Ngoja tuone hayo Maridhiano ya Mbowe na Wassira yatakapoishia

🤩🤩 Simon aliambiwa " Juu ya Mwamba Huu nitalijenga Kanisa langu"

Baada ya Kanisa kujengwa Simon Petro hakuwa Mwamba tena alirudia Uvuvi wa saladini 🤩🤩

RA ni fundi Afrika Mashariki 😅😅
 
Wewe umesoma Biblia Kinyumenyume. Kwa ivo Kanisa lilijengwa wakati gani Juu ya Petro na wakati Gani Petro aliruidia uvuvi!!?? 🙁 🙁
 
Ni mda sasa nnachoona Ni machawa wanakua wengi kupita kawaida na kauli mbiu yao ya "anaupiga mwingi" alaf sielewi Ni kwenye nini. Ni upuuzi wa kiwango cha flyover....ivi... Are they even real people!?
Kama ni kipofu mpaka kwenye ubongo hamna namna unaweza kujua Samia anaupiga vipi mwingi.

Endelea tu kuomboleza kifo cha Dhalimu maana Ijumaa anatumiza miaka 2 toka arudishe namba. Mungu fundi sana kwa kweli
 
Mbona mnamtetea mjinga mwenzenu DAB?
Mjinga ni wewe unaishinda unagombana na mtakatifu JPM. Utaraniwaa shauri yakooo.

Wewe unadhani angekuwapo mngeshinda mnawatukana bodabodaa eti wamelaaniwaa, na huku Kila kamkutano kenu lazima muwatumiee halafu mnawatukana eti wamelaaniwaa.
 
Samia amejua kuwaumiza uvccm kweri-kweri 😂😂😂
 
Mjinga ni wewe unaishinda unagombana na mtakatifu JPM. Utaraniwaa shauri yakooo.

Wewe unadhani angekuwapo mngeshinda mnawatukana bodabodaa eti wamelaaniwaa, na huku Kila kamkutano kenu lazima muwatumiee halafu mnawatukana eti wamelaaniwaa.
Mtakatifu wa kwenu
 
Ule utawala ulikuwa wa hovyo kuliko shetani
 
Bora alivyoendazake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…