meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,425
- 4,768
Hilo haliwezi kuwa tiketi ya kutesa watu. Wewe baba yako kulipia bili ya umeme kunampa tiketi ya kukufanyia ukatili?
Ukweli mchungu, nilikuwa mkosoaji mkubwa wa baadhi ya sera za Magufuli lakini kuna mengi aliyafanya. Nami kama binadamu siwezi kusema mabaya yake kwa sasa bali mema aliyotutendea. Miaka ya 2015 kurudi nyuma ulikuwa unaingia hapo k/koo ni kelele za majenereta tu kisa mgao wa umeme. Lakini kwa miaka 6 tu ya utawala wake yote tulisahau. Watanzania tutapigwa pigo kubwa sana kama tusipoona mazuri haya.
Ni kweli, katika machache sana mazuri niliyoona kwake ni hilo la kutokukatika kwa umeme mara kwa mara, na muda mrefu. Japo ndani ya hii miezi mitano ya mwisho kabla ya yeye kuelekea motoni, tatizo lilianza kurudi kwa kasi. Hata hivyo hili halifuti sifa yake ya udhalimu na kuwa alikuwa jizi la kura.Ukweli mchungu, nilikuwa mkosoaji mkubwa wa baadhi ya sera za Magufuli lakini kuna mengi aliyafanya. Nami kama binadamu siwezi kusema mabaya yake kwa sasa bali mema aliyotutendea. Miaka ya 2015 kurudi nyuma ulikuwa unaingia hapo k/koo ni kelele za majenereta tu kisa mgao wa umeme. Lakini kwa miaka 6 tu ya utawala wake yote tulisahau. Watanzania tutapigwa pigo kubwa sana kama tusipoona mazuri haya.
Hata angefanya kikubwa kiasi gani sio kitu mbele ya amani na usalama wa raia! Watu wameokotwa kwenye viroba, wengine mpaka leo hawajulikani walipo, kina Lissu wamepona kwa kudra za Allah! Nchi ilijaa hofu hofu hofu kwa ajili ya mtu mmoja! Hapana huyu mzee apumzike anapostahili!Ukweli mchungu, nilikuwa mkosoaji mkubwa wa baadhi ya sera za Magufuli lakini kuna mengi aliyafanya. Nami kama binadamu siwezi kusema mabaya yake kwa sasa bali mema aliyotutendea. Miaka ya 2015 kurudi nyuma ulikuwa unaingia hapo k/koo ni kelele za majenereta tu kisa mgao wa umeme. Lakini kwa miaka 6 tu ya utawala wake yote tulisahau. Watanzania tutapigwa pigo kubwa sana kama tusipoona mazuri haya.