Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Hiii ni legacy nyingine ya Magufuli.
Kabla ya magufuli kushika madaraka vikongwe hasa wa kanda ya ziwa waliripotiwa kuuawa kwa imani za kishirkina.
Kwa kipindi cha miaka mitano sijasikia wimbi la mauaji ya vikongwe hata katika media za nje kama BBC.
Mauaji ya vikongwe kwani yalikuwa yanatokea kanda gani?
 
Hiii ni legacy nyingine ya Magufuli.
Kabla ya magufuli kushika madaraka vikongwe hasa wa kanda ya ziwa waliripotiwa kuuawa kwa imani za kishirkina.
Kwa kipindi cha miaka mitano sijasikia wimbi la mauaji ya vikongwe hata katika media za nje kama BBC.
Ni kweli hapakuwa na mauaji ya vikongwe. Lakini raia wamepotea. Miili imekutwa kwenye viroba. Ben Saanane? Azory Gwanda?, na wengineo. Mikono imejaa damu!
 
Hiii ni legacy nyingine ya Magufuli.
Kabla ya magufuli kushika madaraka vikongwe hasa wa kanda ya ziwa waliripotiwa kuuawa kwa imani za kishirkina.
Kwa kipindi cha miaka mitano sijasikia wimbi la mauaji ya vikongwe hata katika media za nje kama BBC.
Ila umesikia mauaji ya vijana sio?
 
Ni kweli. Alibakia muuwaji mmoja tu.....wote tunamjua!
 
Ushauri wangu kwa Rais wetu mpendwa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia suluhu Hassan na Kwa wabunge wa bunge letu tukufu la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakiongozwa na spika wa bunge Mh job ndugai nawashauri na kuwaomba katika kuenzi Mambo makubwa yaliyofanywa na utawala wa awamu ya tano chini ya jemedari Hayati John pombe Joseph Magufuli.
Ambaye kimsingi akiwa Kama Rais amejipambanua kuwa ni mtetezi wa wanyonge ,shujaaa na jasiri.
Pia ni Rais aliyefanya Mambo makubwa ikiwemo miradi mikubwa ya kimkakati na ujenzi wa miundombinu,kuleta nidham katika serikali, na Ukombozi wa kiuchumi na kifikra.
Kwa mukhtadha huo kutokana na Mambo mengi mema aliyoyatenda mpendwa wetu na kulingana na kiwango kikubwa Cha mahaba kwa watanzania juu yake kwa nia njema ningependa nishauri lijengwe sanamu ambalo litakuwa ni kumbukumbu ya shujaa huyu wa Afrika kwa vizazi vijavyo na pia iwekwe siku maalum katika kalenda ya serikali iwe ni makhususi kwa kumuenzi yeye Kama ilivyo kwa marais wastaafu A.karume na J.k nyerere.
Na ushauri huu umezingatia Umuhimu wa Rais ambaye amtuachi Mambo mengi mazuri na Rais amabaye ametufungulia nji n akuwa mfano wa kuigwa katika dunia.
Tujitahidi kuthamini vyakwetu na tumshukuru Mungu kwa neema aliyotupa na tumuenzi mpendwa wetu.Watu Kama Magufuli ninadra Sana kuzaliwa duniani.
Kwanza wewe umekosa adabu.Unamwandika BaBa waTaifa kama mwanao.Nyie sukuma gang walaji mpaka wake zenu.Huyo mke wa spika milioni 200, n.k Wamuenzi kwa kipi?Mabilioni kuibiwa,watu kubambikiwa makodi na makesi,kuwadanganya walalahoi kuwa njia tajiri kumbe sukuma gang wanakula mabilioni,kuwatia ndani watu,kuvunja sheria,katiba n.k Tena UKOME kumfafanisha na Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na Mzee Abeid Karume.Kasome ripoti ya CAG.
 
Hiii ni legacy nyingine ya Magufuli.
Kabla ya magufuli kushika madaraka vikongwe hasa wa kanda ya ziwa waliripotiwa kuuawa kwa imani za kishirkina.
Kwa kipindi cha miaka mitano sijasikia wimbi la mauaji ya vikongwe hata katika media za nje kama BBC.
Magufuli alikuwa na kipawa cha uumbaji cha baraka! Alichosema kiwe kulikuwa na alichokizuia kisiwe kilitokomea na kufa...rejea Accasia'!
Kipindi cha Magu hata wanyama wetu kwenye mbuga zetu za wanyama waliofurahi na kuzaana! Hata tausi wetu nao wali'enjoy' saana na kuzaana sana!
Mh. Dr JPM alikuwa baraka na nuru kutoka kwa Mungu kwetu watanzania! Tunamuomba Mungu ampumuzishe rahani mwake penye amani ya milele shujaa wetu Mh Dr JPM 🙏🙏😭!
Hata wanyama pia watakumiss sana mpendwa wetu!
 
Hiii ni legacy nyingine ya Magufuli.
Kabla ya magufuli kushika madaraka vikongwe hasa wa kanda ya ziwa waliripotiwa kuuawa kwa imani za kishirkina.
Kwa kipindi cha miaka mitano sijasikia wimbi la mauaji ya vikongwe hata katika media za nje kama BBC.
1. Alitekwa Ben Sanane
2. Alitekwa Mo Dewji
3. Kapotea Azory Gwanda
4.Akauwawa Alphonce Mawazo
5. Alitekwa Kanguye

Ulitaka mpaka afe kikongwe ndiyo ujue kuwa yule alikuwa ni shetani?
 
Hiii ni legacy nyingine ya Magufuli.
Kabla ya magufuli kushika madaraka vikongwe hasa wa kanda ya ziwa waliripotiwa kuuawa kwa imani za kishirkina.
Kwa kipindi cha miaka mitano sijasikia wimbi la mauaji ya vikongwe hata katika media za nje kama BBC.

I love you kakake mama D
 
Magaidi ya Msumbiji yamechinja watu mtwara haikutangazwa hadi yeye mwenyew aliogopa kwenda
 
Wameufuta siunajua humu viongozi wa jukwa tupo nao ktk coment wakiona umewashinda hoja wanafuta thread yako . Ukweli jamii forums ndio mtandao Bora zaidi kwa Tanzania lakini kasoro kubwa ni kuminya Uhuru wa maoni ya watu...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa kwanini wameufuta jamani
 
Back
Top Bottom