Magufuli alikuwa mwamba kweli kweli. Ameifanyia mema mengi hii nchi na uzuri yapo wazi sio ya kutafuta.
 
Kwani hela zilikuwa za serikali au za Magufuli??

Halafu watanzania, tunashabikia nchi kufanya biashara, hiyo MV Mwanza kama mradi wa serikali hapo ujue hamna kitu hapo, ni hasara tupu.. Serikali haijawahi kufanya biashara yenye faida
 
Zile pesa walizoiba za plea bargain na kuzificha China, zingeweza kujenga meli nyingine kama hiyo
Kuwa makini, Marope, Mchumi wa tozo na genge lao unajua wameiba bei gani mpaka sasa? Zingeweza kutanua barabara ya Dar-Arusha kwa njia 2 zaidi huku wakitenganisha wanaoenda na wanaorudi. Mbona husemi
 
Zile pesa walizoiba za plea bargain na kuzificha China, zingeweza kujenga meli nyingine kama hiyo
Hizo pesa za tozo walizotupiga wanasingizia Plea bargain. Magufuli hachafuki hata mfanyeje na bwawa la Nyerere likianza kazi sijui mtaweka wapi makalio yenu.
 
Watu wanaokoteza Point za kutafuta ili achafuke ila kila ukipita Ubungo au Tazara kuelekea Airport roho inakusuta. 🤣🤣🤣
Hivyo vitu vidogo sana, kama ingepigwa high way mpaka airport hapo tungesema yes, lakini siyo kadaraja uchwara kale. Sisi kama Taifa tutajenga vingine bora zaidi.

By the way kadaraja kale ka Tazara ni mradi wa Awamu ya nne ila ujenzi ulikamilika ktk awamu yake
 
Mood mbona mnauunganisha uzi wangu?, kwa nini mnaleta ubaguzi wa kimsimamo,.? Kama mnataka nyuuzi za kumtukana tu magufuli na kuisifu chadema,mseme,moods mnageuka kuwa wapinzani wa wanachama wenu?
 
Acha upumbavu, usituongelee wa Tz
 
Hizo pesa za tozo walizotupiga wanasingizia Plea bargain. Magufuli hachafuki hata mfanyeje na bwawa la Nyerere likianza kazi sijui mtaweka wapi makalio yenu.
Kenge mpaka damu zimtoke. Yule raia alikuwa jizi
 
KWA KUUA WATU BILA HATIA KAMA IDD AMIN
 
https://www.facebook.com/
 
Sijawahi jutia kuwa na RAISI JOHN POMBE MAGUFURI.

#nidhamu

Kila kiongoz na zama zake na wafaidika wake.

Enzi zake hakuna ofisi ya umma ambayo ukiingia unachukuliwa poa poa

Kwa saizi aisee karibu sana MBEYA WILAYA YA RUNGWE.
 
Wanajamvi habari za leo. Bila kupoteza muda nikite kwenye mada husika

Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza JPM hata wale uliyo waamini sana hawa kukumbuki tena Nahili limethibitika leo kwenye hafla ya kushushwa kwa meli ya mv mwanza

Ni ukweli usiyo pingika kuwa muasisi wa mchakato wa ujenzi wa meli mpya ni JPM hvyo pamoja nakuwa tayari katangulia mbele ya haki nilitegemea walau jina lake litajwe malanyingi zaidi kwenye uzinduzi huu

ili hata vizazi vijavyo vitambuwe kuwa kulikuwa na mzalendo jasili na mwenye uthubutu

lakini kwa bahati mbaya leo hata sikumbuki kama jina lake limetendewa haki

Kwa wale mliofatiria mubashala mnikumbushe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…