neno ni upanga
JF-Expert Member
- Jun 28, 2022
- 494
- 1,656
Wapinzani walituchelewesha sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakuwa walishangilia kuondoka kwa diktetaMfumuko wa bei ni wa kutisha kiasi kwamba ukimuona mtu anajenga sasa ujue yuko kwenye mrija wa ufisadi au ni kampuni fulani.
Sukari hakuna
Maji hakuna
Umeme hakuna
Bwawa la mtera halina maji licha ya kwamba mvua zimenyesha za kutosha na hakuna hatua zozote zinazochukuliwa.
Michango shuleni ni balaa na hakuna wa kukemea.
Maandamano ya chadema yamerudi kwa kasi na kilio kikubwa kwao ni kupanda kwa gharama za maisha! Sasa walishangilia ili iweje?
Tueleze ni jinsi gani wananchi tulinufaika kwa serikali kuhamia dodomaSGR, bwawa la maji na kuhamishia serikali dodoma
Na bado tunaendelea kushangiliaItakuwa walishangilia kuondoka kwa dikteta
Kwa magu bhn nilianza kujenga japo vyuma vilikua vigumu lkn tangu kaingia president wetu michongo imegoma kumalizaView attachment 1734652
Picha: Hayati Rais Magufuli enzi uhai wake
This is a special thread and a tribute to the late J.P.M.
😂🤔Najua tupo katika kipindi cha masikitiko kama taifa, Jemedari wetu amefariki dunia, kama lisemavyo neno la Mungu katika kitabu cha biblia kuwa mfalme hawezi kuokolewa kwa na jeshi lake kubwa bali ni Bwana hutuponya na mauti (Zaburi 33:16), yaliyoandikwa yametimia Mungu amlaze mahala pema peponi.
Hakika tutammiss, kama ule usemi usemao umuhimu wa mtu huonekana zaidi asipokuwepo.
Yafuatayo ni mambo aliyonikosha J. P. M (R. I. P).
1. Nidhamu kwenye taasisi za serikali, kuanzia matumizi, utendaji wa kazi na utoaji wa huduma.
2. Msimamo bila kujali nchi nyingine zimeamuaje, kimsingi maamuzi mengi yalifanywa kuzingatia maslahi ya nchi sio mkumbo ( i.e chanjo ya corona).
3. Super-Mega projects zenye maslahi ya muda mrefu, S.G.R, Nyerere, Mwendokasi n.k.
4. Kuwanyoosha majirani zetu walizoea kutuibia na kutuchezea michezo ya ajabu ajabu.
5. Kuleta siasa za kuambiana ukweli na sio za kubembelazana hovyo.
6. Kukomesha ujambazi na matukio ya kihalifu majumbani.
7.
Itaendelea...
PIA SOMA>> TANZIA - Rais John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar
Tatizo ni watu kutokuwa na akili kubwa na za kutosha. Magufuli?... kuna mtu mwenye akili zake anamkubali huyu mtu kweli?Ni hivyo tu, ifike mahala mtu akionesha uthubutu basi apewe maua.
Kwa hali iliyo kuwepo kabla yake na baada ya kutoka ni ushahidi kuwa watu wasio mkubali lazima kuna shida mahala.
"Na Mimi nataka niseme Watanzania mtanikumbuka na mtanikumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya kwasababu nimesacrifice maisha yangu kwa wananchi masikini"Ni hivyo tu, ifike mahala mtu akionesha uthubutu basi apewe maua.
Kwa hali iliyo kuwepo kabla yake na baada ya kutoka ni ushahidi kuwa watu wasio mkubali lazima kuna shida mahala.
Chuki binafsi 🐼Tatizo ni watu kutokuwa na akili kubwa na za kutosha. Magufuli?... kuna mtu mwenye akili zake anamkubali huyu mtu kweli?
Sasa hivi kama hujui ni kwamba haya matatizo tuliyonayo; uhaba wa dola, umeme, maji, sukari yalianzia kwa Magufuli kuvuruga mfumo wa uchumi uliokuwa unastawi vizuri sana kabla ya 2015.
Ni chenga ndogo kwa wajinga na imekubali kwelikweli, Samia hawezi kusema hayo kwani yeye alikuwa sehemu ya utawala mbovu wa Magu. Mambo ya kulipua na kulazimisha mambo na uongo mwingi ndio vinajihidhirisha sasa.
Hivi ualimu na kumchukia JPM kuna uhusiano gani ?Tatizo ni watu kutokuwa na akili kubwa na za kutosha. Magufuli?... kuna mtu mwenye akili zake anamkubali huyu mtu kweli?
Sasa hivi kama hujui ni kwamba haya matatizo tuliyonayo; uhaba wa dola, umeme, maji, sukari yalianzia kwa Magufuli kuvuruga mfumo wa uchumi uliokuwa unastawi vizuri sana kabla ya 2015.
Ni chenga ndogo kwa wajinga na imekubali kwelikweli, Samia hawezi kusema hayo kwani yeye alikuwa sehemu ya utawala mbovu wa Magu. Mambo ya kulipua na kulazimisha mambo na uongo mwingi ndio vinajihidhirisha sasa.
Vyeti feki, mafisad, mation town na wauza unga hawawezi kumkubali MagufuliTatizo ni watu kutokuwa na akili kubwa na za kutosha. Magufuli?... kuna mtu mwenye akili zake anamkubali huyu mtu kweli?
Sasa hivi kama hujui ni kwamba haya matatizo tuliyonayo; uhaba wa dola, umeme, maji, sukari yalianzia kwa Magufuli kuvuruga mfumo wa uchumi uliokuwa unastawi vizuri sana kabla ya 2015.
Ni chenga ndogo kwa wajinga na imekubali kwelikweli, Samia hawezi kusema hayo kwani yeye alikuwa sehemu ya utawala mbovu wa Magu. Mambo ya kulipua na kulazimisha mambo na uongo mwingi ndio vinajihidhirisha sasa.
Hivi ualimu na kumchukia JPM kuna uhusiano gani ?
Umeandika upuuzi.Nafikiri waalimu wameelimika na hivyo sio rahisi mtu aliyeelimika kumkubali mtu kama Magufuli.
Kama siyo Magufuli, tusingeuwa ecological system ya paleUkweri ni lazima usemwe
Kama siyo huyu baba tusingekua na hili bwawa
Nyerere alishindwa
Mwinyi alishindwa
Mkapa akashindwa
Kikwete akashindwa
Magufuri shujaa wetu akaweza
Mama kakamilisha bwawa ile tu kwamba hana jinsi na angeacha wazalendo wasingemuelewa lakini ingekua ni yeye asingeweza
Ngosha ni shujaa
Ngosha ni baba wa pili wa taifa
Ngosha ni baba wa mfano
Ngosha ni baba mlezi
Ngosha ni dira
Ngosha ni role model wa kila mtu
Hivi kama sio Mungu kuturetea huyu shujaa tungekua na hali gani?Magufuri alikua shujaa
Na hili bwawa pongezi zote ziende kwake Magufuri huko ulipo wewe ni shujaa na baba wa taifa hiri
Hakuna kama magufuli