Kwahiyo wale 19 walihama kwa kupenda? Mpaka yule aliyekuwa mahabusu nae alihama kwa kupenda? Wewe huna ujualo nyamaza...Wewe unaelewa nini kama sio mihemko tu unaweza kumlamisha mtu kuhama chama? Mbona hamkuwalazimisha wasihame Hivi mtu smart kama Davd Silinde anaweza kubakiana na aina ya upinzani uliokuwepo.
Spana Bado zipo palepale budaFacts are very stubborn, waTz wabishi kweli na matusi, government ya tz is very unprofessional we pray for a peaceful transition
Wokee ila waliopewa nafasi za upendeleo kutoka upinzani baada ya kuunga mkono juhudi tusiwaseme maana mwendazake hatajwi kwa ubaya.Kushughulika na kero za miaka nenda rudi na kutuaminisha kuwa tunaweza.
Kujaribu kutuheshimisha wananchi wa kawaida mbele ya watumishi wa umma.
Ile mentality ya ujanjaujanja aliyoikuza JK na kuwa siasa/nafasi za siasa ziikuwa za kununua kufutika kwa kiasi kikubwa.
Kwani kuna ubaya gani hapo au ulitaka wajenge kwenu hayo ni mawazo finyu1.Chato International Airport
2.Chato National Park
3.Trafic light Chato
4.3 star hotel Chato (TANAPA)
5.Bohari ya kanda madawa Chato
6.Hospital ya rufaa Chato
7.Stadium (proposa)
8.CRDB Chato
Upinzani ninini1. Kuhujumu uchaguzi
2. Kugandamiza demokrasia na kuua upinzani
3. Ku-'over shadow' mihimili mingine
Kwa mengi lakini funga kazi ni "baki na mavi yako nyumbani"!
This is a special thread and a tribute to the late J.P.M.
Najua tupo katika kipindi cha masikitiko kama taifa, Jemedari wetu amefariki dunia, kama lisemavyo neno la Mungu katika kitabu cha biblia kuwa mfalme hawezi kuokolewa kwa na jeshi lake kubwa bali ni Bwana hutuponya na mauti ( Zaburi 33:16), yaliyoandikwa yametimia Mungu amlaze mahala pema peponi.
Hakika tutammiss , kama ule usemi usemao umuhimu wa mtu huonekana zaidi asipokuwepo..
Yafuatayo ni mambo aliyonikosha J.. P. M (R. I. P).
1. Nidhamu kwenye taasisi za serikali, kuanzia matumizi, utendaji wa kazi na utoaji wa huduma.
2. Msimamo bila kujali nchi nyingine zimeamuaje , kimsingi maamuzi mengi yalifanywa kuzingatia maslahi ya nchi sio mkumbo ( i.e chanjo ya corona).
3. Super-Mega projects zenye maslahi ya muda mrefu , S.G.R, Nyerere, Mwendokasi n.k.
4. Kuwanyoosha majirani zetu walizoea kutuibia na kutuchezea michezo ya ajabu ajabu.
5. Kuleta siasa za kuambiana ukweli na sio za kubembelazana hovyo.
6. Kukomesha ujambazi na matukio ya kihalifu majumbani.
7.
Itaendelea...
PIA SOMA>> TANZIA - Rais John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar
Andiko lako lote linaonyesha wewe ni kama mlevi tu!Ninti wapinzani wa Tz ndiyo mnao mkataa lakini wa nchi za nje na zenye maendeleo wanamkubali waziwazi huo ni unafiki wenu tu.
Kiongozi atakae wachekea cdm watamtia dole akiwa amesimama kwani ni vigeugeu na ni watu wa kulialia tu.
Hakuna kama JPM na hakuna atakaefanya kazi na cdm ktk utawala wote wa Tz
HawatofanikiwaMagufuli rais wetu inabidi awekewe ulinzi mkubwa na mkali. wako watu wamekaa mkao wa kutaka kuhujumu kila kitu..
Weka ushahidi sio unalopoka tu na makamasi yakoZile bilioni 1.5 zilizochukuliwa na Joni zipo wapi?