Jamaa alikuwa hana Rafiki wala Adui wa kudumu bali aliongozwa na Uzalendo zaidi

Kwenye Haki alisimama upande wa kweli hakumuogopa yoyote

RIP Shujaa Magufuli

Nawatakia Sabato Njema 😀
 
As if yeye ndie aliyewatuma hamas waanze uchokozi

R.I P JPM
 
Kwa kutuchagulia Serikali mbovu na Bunge bovu 2020.
 
Kumtajataja Magufuli kwenye shida za nchi alizozikabili kwa tija iko siku kama Waebrania kule jangwani tutafinyanga sanamu ya Magufuli tuiabudu itupatie majibu.

Dhambi hii hatutahukumiwa waabudu sanamu bali Musa aliyeshindwa kukaa kwenye zamu yake sawa sawa ili tujibiwe shida zetu ndiyo maana hakuingia Kanaani kula matunda ya jasho lake kule Misri.

Juzi PCM anapokelewa Lumumba watu wanaimba Magufuli... Magufuli... Magufuli...

Mzaha mzaha hutumbua usaha (sanamu ya Magufuli itajengwa)

Unabii.
 
APUMZIKE KWA AMANAI HAYATI MAGUFULI
 
Everything is happening for a reason !!
Ngoja Tusubiri tuone !!!
Yetu macho na masikio !!
 
Nchi zetu za kiafrika huwa zinatakiwa kupata viongozi wababe na wabishi ili kufikia pale panapotakiwa.

Alikuwepo mwamba hapa, leo Moro - Dar mngekuwa mnatereza tu ila sasa mkampiga mawe na kila aina ya maneno ili aonekane fedhuri na mkafanya yenu dhidi yake.

Ila jana na leo kila mtu analia vile wanaona haibu kusema ukweli ila nafsi zinawasuta!.
 
Shetani lazima apigwe mawe.
 
 
Wacha uwehu wako!! Nini Dar Dodoma?. Kipande cha Moro-Dar kilipangwa kianze Novemba 2019. Magufuli kafariki March 2021 bila kuanza. Leo hii Misukule ya Magufuli inasema Samia kachelewesha.

Wadanganyeni watoto wenu na wajinga wenzenu. Magu alianzisha miradi mikubwa kwa wakati mmoja bila kujua vyanzo vya fedha ya ujenzi atapata wapi
 
"Watanzania,nilijua haya yatatokea, kwasababu majizi na matapeli yameshika Kasi kwasasa. Na saa nyingine Rais wa Sasa ni dhaifu"
 
Hiyo 2021 mradi ulifikia asilimia ngapi?
 
Kuna chawa wao kazi mapambio hilo hawalioni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…