Tusubiri wamalize mazishi yake kisha urudi humu jf kusoma tena commets zako.
 
Mli
He is My sons's legacy

Amenisaidia Mambo mengi.

JPM kafanya mengi makubwa kuliko Rais yeyote aliwewahi pita nakosa la kuandika kabisa vidole vinatetemeka, Nimelia Mimi leo

Naogopa nchi yetu inarudi shimoni

MUNGU TUANGALIE TENA WAJA WAKO
Mliopends kitonga kutoka kwake mjiandae kisaikolojia
 
msipomleta silinde siwaletei maji kutoka ileje,,,marehemu alikuwa namdomo sana namimi kama mkalimani wa ikulu nathibitisha hilo😝😝😝😝😝😝
 
Nenda John nenda na ninamuomba sana mwenyezi Mungu akurehemu katika makao yake mbinguni.

John uliijenga CCM na hata wapinzani wakakuheshimu.

Uliwapa uongozi wapinzani Prof Kitila Mkumbo, Anna Mghwira, Lyatonga Mrema nk nk

Hata Chadema hukuwasahau kwani uliwashirikisha kwenye uongozi akina Juliana Shonza, Mwita Waitara, Dr Mollel. patrobas Katambi, Gekui, David Silinde nk nk

CUF pia hukuwasahau tunaye DC pale Tunduru ndugu Mtatiro

John wewe ni shujaa, kaketi pema peponi

RIP Magufuli!
 
Wewe huelewi kitu bora tuu ukanyamaza. Eti wazalendo wakahamia ccm... Walihamia kwa kupenda ama walishinikizwa?

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Wewe unaelewa nini kama sio mihemko tu unaweza kumlamisha mtu kuhama chama? Mbona hamkuwalazimisha wasihame Hivi mtu smart kama Davd Silinde anaweza kubakiana na aina ya upinzani uliokuwepo.
 
Hii ndio shida yenu wana CCM siasa siasa mpaka kwenye misiba. Mwacheni apumzike na hizi sifa zenu za kinafiki.
 
Nenda Ngosha
 
Hatuzungumzii mambo ya Chato.Hoja hapa ni lini na ni wapi wamesema kuwa mtakatifu Meko alikuwa jasiri!
Lijualikali atakuambia safari hii Ufipa mmeshindwa kuiba kura mmeuambulia mbunge mmoja.

Huu ni Ujasiri wa mwenyekiti wa CCM!
 
JPM hatutamsahau

Kakomboa Majimbo makongwe ya Upinzani kama ya kule Pemba na Karatu ambayo tangu kurudishwa mfumo wa vyama vingi yalikuwa yanashikiliwa na Upinzani
 
Haindoi ukweli kuwa alikuwa mtawala wa kiimla asiyependa kukosolewa na aliweka wazi hata ushauri hataki.

Aliahidi akiwa rais tutalimia meno na kweli alitekeleza kwa vitendo kusudio lake hilo

Alikula yamini ya kuua upinzani ili atawale milele sema ndiyo hivyo aliyemleta kampenda zaidi.

Upinzani hususani CHADEMA imebaki yeye kaondoka.
 
JPM hatutamsahau

Kakomboa Majimbo makongwe ya Upinzani kama ya kule Pemba na Karatu ambayo tangu kurudishwa mfumo wa vyama vingi yalikuwa yanashikiliwa na Upinzani
Kwa kweli alikomba kwa kukwiba na siyo sifa nzuri kwa marehemu. Hata uchaguzi wa serikali za mitaa alipora kwa kushirikiana na Jaffo.

Ameondoka na sifa nyingi mbaya kuliko nzuri
 
Lijualikali atakuambia safari hii Ufipa mmeshindwa kuiba kura mmeuambulia mbunge mmoja.

Huu ni Ujasiri wa mwenyekiti wa CCM!
Acha kuhama mada wewe mbumbumbu!Nyoka akifa watu wakienda kumshangaa haimaanishi kuwa wanampenda huyo nyoka na wanamuunga mkono!
 
usituletee balaa la kupigwa ban. Wapinzani wamesemaje? Nani Mbowe, Lisu? au wenzenu wanaoiponya nchi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…