Hiii ni legacy nyingine ya Magufuli.
Kabla ya magufuli kushika madaraka vikongwe hasa wa kanda ya ziwa waliripotiwa kuuawa kwa imani za kishirkina.
Kwa kipindi cha miaka mitano sijasikia wimbi la mauaji ya vikongwe hata katika media za nje kama BBC.
Mauaji ya vikongwe kwani yalikuwa yanatokea kanda gani?
 
Hiii ni legacy nyingine ya Magufuli.
Kabla ya magufuli kushika madaraka vikongwe hasa wa kanda ya ziwa waliripotiwa kuuawa kwa imani za kishirkina.
Kwa kipindi cha miaka mitano sijasikia wimbi la mauaji ya vikongwe hata katika media za nje kama BBC.
Ni kweli hapakuwa na mauaji ya vikongwe. Lakini raia wamepotea. Miili imekutwa kwenye viroba. Ben Saanane? Azory Gwanda?, na wengineo. Mikono imejaa damu!
 
Hiii ni legacy nyingine ya Magufuli.
Kabla ya magufuli kushika madaraka vikongwe hasa wa kanda ya ziwa waliripotiwa kuuawa kwa imani za kishirkina.
Kwa kipindi cha miaka mitano sijasikia wimbi la mauaji ya vikongwe hata katika media za nje kama BBC.
Ila umesikia mauaji ya vijana sio?
 
Ni kweli. Alibakia muuwaji mmoja tu.....wote tunamjua!
 
Kwanza wewe umekosa adabu.Unamwandika BaBa waTaifa kama mwanao.Nyie sukuma gang walaji mpaka wake zenu.Huyo mke wa spika milioni 200, n.k Wamuenzi kwa kipi?Mabilioni kuibiwa,watu kubambikiwa makodi na makesi,kuwadanganya walalahoi kuwa njia tajiri kumbe sukuma gang wanakula mabilioni,kuwatia ndani watu,kuvunja sheria,katiba n.k Tena UKOME kumfafanisha na Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na Mzee Abeid Karume.Kasome ripoti ya CAG.
 
Hiii ni legacy nyingine ya Magufuli.
Kabla ya magufuli kushika madaraka vikongwe hasa wa kanda ya ziwa waliripotiwa kuuawa kwa imani za kishirkina.
Kwa kipindi cha miaka mitano sijasikia wimbi la mauaji ya vikongwe hata katika media za nje kama BBC.
Magufuli alikuwa na kipawa cha uumbaji cha baraka! Alichosema kiwe kulikuwa na alichokizuia kisiwe kilitokomea na kufa...rejea Accasia'!
Kipindi cha Magu hata wanyama wetu kwenye mbuga zetu za wanyama waliofurahi na kuzaana! Hata tausi wetu nao wali'enjoy' saana na kuzaana sana!
Mh. Dr JPM alikuwa baraka na nuru kutoka kwa Mungu kwetu watanzania! Tunamuomba Mungu ampumuzishe rahani mwake penye amani ya milele shujaa wetu Mh Dr JPM πŸ™πŸ™πŸ˜­!
Hata wanyama pia watakumiss sana mpendwa wetu!
 
Hiii ni legacy nyingine ya Magufuli.
Kabla ya magufuli kushika madaraka vikongwe hasa wa kanda ya ziwa waliripotiwa kuuawa kwa imani za kishirkina.
Kwa kipindi cha miaka mitano sijasikia wimbi la mauaji ya vikongwe hata katika media za nje kama BBC.
1. Alitekwa Ben Sanane
2. Alitekwa Mo Dewji
3. Kapotea Azory Gwanda
4.Akauwawa Alphonce Mawazo
5. Alitekwa Kanguye

Ulitaka mpaka afe kikongwe ndiyo ujue kuwa yule alikuwa ni shetani?
 
Hiii ni legacy nyingine ya Magufuli.
Kabla ya magufuli kushika madaraka vikongwe hasa wa kanda ya ziwa waliripotiwa kuuawa kwa imani za kishirkina.
Kwa kipindi cha miaka mitano sijasikia wimbi la mauaji ya vikongwe hata katika media za nje kama BBC.

I love you kakake mama D
 
Magaidi ya Msumbiji yamechinja watu mtwara haikutangazwa hadi yeye mwenyew aliogopa kwenda
 
Wameufuta siunajua humu viongozi wa jukwa tupo nao ktk coment wakiona umewashinda hoja wanafuta thread yako . Ukweli jamii forums ndio mtandao Bora zaidi kwa Tanzania lakini kasoro kubwa ni kuminya Uhuru wa maoni ya watu...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa kwanini wameufuta jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…