johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Imekuingia kunako!Another widow in pain..
π mwanasiasa Bila Kiki hufiki popoteAlipenda kiki kuliko hata Gigi Money, kujiona kila saa ana trend mtandaoni
Alitisha sana yule MwambaMara juu ya mawe mara anakunywa kahawa ferry mara anakunywa dafu
USSR
Mno mno watakuja wapaka MV sasaYaani Shujaa Magufuli alikuwa Mtu wa kujichanganya sana na raia wa kawaida ndio sababu atapendwa hadi mtondogoo
Kila nikikumbuka Swaga zake za kula samaki wa kukaanga ferry na kunywa kahawa vijiweni nasema hakika Mwamba alikuwa Mtu wa Watu
Naona Tundu Lisu naye anaigaiga pale Nkasi na yeye alikabidhiwa jogoo na Aida
RIP Shujaa Magufuli
Sugu pale Mbeya aling'ang'ania atumie mic ya Shujaa, Usalama wakazuia Shujaa akasema " mwacheni tena nasema apande hapa Kwenye Gari yangu asalimie Wananchi wake"Mno mno watakuja wapaka MV sasa
Hakunaga kama yule Mwamba ππmara ana-brush viatu chatiah !!
Sasa,hizo ni swaga au unyalukwale?ππππYaani Shujaa Magufuli alikuwa Mtu wa kujichanganya sana na raia wa kawaida ndio sababu atapendwa hadi mtondogoo
Kila nikikumbuka Swaga zake za kula samaki wa kukaanga ferry na kunywa kahawa vijiweni nasema hakika Mwamba alikuwa Mtu wa Watu
Naona Tundu Lisu naye anaigaiga pale Nkasi na yeye alikabidhiwa jogoo na Aida
RIP Shujaa Magufuli
YulΓ« alizidiπ mwanasiasa Bila Kiki hufiki popote
Kwa kifupi nchi aliipa vibe la kutosha! Watu walichangamka! Sasa hivi pamepooza hadi tunasinzia!Yaani Shujaa Magufuli alikuwa Mtu wa kujichanganya sana na raia wa kawaida ndio sababu atapendwa hadi mtondogoo
Kila nikikumbuka Swaga zake za kula samaki wa kukaanga ferry na kunywa kahawa vijiweni nasema hakika Mwamba alikuwa Mtu wa Watu
Naona Tundu Lisu naye anaigaiga pale Nkasi na yeye alikabidhiwa jogoo na Aida
RIP Shujaa Magufuli
Watu wanakwenda na midundo bhana ndio sababu US wanamtaka TrumpπSasa,hizo ni swaga au unyalukwale?ππππ
Haahaahaahaaa mbavu zangu mimi jamani...Sasa,hizo ni swaga au unyalukwale?ππππ
Kusimama kwa ghafla kwenye gari na kupunga mkono nayo ilikuwa "the real swagger of the fvckin times"!ππππWatu wanakwenda na midundo bhana ndio sababu US wanamtaka Trumpπ
Zile Swaga zake hata Mfumuko wa Bei unausahau!Kwa kifupi nchi il
Kwa kifupi nchi aliipa vibe la kutosha! Watu walichangamka! Sasa hivi pamepooza hadi tunasinzia!
Zishikilieπ€£π€£Haahaahaahaaa mbavu zangu mimi jamani...
Spare my ribs jamani .dah...unazisnitch vibes za mzee wa Legasi!?Kusimama kwa ghafla kwenye gari na kupunga mkono nayo ilikuwa "the real swagger of the fvckin times"!ππππ
The comical Magu!πππZile Swaga zake hata Mfumuko wa Bei unausahau!
Hapo sijazigusa "regase"!Nikizigusa tu zitakuwa "intaplinywaa"!ππππSpare my ribs jamani .dah...unazisnitch vibes za mzee wa Legasi!?