antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Wewe ni Ke au Me?Mpendwa wetu Magufuli fanya urudi baba wanao tunateseka sana we miss you our beloved President.
Mwenzenu nalia kila mara nikiitizama hii picha.
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
View attachment 2653095
MfuateMpendwa wetu Magufuli fanya urudi baba wanao tunateseka sana we miss you our beloved President.
Mwenzenu nalia kila mara nikiitizama hii picha.
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
View attachment 2653095
The real image of satanMpendwa wetu Magufuli fanya urudi baba wanao tunateseka sana we miss you our beloved President.
Mwenzenu nalia kila mara nikiitizama hii picha.
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
View attachment 2653095
Anza wewe ili umuonyeshe usivyo mnafiki wala mwoga wa kumfuata mpendwa wenu.Upendo wa kweli ni kunywa sumu na kuzikwa pembeni yake.....siyo kulialia kinafki tena Kwa maandishi Ili usikie watu wanacomment Nini......uchonganishi na ukuda huo.....Umekaa kinoko kweli
Usihukumu usije ukahukumiwa mwananguHuyo Jomba alikuwa ni Ibilisi mjaa laana aliyua watu wasionna hatia...nitaendelea kufurahia kifo chale mpaka kesho!
Anything too much is harmful..... zimekuwa nyimbo.Anza wewe tajiri mie maskini tangu Nyerere yupo....aongozaye ndiye nimtumikiaye bro.....kama mlimpenda mngemlinda.Mwacheni apumzike baba wa watu.Anza wewe ili umuonyeshe usivyo mnafiki wala mwoga wa kumfuata mpendwa wenu.
Muuzwe mara ngapi mwanangu. Ngojeni mfungwe kongwa shingoni na kufanyikwa kitu mbaya na waarabuTushauzwa