Namba 19 rost tamu alisha maliza
 
"Ndugu zangu ,Siku moja mtanikumbuka na najua mtanikumbuka kwa mazuri sio kwa mabaya ......"

Waso dhambi

Wako wapi

Nchi ipi

Wamejaa unafiki


Mimi namkumbuka kwa mazuri yake mengi tu
 
Nafasi yangu inanisuta sana, kutokana na ugumu wa maisha, ukizingatia Kuna kipindi tulienda jkt, ikatolewa amri vijana wote warudi nyumbani 😭🙆 nilimaliza chuo mwaka 2015 Hadi Leo siku bahatika kupata ajira niliyosomea... Hali hiyo ya ugumu wa maisha ilinifanya nikamchukia Magufuli. Ila haki vile siku chache baada ya kifo chake nilianza kuhisi kuwa Magufuli alikuwa mtu sahihi japo anayo mapungufu yake ya kibinaadam
 
Wazee ,vijana , akina mama na vilembwe. Wanamkumbuka. Kwa kila nyanja.

Anakumbukwa kwa kudhibiti ufisadiz, mmomonyoko wa maadili, wizi wa mali za umma na hata kudhibiti mgao wa umeme uliotengenezwa na mafisadi papa wa CCM.

Alijitoa kwa ajili ya taifa lake. Angekuwepo yupo hai leo hii bwawa la JNHPP lingekuwa limekamilika na Mw 700 tu kama sehemu ya M2100 zingeweza kutatua tatizo la umeme nchin.

 
Awamu yake iliongoza wa ufusadi wa kiwango cha SGR
 
Alowafuaga majangili
 
Sure
 
Pambana na hali yako.
Watumishi wa Umma tungekuwa hatujapanda madaraja wala kupata nyongeza ya mshahara hadi leo pia ajira zingekuwa hazijatolewa hadi leo.
 
100%
 
Anakumbukwa kwa kudhibiti ufisadiz, mmomonyoko wa maadili, wizi wa mali za umma na hata kudhibiti mgao wa umeme uliotengenezwa na mafisadi papa wa CCM.
Unamsifu vipi sultan anae wakilisha usultan wa ccm. Shida zote ccm ndio walio sababisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…