MAPITO Mwanza
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 4,236
- 5,907
Wengine ni hulka zaoKiongozi unafikia kuingia uwanjani kucheza kibao kata ili kumfurahisha mteule?
Mawaziri walifikia kuamini kuwa ili uendelee kuwa na nafasi yako basi lazima ufanye matendo ya hovyo ili mradi Jiwe afurahi.
Kama taifa tulikwama na hatukujua nini kesho yetu .
Mtazame kiongozi wa ngazi ya uwaziri anacheza mbele ya Jiwe ili alinde teuzi yake.
View attachment 2549998
Nikweli mkuu
Hiyo inaitwa kupatwa kwa nchi.Kilikua kipindi Cha wajinga kutuongoza
Kutokana na hofu kuu huyo bwana ndio alianzisha mambo ya sijui Tanzania ya Magufuli Sasa ni Tanzania ya Samia,Rais ametoa pesa,uchawa.kwa jina la mataga,kujipendekeza na kuabudu watu huku maprofesa wakiweka akili tumboni 😀😀Kiongozi unafikia kuingia uwanjani kucheza kibao kata ili kumfurahisha mteule?
Mawaziri walifikia kuamini kuwa ili uendelee kuwa na nafasi yako basi lazima ufanye matendo ya hovyo ili mradi Jiwe afurahi.
Kama taifa tulikwama na hatukujua nini kesho yetu .
Mtazame kiongozi wa ngazi ya uwaziri anacheza mbele ya Jiwe ili alinde teuzi yake.
View attachment 2549998
Umesema vema. Kwa kawaida watu wa chini ya mtawala au wasaidizi hufanya yale ambayo wanaamini mkubwa wao anayataka.Sioni kama hilo ni tatizo la kiongozi, tatizo ni hao mawaziri walio tayari kufanya lolote kutetea matumbo yao, kwani nani ana hakika kama hao mawaziri wameacha hizo tabia zao?
Kinachotufanya tuone wameacha ni kwasababu huyu aliyepo hataki hayo mambo, lakini kama ikitokea siku akayataka, basi hao wakata viuno wapo tayari.
Asante sana mkuu kwa ufafanuzi mzuri usio na upendeleo wa upande wa kisiasa.Umesema vema. Kwa kawaida watu wa chini ya mtawala au wasaidizi hufanya yale ambayo wanaamini mkubwa wao anayataka.
Ukitaka kujua tabia za kiongozi mkuu, tazama tabia za wasaidizi wake. Ukiona polisi ni katili, wanaua raia hovyo, ujue hiyo ndiyo tabia ya Rais ambaye yupo madarakani. Kama Rais siyo katili, siyo muuaji, Polisi wakiua raia, haipiti muda, kuna Polisi watakuwa ndani, na hayo mambo yatakoma mara moja.
Sijui ni kwanini aliamua kujitoa akili na kuamua kujishusha kiasi kile.Kutokana na hofu kuu huyo bwana ndio alianzisha mambo ya sijui Tanzania ya Magufuli Sasa ni Tanzania ya Samia,Rais ametoa pesa,uchawa.kwa jina la mataga,kujipendekeza na kuabudu watu huku maprofesa wakiweka akili tumboni [emoji3][emoji3]
Hovyo kabisa yule dingi
Eti anachapa kazi Ili Mbinguni akawe Kiongozi wa malaika 😁😁Sijui ni kwanini aliamua kujitoa akili na kuamua kujishusha kiasi kile.
Lkn nashukuru kwa sasa angalau watu wa kujikomba hadharani wamepungua ingawa bado kuna watu wameamua kujiita CHAWA.
Bado unaweweseka ukimkumbuka mwamba wa Africa? Kiki zenu za kumchafua kumbe Bado unazikumbuka. Jpm HAWEZI chafuliwa na hizi Hila zako pekeakoo.Kiongozi unafikia kuingia uwanjani kucheza kibao kata ili kumfurahisha mteule?
Mawaziri walifikia kuamini kuwa ili uendelee kuwa na nafasi yako basi lazima ufanye matendo ya hovyo ili mradi Jiwe afurahi.
Kama taifa tulikwama na hatukujua nini kesho yetu .
Mtazame kiongozi wa ngazi ya uwaziri anacheza mbele ya Jiwe ili alinde teuzi yake.
View attachment 2549998
Ujinga mzigo' unadhani stress zitaondokaje bila kuwa na furaha kama hiyo?Kiongozi unafikia kuingia uwanjani kucheza kibao kata ili kumfurahisha mteule?
Mawaziri walifikia kuamini kuwa ili uendelee kuwa na nafasi yako basi lazima ufanye matendo ya hovyo ili mradi Jiwe afurahi.
Kama taifa tulikwama na hatukujua nini kesho yetu .
Mtazame kiongozi wa ngazi ya uwaziri anacheza mbele ya Jiwe ili alinde teuzi yake.
View attachment 2549998
Umesahau alipoishia? au maridhiano yanakupa amnesia.Kiongozi unafikia kuingia uwanjani kucheza kibao kata ili kumfurahisha mteule?
Mawaziri walifikia kuamini kuwa ili uendelee kuwa na nafasi yako basi lazima ufanye matendo ya hovyo ili mradi Jiwe afurahi.
Kama taifa tulikwama na hatukujua nini kesho yetu .
Mtazame kiongozi wa ngazi ya uwaziri anacheza mbele ya Jiwe ili alinde teuzi yake.
View attachment 2549998
Kama hamtaki nendeni Burundi! Lini ulisikia inakemewa? Nyie jadilini uganga wa kienyeji lini ukisikia inakemewa?Kama huyo kiongozi asingekuwa anapendezwa na hayo yanayo fanyika angewakataza kabisa wasaidizi wake kuyafanya.
Mtoto umleavyo ndiyo akuavyo hivyo huwezi kumtenganisha mteuzi wao na matendo ya hao
Hayo utajua wewe chawa wa jiweUmesahau alipoishia? au maridhiano yanakupa amnesia.
Hayo ndiyo mapungufu ya viongozi wetu ambayo kwa umoja wetu sisi kama watanzania tunatakiwa kuyakemea.Kama hamtaki nendeni Burundi! Lini ulisikia inakemewa? Nyie jadilini uganga wa kienyeji lini ukisikia inakemewa?
Kiongozi unafikia kuingia uwanjani kucheza kibao kata ili kumfurahisha mteule?
Mawaziri walifikia kuamini kuwa ili uendelee kuwa na nafasi yako basi lazima ufanye matendo ya hovyo ili mradi Jiwe afurahi.
Kama taifa tulikwama na hatukujua nini kesho yetu .
Mtazame kiongozi wa ngazi ya uwaziri anacheza mbele ya Jiwe ili alinde teuzi yake.
View attachment 2549998
Stress zipi hizo ?Ujinga mzigo' unadhani stress zitaondokaje bila kuwa na furaha kama hiyo?
Aibu tupu ilikuwa imetuzungukaAnacheza Kibao kata??!!--- hayo ni matokeo ya uongozi mbovu wa jiwe, alikuwa anaipeleka hii nchi pabaya sana, The coat of presidency was unfit for him.
Mzee hiyo inaitwa Fraha baada ya kazi ,huwezi kupata maisha poa ya viongozi kama wakati wa mzee JPM,wanafanya kwa kujituma na na heshima uku uzalendo mbele hata kama hautaki .Kiongozi unafikia kuingia uwanjani kucheza kibao kata ili kumfurahisha mteule?