Kwani ww ndio JESSICA? Mtoto wake. Tuanzie hapo kwanza.
 
Huwa mnajitoa sana ufahama hiyo miradi ndo hiyo kumkataa mzabuni wa 600b na kumchukua yule wa 1.1 .samia mwenyewe amesema over imvoiced ni kila mradi halafu unadai et kazi iendelee khaa
 
Mkumbushe pia ile trillion 1.5 mpaka sasa haijulikani ilipo, fedha za plea bargain hazionekani na hata zilizoporwa bureau de change haijulikani zilipo
 
Kweli Hali mbaya yaani mmefikia kuabudu/kusali Kwa wafu?
 
😂😅 unamuita jiwe baba yako, kwahio baba yako aliyekuzaa umemuweka kundi gani la akina JumaLokole au Mwijaku..?
 
Hamna JIZI kama Magufuli toka nchi hii ipate uhuru. Nafuu Samia yeye anakubali ripoti ya CAG isomwe tuone panapovuja. Yule mwendazake kungekuwa moja kati ya haya:-
1. Aidha Ripoti ingechakachuliwa, yaani asome ripoti isiyo na udisadi AU

2. CAG KICHERE angedurushwa kazi kama Prof Assad.
 
SHUJAA wa Wizi
 
Hii ni ishara ya kuwa unawaamini watu wengine kuliko unavyo jiamini wewe mwenyewe.
Huyu unae msema hawezi kukusia all Isha kufa, Kuna sehemu Kuna shida upambane tulio Hai kurekebisha Marehemu Hana msaada kwa tulio Hai hata tumsifu vipi
Hayo ni mawazo yake anayo haki kuyasema na anao uhuru kuyatoa . Hatuwezi kuwa sawa wote kifikra au kimtizamo , tutatofautiana TU. Lakini suala jingine hatuwezi kupinga kila kitu TU Cha muhimu ni utafiti wa kutosha kufanyika kwa hiko alichokisem kama ni kweli au la.
Lakini pia tumjibu kwa hoja , kwa suala alilozungumza , je Lina ukweli ndani yake .
Cha muhimu ni kumsikiliza mtu Nini achaotaka kusema mpe uhuru (freedom of speech) na yeye aleze achoona . Wewe sas unatakiwa kumjbu kwa hoja na kumpa takwimu sahii kama zipo. Au mmesahau msemo unaosem NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK.
 
Viongozi wetu kiukweli mliopo sasa! Mnatufanya tumkumbuke sana JPM!

Mnakwama wapi?
Mkuu si unaona Kamala Harris kaja,wameshalishwa limbwata.Sisi kama Watanzania hatuna chetu,kwisha.
 
Aisee,kama baba yako Lucifer,uongo hadi kichefuchefu.Yaani hata aibu huna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…