Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Nimeteseka sana na walsh mm ni mtu wa chini sina lolote.....nionavyo mie wapo waliodandia baada ya magi,,, sasa wanaogopa
 
This is a special thread and a tribute to the late J.P.M.

Najua tupo katika kipindi cha masikitiko kama taifa, Jemedari wetu amefariki dunia, kama lisemavyo neno la Mungu katika kitabu cha biblia kuwa mfalme hawezi kuokolewa kwa na jeshi lake kubwa bali ni Bwana hutuponya na mauti ( Zaburi 33:16), yaliyoandikwa yametimia Mungu amlaze mahala pema peponi.

Hakika tutammiss , kama ule usemi usemao umuhimu wa mtu huonekana zaidi asipokuwepo..

Yafuatayo ni mambo aliyonikosha J.. P. M (R. I. P).

1. Nidhamu kwenye taasisi za serikali, kuanzia matumizi, utendaji wa kazi na utoaji wa huduma.

2. Msimamo bila kujali nchi nyingine zimeamuaje , kimsingi maamuzi mengi yalifanywa kuzingatia maslahi ya nchi sio mkumbo ( i.e chanjo ya corona).

3. Super-Mega projects zenye maslahi ya muda mrefu , S.G.R, Nyerere, Mwendokasi n.k.

4. Kuwanyoosha majirani zetu walizoea kutuibia na kutuchezea michezo ya ajabu ajabu.

5. Kuleta siasa za kuambiana ukweli na sio za kubembelazana hovyo.

6. Kukomesha ujambazi na matukio ya kihalifu majumbani.

7.

Itaendelea...

PIA SOMA>> TANZIA - Rais John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar
7. Kuwanyamazisha majambazi.
8. Kumnyamazisha kikwete. Kwa sasa naanza kumsikia kwa mbaaaali.
9. Kuwatuliza wazee wa pembe za ndovu
10. Kuwapunguza wazee wa ngada
11. Kuyiwanyenyekea mabeberu
12. Kutujengea ujasili katika janga la cotona
 
Ushauri wangu kwa Rais wetu mpendwa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia suluhu Hassan na Kwa wabunge wa bunge letu tukufu la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakiongozwa na spika wa bunge Mh job ndugai nawashauri na kuwaomba katika kuenzi Mambo makubwa yaliyofanywa na utawala wa awamu ya tano chini ya jemedari Hayati John pombe Joseph Magufuli.
Ambaye kimsingi akiwa Kama Rais amejipambanua kuwa ni mtetezi wa wanyonge ,shujaaa na jasiri.
Pia ni Rais aliyefanya Mambo makubwa ikiwemo miradi mikubwa ya kimkakati na ujenzi wa miundombinu,kuleta nidham katika serikali, na Ukombozi wa kiuchumi na kifikra.
Kwa mukhtadha huo kutokana na Mambo mengi mema aliyoyatenda mpendwa wetu na kulingana na kiwango kikubwa Cha mahaba kwa watanzania juu yake kwa nia njema ningependa nishauri lijengwe sanamu ambalo litakuwa ni kumbukumbu ya shujaa huyu wa Afrika kwa vizazi vijavyo na pia iwekwe siku maalum katika kalenda ya serikali iwe ni makhususi kwa kumuenzi yeye Kama ilivyo kwa marais wastaafu A.karume na J.k nyerere.
Na ushauri huu umezingatia Umuhimu wa Rais ambaye amtuachi Mambo mengi mazuri na Rais amabaye ametufungulia nji n akuwa mfano wa kuigwa katika dunia.
Tujitahidi kuthamini vyakwetu na tumshukuru Mungu kwa neema aliyotupa na tumuenzi mpendwa wetu.Watu Kama Magufuli ninadra Sana kuzaliwa duniani.
 
Ushauri wangu kwa Rais wetu mpendwa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia suluhu Hassan na Kwa wabunge wa bunge letu tukufu la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakiongozwa na spika wa bunge Mh job ndugai nawashauri na kuwaomba katika kuenzi Mambo makubwa yaliyofanywa na utawala wa awamu ya tano chini ya jemedari Hayati John pombe Joseph Magufuli ambaye kimsingi yeye amejipambanua kuwa ni mtetezi wa wanyonge ,shujaaa na jasiri na pia ni Rais aliyefanya Mambo makubwa ikiwemo miradi mikubwa ya kimkakati na ujenzi wa miundombinu,kuleta nidham katika serikali, na Ukombozi wa kiuchumi na kifikra.
Kwa mukhtadha huo kutokana na Mambo mengi mema aliyoyatenda mpendwa wetu na kulingana na kiwango kikubwa Cha mahaba kwa watanzania juu yake kwa nia njema ningependa nishauri lijengwe sanamu ambalo litakuwa ni kumbukumbu ya shujaa huyu wa Afrika kwa vizazi vijavyo na pia iwekwe siku maalum katika kalenda ya serikali iwe ni makhususi kwa kumuenzi yeye Kama ilivyo kwa Rais mstaafu A.karume na J.k nyerere.
Na ushauri huu umezingatia Umuhimu wa Rais ambaye amtuachi Mambo mengi mazuri na Rais amabaye ametufungulia nji n akuwa mfano wa kuigwa katika dunia.
Tujitahidi kuthamini vyakwetu na tumashukuru Mungu kwa neema aliyotupa na tumuenzi mpendwa wetu.
Huu muda unaoutumia kuandika takataka ni bora ujifunze kuandika tu.
 
Amakweli kuna vitu vinastaajabisha dunia

Analokusudia Mungu halipingwi, halifanyiwi arguments, na hata ukiargue haisaidii wala kubadilisha maamuzi, haibadilishi chochote

Pesa haisaidiii
Elimu haisaidii
Umaarufu hausaidii
Kabila halisaidii

Hapo ndipo Mungu anashangaza viumbe vyote....''KIFO''

Tujifunze kuinvest kwa ''Watu'' kwanza kabla ya kuinvest kwa vitu ili tupate kibali.
 
Ushauri wangu kwa Rais wetu mpendwa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia suluhu Hassan na Kwa wabunge wa bunge letu tukufu la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakiongozwa na spika wa bunge Mh job ndugai nawashauri na kuwaomba katika kuenzi Mambo makubwa yaliyofanywa na utawala wa awamu ya tano chini ya jemedari Hayati John pombe Joseph Magufuli.
Ambaye kimsingi akiwa Kama Rais amejipambanua kuwa ni mtetezi wa wanyonge ,shujaaa na jasiri.
Pia ni Rais aliyefanya Mambo makubwa ikiwemo miradi mikubwa ya kimkakati na ujenzi wa miundombinu,kuleta nidham katika serikali, na Ukombozi wa kiuchumi na kifikra.
Kwa mukhtadha huo kutokana na Mambo mengi mema aliyoyatenda mpendwa wetu na kulingana na kiwango kikubwa Cha mahaba kwa watanzania juu yake kwa nia njema ningependa nishauri lijengwe sanamu ambalo litakuwa ni kumbukumbu ya shujaa huyu wa Afrika kwa vizazi vijavyo na pia iwekwe siku maalum katika kalenda ya serikali iwe ni makhususi kwa kumuenzi yeye Kama ilivyo kwa marais wastaafu A.karume na J.k nyerere.
Na ushauri huu umezingatia Umuhimu wa Rais ambaye amtuachi Mambo mengi mazuri na Rais amabaye ametufungulia nji n akuwa mfano wa kuigwa katika dunia.
Tujitahidi kuthamini vyakwetu na tumshukuru Mungu kwa neema aliyotupa na tumuenzi mpendwa wetu.Watu Kama Magufuli ninadra Sana kuzaliwa duniani.
Una bahati leo sijatembea na kiboko changu. Wallah ungeramba za mgongoni[emoji848][emoji848]
 
Uzi wako mbona siuoni mkuu
Wameufuta siunajua humu viongozi wa jukwa tupo nao ktk coment wakiona umewashinda hoja wanafuta thread yako . Ukweli jamii forums ndio mtandao Bora zaidi kwa Tanzania lakini kasoro kubwa ni kuminya Uhuru wa maoni ya watu .
Nafikiri wanayapata malalamiko ya wadau wanatakiwa wabadilike .
Mtu aseme anachokitaka ilimradi hajavunja Sheria watu wasipangiwe Cha kusema.
Tunahubiri demokrasia na Uhuru wa habari ajabu sisi ndio wa Kwanza kupindisha Mambo .
Humu jf watu waoga Sana hata kusema ukweli wanaogopa ban sidhan Kama tutafika kwa style hii.
Kwa nn jf isiwe huru Kama twitter na fb.
I
 
Hiii ni legacy nyingine ya Magufuli.

Kabla ya Magufuli kushika madaraka vikongwe hasa wa kanda ya ziwa waliripotiwa kuuawa kwa imani za kishirkina.

Kwa kipindi cha miaka mitano sijasikia wimbi la mauaji ya vikongwe hata katika media za nje kama BBC.
 
Magufuli kanyoosha vitu vingi sana .. mimi sijasikia jambazi kavamia tigo pesa ama mtu mtaani kwetu . Zamani ilikuwa kila mwezi
 
Back
Top Bottom