazingira yanavutia kwa mbali unasikika mziki mzuri kutoka kwa Ed sheeran, I found a love, to carry more than just my secrets, To carry love, to carry children of our own 🎶🎶
Anyways, hakuna rais atakuja kutokea kama magufuli. Tukisema hivi kuna watu wanaona wivu. Nyie oneni wivu tu ila huo ndo ukweli.
Mbona hiyo kauli ilikuwepo tu hata enzi za mwendazake, sabaya, makondya, slowslow, dotto na wengine kibao tu mbona waliitumia sana hiyo kauli mzee. Kweli haon kundule, ni kauli hatofutika kibinadam hata aje rais wa namna ganiNAANDIKA HIVI ILI MODERATORS MSINIBLOCJ......
Sysyemu mara zote ni wapuuzy mlioshindwa na mtajuta milele...
NADHANI WACHAWI HAMTANILOGA NIFUNGIWE... naskia ili kauli 'unanijua mimi nani wewe' ETI IMERUDI MTAANI
...
Kama kuna mtu wa kukumbukwa daima Tanzania ni Magufuli kwa mema aliyolitendea taifa.Huwa namuwaza Sana Raisi wangu mpendwa JPM!
MUNGU amlaze mahali pema
Alipokuwa mtoto bwana Yule wa Yerusalemu alinusurika kuuwawa!
Hayo yalimfika JPM, ingawa yeye si wakati angali mtoto!
Bwana yule wa Yerusalemu aliishi maisha ya watu wanyonge, ooh ni sawasawa na ndugu yetu JPM
Alipoanza kazi bwana yule wa Yerusalemu alikemea uonevu kwa wanyonge, na tabaka la Wala Nchi halikumpenda,,
Alichukiwa pia na serikali ya kibeberu ya Rumi.!!
Raia weengi wa Taifa lile, hususani wanyonge walimpenda
Duuh yaani vivyo hivyo kwa Magufuli.
Bwana wa Yerusalemu alizunguka kila mkoa wa Israel kufundisha na kutatua matatizo mengi ya wenye shida.
Hii ndio kazi aliyoamini comrade Magufuli!
Alipambana na wafanya biashara haramu hekaluni na akaharibu biashara zao, walimchukia kwa tendo Hilo, hivyo walikuwa miongoni mwa walioshangilia kifo chake baadae!
Sote tunakumbuka wafanyabiashara haramu walivyofunga biashara zao huku wanamtukana JPM, na baadae kusherehekea kifo Cha Magufuli.
Bwana yule aliuwawa kule Yerusalemu,
Bado Raia wanajiuliza Hadi Leo the real cause of death of JPM the hero!
Baada ya kifo chake Bwana wa Yerusalemu, wafuasi wake waliishi kwa mahangaiko na wengi wao waliuwawa na serikali ya kibeberu ya Rumi ktk kuhakikisha Legacy ya bwana yule haidumu!!
Leo kauli mbiu ni chama kimerudi kwa wenyewe, Vita ya wahuni na viroboto!
Hakika ukweli utabaki kuwa wahuni wanashinda!!
Nenda JPM, raia wengi walikupenda!
Watakukumbuka daima
RelaxKatika hari ambayo baadhi ya watu hawatarajii kuiona ni hii ya kuendelea kukumbukwa kwa Hayati Magufuli.
Inabidi sasa watawala wachutame ili kupata uungwaji mkono na wapiga kura walio wengi.
Juzi pale Magomeni Kota alikumbukwa.
Leo Ikulu pia amekumbukwa na wamachinga, Rais Samia aliamuru wasimame kwa dakika Moja ili kumkumbuka.
Wakati wa kusaini mikataba ya Madini alikumbukwa pia.
R.I.P Jembe/Chuma/Jiwe. Ulale salama Hayati Magufuli.
Tutakuenzi hadi miradi yote ikamilike.
Oil chafu haichafuki..Katika hari ambayo baadhi ya watu hawatarajii kuiona ni hii ya kuendelea kukumbukwa kwa Hayati Magufuli.
Inabidi sasa watawala wachutame ili kupata uungwaji mkono na wapiga kura walio wengi.
Juzi pale Magomeni Kota alikumbukwa.
Leo Ikulu pia amekumbukwa na wamachinga, Rais Samia aliamuru wasimame kwa dakika Moja ili kumkumbuka.
Wakati wa kusaini mikataba ya Madini alikumbukwa pia.
R.I.P Jembe/Chuma/Jiwe. Ulale salama Hayati Magufuli.
Tutakuenzi hadi miradi yote ikamilike.