Mawematatu
JF-Expert Member
- Apr 8, 2021
- 468
- 608
Nimeteseka sana na walsh mm ni mtu wa chini sina lolote.....nionavyo mie wapo waliodandia baada ya magi,,, sasa wanaogopa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
7. Kuwanyamazisha majambazi.
This is a special thread and a tribute to the late J.P.M.
Najua tupo katika kipindi cha masikitiko kama taifa, Jemedari wetu amefariki dunia, kama lisemavyo neno la Mungu katika kitabu cha biblia kuwa mfalme hawezi kuokolewa kwa na jeshi lake kubwa bali ni Bwana hutuponya na mauti ( Zaburi 33:16), yaliyoandikwa yametimia Mungu amlaze mahala pema peponi.
Hakika tutammiss , kama ule usemi usemao umuhimu wa mtu huonekana zaidi asipokuwepo..
Yafuatayo ni mambo aliyonikosha J.. P. M (R. I. P).
1. Nidhamu kwenye taasisi za serikali, kuanzia matumizi, utendaji wa kazi na utoaji wa huduma.
2. Msimamo bila kujali nchi nyingine zimeamuaje , kimsingi maamuzi mengi yalifanywa kuzingatia maslahi ya nchi sio mkumbo ( i.e chanjo ya corona).
3. Super-Mega projects zenye maslahi ya muda mrefu , S.G.R, Nyerere, Mwendokasi n.k.
4. Kuwanyoosha majirani zetu walizoea kutuibia na kutuchezea michezo ya ajabu ajabu.
5. Kuleta siasa za kuambiana ukweli na sio za kubembelazana hovyo.
6. Kukomesha ujambazi na matukio ya kihalifu majumbani.
7.
Itaendelea...
PIA SOMA>> TANZIA - Rais John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar
Huu muda unaoutumia kuandika takataka ni bora ujifunze kuandika tu.Ushauri wangu kwa Rais wetu mpendwa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia suluhu Hassan na Kwa wabunge wa bunge letu tukufu la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakiongozwa na spika wa bunge Mh job ndugai nawashauri na kuwaomba katika kuenzi Mambo makubwa yaliyofanywa na utawala wa awamu ya tano chini ya jemedari Hayati John pombe Joseph Magufuli ambaye kimsingi yeye amejipambanua kuwa ni mtetezi wa wanyonge ,shujaaa na jasiri na pia ni Rais aliyefanya Mambo makubwa ikiwemo miradi mikubwa ya kimkakati na ujenzi wa miundombinu,kuleta nidham katika serikali, na Ukombozi wa kiuchumi na kifikra.
Kwa mukhtadha huo kutokana na Mambo mengi mema aliyoyatenda mpendwa wetu na kulingana na kiwango kikubwa Cha mahaba kwa watanzania juu yake kwa nia njema ningependa nishauri lijengwe sanamu ambalo litakuwa ni kumbukumbu ya shujaa huyu wa Afrika kwa vizazi vijavyo na pia iwekwe siku maalum katika kalenda ya serikali iwe ni makhususi kwa kumuenzi yeye Kama ilivyo kwa Rais mstaafu A.karume na J.k nyerere.
Na ushauri huu umezingatia Umuhimu wa Rais ambaye amtuachi Mambo mengi mazuri na Rais amabaye ametufungulia nji n akuwa mfano wa kuigwa katika dunia.
Tujitahidi kuthamini vyakwetu na tumashukuru Mungu kwa neema aliyotupa na tumuenzi mpendwa wetu.
Nafikiri takataka nazo zinafaida ndio maana umezisoma.Huu muda unaoutumia kuandika takataka ni bora ujifunze kuandika tu.
Chuki yako haibadilishi ukweli wa Mambo kuwa Magufuli ni shujaa Hadi wajukuu wako watamkumbuka kwa mema aliyoyafanya.Mimi nasisitiza tufanye jambo makhususi kumuenzi huyu shujaa wetu.Ugolo
Una bahati leo sijatembea na kiboko changu. Wallah ungeramba za mgongoni[emoji848][emoji848]Ushauri wangu kwa Rais wetu mpendwa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia suluhu Hassan na Kwa wabunge wa bunge letu tukufu la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakiongozwa na spika wa bunge Mh job ndugai nawashauri na kuwaomba katika kuenzi Mambo makubwa yaliyofanywa na utawala wa awamu ya tano chini ya jemedari Hayati John pombe Joseph Magufuli.
Ambaye kimsingi akiwa Kama Rais amejipambanua kuwa ni mtetezi wa wanyonge ,shujaaa na jasiri.
Pia ni Rais aliyefanya Mambo makubwa ikiwemo miradi mikubwa ya kimkakati na ujenzi wa miundombinu,kuleta nidham katika serikali, na Ukombozi wa kiuchumi na kifikra.
Kwa mukhtadha huo kutokana na Mambo mengi mema aliyoyatenda mpendwa wetu na kulingana na kiwango kikubwa Cha mahaba kwa watanzania juu yake kwa nia njema ningependa nishauri lijengwe sanamu ambalo litakuwa ni kumbukumbu ya shujaa huyu wa Afrika kwa vizazi vijavyo na pia iwekwe siku maalum katika kalenda ya serikali iwe ni makhususi kwa kumuenzi yeye Kama ilivyo kwa marais wastaafu A.karume na J.k nyerere.
Na ushauri huu umezingatia Umuhimu wa Rais ambaye amtuachi Mambo mengi mazuri na Rais amabaye ametufungulia nji n akuwa mfano wa kuigwa katika dunia.
Tujitahidi kuthamini vyakwetu na tumshukuru Mungu kwa neema aliyotupa na tumuenzi mpendwa wetu.Watu Kama Magufuli ninadra Sana kuzaliwa duniani.
Hahahahaaaa najua wewe ni katika wale mnaopambana kumchafua mpendwa wetu.Una bahati leo sijatembea na kiboko changu. Wallah ungeramba za mgongoni[emoji848][emoji848]
Uzi wako mbona siuoni mkuuHahahahaaaa najua wewe ni katika wale mnaopambana kumchafua mpendwa wetu.
Mkuu usitumie nguvu kubwa kusafisha oil chafu.Hahahahaaaa najua wewe ni katika wale mnaopambana kumchafua mpendwa wetu.
Wameufuta siunajua humu viongozi wa jukwa tupo nao ktk coment wakiona umewashinda hoja wanafuta thread yako . Ukweli jamii forums ndio mtandao Bora zaidi kwa Tanzania lakini kasoro kubwa ni kuminya Uhuru wa maoni ya watu .Uzi wako mbona siuoni mkuu