Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
............................... when it is single its called a dot.
when they are moderate many its called a dotted line.
When they are many enough we will get the picture
 
Ukweli mchungu, nilikuwa mkosoaji mkubwa wa baadhi ya sera za Magufuli lakini kuna mengi aliyafanya. Nami kama binadamu siwezi kusema mabaya yake kwa sasa bali mema aliyotutendea. Miaka ya 2015 kurudi nyuma ulikuwa unaingia hapo k/koo ni kelele za majenereta tu kisa mgao wa umeme. Lakini kwa miaka 6 tu ya utawala wake yote tulisahau. Watanzania tutapigwa pigo kubwa sana kama tusipoona mazuri haya.
 
Hilo haliwezi kuwa tiketi ya kutesa watu. Wewe baba yako kulipia bili ya umeme kunampa tiketi ya kukufanyia ukatili?
Ukweli mchungu, nilikuwa mkosoaji mkubwa wa baadhi ya sera za Magufuli lakini kuna mengi aliyafanya. Nami kama binadamu siwezi kusema mabaya yake kwa sasa bali mema aliyotutendea. Miaka ya 2015 kurudi nyuma ulikuwa unaingia hapo k/koo ni kelele za majenereta tu kisa mgao wa umeme. Lakini kwa miaka 6 tu ya utawala wake yote tulisahau. Watanzania tutapigwa pigo kubwa sana kama tusipoona mazuri haya.

Sio kweli hata kidogo umeme umekatika sana enzi zake, kiasi kwamba kila siku wakawa wanatoa sababu za uongo, mara kunguru wanakata nyaya mara watoto wanarusha mawe wanafurahia shoti. Mgao ulikuwepo kama kawaida
 
Mara ya mwisho kabla mama hajatangaza ile taarifa... palikuwa na mgao wa umeme... Na mama aliongea akiwa Tanga kwamba mgao wa umeme sasa basi... Hii ilikuwa kabla ya kutangazwa ile habari
 
Ukweli mchungu, nilikuwa mkosoaji mkubwa wa baadhi ya sera za Magufuli lakini kuna mengi aliyafanya. Nami kama binadamu siwezi kusema mabaya yake kwa sasa bali mema aliyotutendea. Miaka ya 2015 kurudi nyuma ulikuwa unaingia hapo k/koo ni kelele za majenereta tu kisa mgao wa umeme. Lakini kwa miaka 6 tu ya utawala wake yote tulisahau. Watanzania tutapigwa pigo kubwa sana kama tusipoona mazuri haya.
Ni kweli, katika machache sana mazuri niliyoona kwake ni hilo la kutokukatika kwa umeme mara kwa mara, na muda mrefu. Japo ndani ya hii miezi mitano ya mwisho kabla ya yeye kuelekea motoni, tatizo lilianza kurudi kwa kasi. Hata hivyo hili halifuti sifa yake ya udhalimu na kuwa alikuwa jizi la kura.
 
Unafahamu kwamba ile tarrif zero i.e "tariif 0" ambayo ndo kipenzi cha wanyonge weng kwa sasa haipo tena, na hata ukiiomba kulingana na matumiz yako hupew, na chache zillizobak mtaan zitahama kwenda tarrif nyingine (by default),na hio itaongeza cost ya umme
 
Alijitahidi.. Acha tuone waliobaki watasemaje
 
Ukweli mchungu, nilikuwa mkosoaji mkubwa wa baadhi ya sera za Magufuli lakini kuna mengi aliyafanya. Nami kama binadamu siwezi kusema mabaya yake kwa sasa bali mema aliyotutendea. Miaka ya 2015 kurudi nyuma ulikuwa unaingia hapo k/koo ni kelele za majenereta tu kisa mgao wa umeme. Lakini kwa miaka 6 tu ya utawala wake yote tulisahau. Watanzania tutapigwa pigo kubwa sana kama tusipoona mazuri haya.
Hata angefanya kikubwa kiasi gani sio kitu mbele ya amani na usalama wa raia! Watu wameokotwa kwenye viroba, wengine mpaka leo hawajulikani walipo, kina Lissu wamepona kwa kudra za Allah! Nchi ilijaa hofu hofu hofu kwa ajili ya mtu mmoja! Hapana huyu mzee apumzike anapostahili!
 
Back
Top Bottom