Itakuwa walishangilia kuondoka kwa dikteta
 
Your browser is not able to display this video.

Alimwambia rafiki yake wa mashaka sogeza mic hapa
 
Kwa magu bhn nilianza kujenga japo vyuma vilikua vigumu lkn tangu kaingia president wetu michongo imegoma kumaliza
 
Ni hivyo tu, ifike mahala mtu akionesha uthubutu basi apewe maua.

Kwa hali iliyo kuwepo kabla yake na baada ya kutoka ni ushahidi kuwa watu wasio mkubali lazima kuna shida mahala.
Tatizo ni watu kutokuwa na akili kubwa na za kutosha. Magufuli?... kuna mtu mwenye akili zake anamkubali huyu mtu kweli?

Sasa hivi kama hujui ni kwamba haya matatizo tuliyonayo; uhaba wa dola, umeme, maji, sukari yalianzia kwa Magufuli kuvuruga mfumo wa uchumi uliokuwa unastawi vizuri sana kabla ya 2015.

Ni chenga ndogo kwa wajinga na imekubali kwelikweli, Samia hawezi kusema hayo kwani yeye alikuwa sehemu ya utawala mbovu wa Magu. Mambo ya kulipua na kulazimisha mambo na uongo mwingi ndio vinajihidhirisha sasa.
 
Ni hivyo tu, ifike mahala mtu akionesha uthubutu basi apewe maua.

Kwa hali iliyo kuwepo kabla yake na baada ya kutoka ni ushahidi kuwa watu wasio mkubali lazima kuna shida mahala.
"Na Mimi nataka niseme Watanzania mtanikumbuka na mtanikumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya kwasababu nimesacrifice maisha yangu kwa wananchi masikini"
 
Chuki binafsi 🐼
 
Hivi ualimu na kumchukia JPM kuna uhusiano gani ?
 
Vyeti feki, mafisad, mation town na wauza unga hawawezi kumkubali Magufuli
 
Ukweri ni lazima usemwe

Kama siyo huyu baba tusingekua na hili bwawa

Nyerere alishindwa

Mwinyi alishindwa

Mkapa akashindwa

Kikwete akashindwa

Magufuri shujaa wetu akaweza

Mama kakamilisha bwawa ile tu kwamba hana jinsi na angeacha wazalendo wasingemuelewa lakini ingekua ni yeye asingeweza

Ngosha ni shujaa
Ngosha ni baba wa pili wa taifa
Ngosha ni baba wa mfano
Ngosha ni baba mlezi
Ngosha ni dira
Ngosha ni role model wa kila mtu

Hivi kama sio Mungu kuturetea huyu shujaa tungekua na hali gani?Magufuri alikua shujaa

Na hili bwawa pongezi zote ziende kwake Magufuri huko ulipo wewe ni shujaa na baba wa taifa hiri

Hakuna kama magufuli
 
Kama siyo Magufuli, tusingeuwa ecological system ya pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…