Ed Kawiche
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 2,987
- 5,566
kaua haki za binadamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpe mchawi akulele mtoto.Hiii ni legacy nyingine ya Magufuli.
Kabla ya magufuli kushika madaraka vikongwe hasa wa kanda ya ziwa waliripotiwa kuuawa kwa imani za kishirkina.
Katukatili kutokupanda kwa mishahara miaka sita kudadekkaua haki za binadamu
Sisi wazalendo tunampenda na ataendelea kuishi katika mioyo yetu ametutendea Makubwa Sana.Mkuu usitumie nguvu kubwa kusafisha oil chafu.
me cjazisomaNafikiri takataka nazo zinafaida ndio maana umezisoma.
kama wewe mzalendo mfuate kuzimu ukateketee naeSisi wazalendo tunampenda na ataendelea kuishi katika mioyo yetu ametutendea Makubwa Sana.
Kwa hiyo umetoa maoni kwa kitu amabacho hujakisoma?me cjazisoma
Bwana Bure Kwenye Utawala Wangu HakunaShukrani ya nini, kwani Magufuli alikua anafanya kazi bure?
Kifo hakikimbiliki wakati wangu ukifika nitaenda hata wewe utakufa ndugu yangu.Mungu hapangiwi.kama wewe mzalendo mfuate kuzimu ukateketee nae
kichwa cha uzi tu ni utopolo kama maguKwa hiyo umetoa maoni kwa kitu amabacho hujakisoma?
wewe unasemaje?Kwani vikongwe walikuwa wanamkosoa Marehemu Mzee Pombe ?
Mimi nasema hivi, nyie mataga pori mkalime mibuyu huko kongwa kwasababu tayari marehemu mzee pombe kafa na buku 7 zenu.wewe unasemaje?
tutabaki mjiniMimi nasema hivi, nyie mataga pori mkalime mibuyu huko kongwa kwasababu tayari marehemu mzee pombe kafa na buku 7 zenu.
Ila ulisikia mauaji ya kwenye viroba ,mauaji ya wapinzani ,watekaji/wasiojulikana.Hiii ni legacy nyingine ya Magufuli.
Kabla ya magufuli kushika madaraka vikongwe hasa wa kanda ya ziwa waliripotiwa kuuawa kwa imani za kishirkina.
Kwa kipindi cha miaka mitano sijasikia wimbi la mauaji ya vikongwe hata katika media za nje kama BBC.
Magufuli kanyoosha vitu vingi sana .. mimi sijasikia jambazi kavamia tigo pesa ama mtu mtaani kwetu . Zamani ilikuwa kila mwezi
ya waandishi wa habari, wapinzani, wakosoaji?