Rayz
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 339
- 261
Namba 19 rost tamu alisha malizaNdugu zangu hata kama huna akili ona hata aibu kidogo!
Alitokeaga JEMBE narudia alitokeaga JEMBE akafanya mengi.
Yafuatayo ni baadhi tu:
1. Julius Nyerere hydro power plant mfupa uliowashinda wengi[emoji123]
2. Electric SGR ndoto ambayo waTanzania hawa kuwahi kuota[emoji122][emoji122]
3. Kuhamia dodoma rasmi sio porojo za tangu 1970 plus ujenzi wa ikulu etc[emoji123]
4. Upanuzi wa bandar zetu kwa mabillion ya fedha[emoji122][emoji122]
5. Ujenzi wa barabara za kisasa hadi NJIA NANE +7,ring roads,by pass etc[emoji122][emoji122]
6. Ujenzi wa masoko ya kisasa mno [emoji108]
7. Ujenzi wa stendi za kisasa za mabillion zenye ubora kushinda airport nyingi[emoji108]
8. Ununuzi wa RADA 4 za kisasa zilizotufanya kuondokana na aibu ya kutumia rada za nch jirani just imagine??[emoji122][emoji122]
9. Ujenzi wa madaraja ya kisasa mnayopigia pigia picture na kumkejel[emoji115]
10. Ujenzi wa vivuko vya kisasa vikubwa na vidogo plus ujenz wa meli kadhaa[emoji122][emoji122]
11. Ununuzi wa ndege 11 ndani ya miaka mitano tu [emoji122][emoji122]
12. Ujenzi wa interchange,flyovers,overpasses etc watu mlidhan ni vitu vya ulaya tu ila viliwezekana[emoji122]
13. Kufufua reli ya Tanga Arusha mfupa uliowashinda wengi[emoji123][emoji123]
14. Uboreshaji wa bandar za maziwa plus ujenz wa chelezo mwanza[emoji110][emoji110]
15. Kutoa elimu bure free of charge kwanzia msing mpaka form 4[emoji122][emoji122]
16. Ujenzi wa mamia ya hospital za wilaya[emoji117]
17. Ujenzi wa maelfu ya zahanati[emoji117]
18. Ujenzi wa hospital kadhaa za mikoa na rufaa [emoji117]
19. Uboreshaji wa majengo ya MAHAKAMA ambayo yalikuwa kama vyoo!![emoji122][emoji122]
20. Uendelezaji wa BRT[emoji117]
21. Upanuzi wa Airport kadhaa kwanzia majengo yake mpaka runways[emoji117]
22. Ujenzi wa vyuo vya veta plus chuo kikubwa cha uongoz pwani[emoji122][emoji122]
23. Upanuzi iwa miradi ya umeme kinyerez mpaka 4 huko[emoji122]
24. Uboreshaji wa MSD kwa vifaa, magari etc [emoji122][emoji122]
Vitu hivi vilifanyika ndan ya miaka mitano tu!! na hv ni baadhi tu[emoji110]