Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Hiii ni legacy nyingine ya Magufuli.
Kabla ya magufuli kushika madaraka vikongwe hasa wa kanda ya ziwa waliripotiwa kuuawa kwa imani za kishirkina.
Kwa kipindi cha miaka mitano sijasikia wimbi la mauaji ya vikongwe hata katika media za nje kama BBC.
Ila ulisikia mauaji ya kwenye viroba ,mauaji ya wapinzani ,watekaji/wasiojulikana.
 
Magufuli kanyoosha vitu vingi sana .. mimi sijasikia jambazi kavamia tigo pesa ama mtu mtaani kwetu . Zamani ilikuwa kila mwezi

Wale vibaka tu ,ushasikia jambazi anaenda kuiba kwenye vibanda vya mpesa/tigo pesa?
 
Back
Top Bottom