Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,085
- 4,890
Tanesco ndio walitokomeza mwisho mtasema ALIPONYA NA WAGONJWA MUHIMBILIUkweli mchungu, nilikuwa mkosoaji mkubwa wa baadhi ya sera za Magufuli lakini kuna mengi aliyafanya. Nami kama binadamu siwezi kusema mabaya yake kwa sasa bali mema aliyotutendea. Miaka ya 2015 kurudi nyuma ulikuwa unaingia hapo k/koo ni kelele za majenereta tu kisa mgao wa umeme. Lakini kwa miaka 6 tu ya utawala wake yote tulisahau. Watanzania tutapigwa pigo kubwa sana kama tusipoona mazuri haya.
nani nilimpoteza mdogo wangu kwenye utawala wake,,,aliuwawa kikatili na kutumbukizwa mtoni akaliwa na mamba.hakika ningali bado na maumivu makali yaso isha,,ilaNikweli mengi mazuei kayafanya.. yotebhayo nami naunga mkono. Ila pia sitamsahau wakati wa utawala wake kumpoteza mdogo wangu...
Lakini ndani ya hii miaka 6 si ulifanikiwa kurisit na kupata cheti chako origino,ila sasa huwezi kuajiliwa tena umri ushaenda...endelea kuwa na hasira na Hayati tatizo si lake tatizo ni lako kuajiliwa kwa cheti feki.Hilo haliwezi kuwa tiketi ya kutesa watu. Wewe baba yako kulipia bili ya umeme kunampa tiketi ya kukufanyia ukatili?
Alitesa sana Wapinzani pia Anastahili kusifiwaUjambazi pia ulipungua kama sio kuisha kabisa ajali pia zilipungua ila nakumbuka nimenunua sana gloves hospital kuchomwa sindano RIP Magu
Pamoja na mapungufu yake,ila mengine alitoa siri na kutuweka wazi na suni tutaanza kufungulia tena ili tuuze majeneretaKule Mtera Palikuwa Na Watu Kazi Yao Ni Kufungulia Maji Ya Bwawa Ili Wauze Majenereta
Kwenye Utawala Wangu Ukifungulia Maji Utaondoka
😂😁😀😆😅😄😃😂😀
JPM
Hizi ndio kauli za President!!!Kule Mtera Palikuwa Na Watu Kazi Yao Ni Kufungulia Maji Ya Bwawa Ili Wauze Majenereta
Kwenye Utawala Wangu Ukifungulia Maji Utaondoka
😂😁😀😆😅😄😃😂😀
JPM
Sio kweli mkuuSio kweli hata kidogo umeme umekatika sana enzi zake, kiasi kwamba kila siku wakawa wanatoa sababu za uongo, mara kunguru wanakata nyaya mara watoto wanarusha mawe wanafurahia shoti. Mgao ulikuwepo kama kawaida
Ndiyo Ukweli WenyeweHizi ndio kauli za President!!!
Atakumbukwa kwa ukatili.Kuna kikundi kimekua kikisisitizia kauli ya marehemu mwendazake ya"mtakuja kunikumbuka",kana kwamba tulifanya kila liwezekanalo kumuondoa madarakani.
Mwendazake kachukuliwa na Muumba,na zaidi hata tulipotaka kuujua ukweli juu ya shida yake kama anaumwa ama vp,ili tumuombee apone maake tulikua tayari tushaamua kuishi nae ,bado tulifichwa.
Haina haja ya kutoa toa iyo kauli,sababu hatukua na uwezo wowote wa kupinga alichohitaji,hakuna chombo chochote cha habari ,wala mitandao ya kijamii iliyokua na ubavu wa kumuwekea kauzibe kwenye utendaji wake wa kazi.
Yaani katika marais waliofanya kazi bila presha basi mwendazake alikua free saaana,hapingwi na bunge,wananchi wala media.
So kusema kwamba tutakuja kumkumbuka ndio kweli tutamkumbuka kwa mema aliyofanya lakini hatujawahi kufanya jaribio loloooooote la kumuondoa mwendazake,aidha MAANDAMANO,BUNGE,kila aliyefanya hivyo nadhan inajulikana kilichomkuta.
Kusema kwamba tutakuja juta ni sawa na kuwa na mpenzi wako kila siku analalamika utakuja mkumbuka na wakati haumfanyii chochote kibaya unampa kiiila kitu anaishi kulalalama tu.
.........
Kismati cha kuitoa Chadema kutoka wabunge 100+ walioachwa na Dr Slaa hadi kubaki mbunge mmoja Joyce Mkuya??..Kuna kikundi kimekua kikisisitizia kauli ya marehemu mwendazake ya"mtakuja kunikumbuka",kana kwamba tulifanya kila liwezekanalo kumuondoa madarakani.
Mwendazake kachukuliwa na Muumba,na zaidi hata tulipotaka kuujua ukweli juu ya shida yake kama anaumwa ama vp,ili tumuombee apone maake tulikua tayari tushaamua kuishi nae ,bado tulifichwa.
Haina haja ya kutoa toa iyo kauli,sababu hatukua na uwezo wowote wa kupinga alichohitaji,hakuna chombo chochote cha habari ,wala mitandao ya kijamii iliyokua na ubavu wa kumuwekea kauzibe kwenye utendaji wake wa kazi.
Yaani katika marais waliofanya kazi bila presha basi mwendazake alikua free saaana,hapingwi na bunge,wananchi wala media.
So kusema kwamba tutakuja kumkumbuka ndio kweli tutamkumbuka kwa mema aliyofanya lakini hatujawahi kufanya jaribio loloooooote la kumuondoa mwendazake,aidha MAANDAMANO,BUNGE,kila aliyefanya hivyo nadhan inajulikana kilichomkuta.
Kusema kwamba tutakuja juta ni sawa na kuwa na mpenzi wako kila siku analalamika utakuja mkumbuka na wakati haumfanyii chochote kibaya unampa kiiila kitu anaishi kulalalama tu.
.........
JF ni shoka halitakuacha salama.Kismati cha kuitoa Chadema kutoka wabunge 100+ walioachwa na Dr Slaa hadi kubaki mbunge mmoja Joyce Mkuya??..
Hovyo kabisa kwa walamba viatu vya Mboe