Kila Rais alifanya yake kwa mda wake, bila mkapa uwanja Mkapa usingekuepo, kuna aliejenga daraja LA Nyerere kigambon, mwingne shule za kata, mwingne barabara za Lami, hata ivi viwanja vya ccm kila mkoa, kuna Rais alijenga, (mnatutisha sana, Du! )
 
Wewe umemaliza kila kitu.
Cha ajabu Kina Makamba waliopigia vita mradi huo kwa nguvu zao zote na kushadadia propaganda za uongo za kuharibu mazingira, ndiyo hao hao wakawekwa Wizira husika!

Uliona dana dana alizokuwa akizipiga kukamilisha mradi ili waTz waendelee kudhalilika na mgao?

Sijui nguvu gani iliyotumika kuendeleza kukamilisha mradi huu!

Hii ni kudra ya Mwenyezi Mungu tu, maana Rais alikuwa kazidiwa akili na hili genge.
 
Uwongo ufuatao 1,2,5,7,9,10,12,11,13,14..Hayo hayapo,,so usidanganye
 
Magufuli alikuwa Rais mwerevu sana,sijui kama TZ tutabahatika tena.
Rais bora,mchapakazi,anasikiza shida za Wananchi.pumzika Shujaa.
 
R.I.P JPM
 
Magufuri angekuwpi hado sasa uchumi ungekuwa vizuri na machinga wangekuwa wameneemeka
 
Siyo kweli. Tuna mabwawa mengi tu ka Kidatu, Mtera, Kihansi, Hale na Nyumba ya Mungu. Haya ualichimbwa kabla ya Magufuli na yanakauka kwa kukosa maji.

Msilifurahie sana hilo bwawa la JNHEP mpaka muupate umeme..matatizo ya Hydro electric power yaliyozikumba Mtera na kidatu na Hale lazima yataikumba na hiyonl JNHEP
 
Kwani una nini tokea jana lakini? Yani nacheka kila post!

Halafu akifanya press likitokea tukio lingine lika-take over press yake analalamika hajawekwa ‘fenti fodi’
Lol! Una kumbukumbu sana b...

Ova
 
Lol! Una kumbukumbu sana b...

Ova
Nafikiri kwa kiasi kikubwa mwenezi wa sasa ndio alichangia ile character yake. Baada ya kuwa mlevi wa ‘kick’ kila siku yuko kwenye headlines mzee nae akaiga.
 
Kuanzisha moradi mfano wa Mabutu sese seko Nkuku Ngebendu wa zabangq
 
Bwawa la nini wakati tunabupepo wa kutosha na jua la kutosha!
Bwawa Halikuwa la lazima!
 
Mrahangaika weee kwa kila namna kujizuia kulitamka jina la Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, lakini kamwe hamtoweza......daima mtalikuta mbele! Mungu aendelee kukubariki Mama'angu.
 
Hakuna matatizo ya maji kupungua ni wahuni wanafungulia maji ili mabwawa yashindwe kuzalisha umeme wauze majenereta uzuri ni kwamba magu alitufumbua macho Kwa uhuni wenu wa kulihujumu hili taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…