Magu huyu huyu aliyempigia simu RC wenu mpendwa?
 
jamaa lilikiwa linaichukia sana mbeya, likasahau mbeya ipo kabla yake na itaendelea kuwepo, lakini bahati nzuri na sisi wana Mbeya tulikuwa tunamchukia zaidi, na maombi yetu yamefanikiwa.
 
He is My sons's legacy

Amenisaidia Mambo mengi.

JPM kafanya mengi makubwa kuliko Rais yeyote aliwewahi pita nakosa la kuandika kabisa vidole vinatetemeka, Nimelia Mimi leo

Naogopa nchi yetu inarudi shimoni

MUNGU TUANGALIE TENA WAJA WAKO
Hasa suala la ajira ameajiri watumishi wengi kuliko Rais yoyote !!! Alipandisha mishahara saaaaanaa yani watumishi wamefurahi sana hawakutegemea !!! Hakuwa mbinafisi wala hakujenga kwao kama Jakaya kikwete na BW Mkapa ,Jpm hakuwa mbinafsi kaaabisa ,aliwapenda sana wakisoaji wake mpaka akawafungulia account benk,sita msahau kwa uwezo wake mzuri sana wa kuimudu lugha yaa kiingereza kweli aliimudu,Aliwaongezea pesa benk wafanyabiashara hakukwapua pesa benk ( account za watu) yan aliwaita na kuongea nao kisha akawaongezea pesa!!!alichagua zaidi watu woteee kuwapa nafasi kubwa hakipendelea kabila lake wala kanda yake
 
Kurudisha heshima ya vyeti Dah! Wenye vyeti feki walishaona kukaa darasani ni bure!!!!!! MAGUFULI HONGERAAAAAA
 
Mjiandae sasa hali yote hiyo inakuja kurudi

Watu watamkumvuka tu

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Amkumbuke nani??? Kama vyeti fek ,ufisadi ,wizi ,upo na mishahara inapanda na ajira zipo potelea mbali kuliko wakati wake ooooh ntaongeza mshahara ooooh nyokonyoko kweeeeeendaaa utamkumbuka wewe na mumeo
 
Wafanyakazi wa serikali watamkumbuka saaaana yan ndie Rais aliyeongeza mshahara kupita woooooote
Wahitimu watamkumbuka yaaani alipunguza makato kwa watoto wa masikini kutoka iliyokua unachajiwa na kikwete 16% to 8% kweli huyu alikua Rais wa wayonge jamani
Ali ajiri saaaana yaaani kuanzia 2015 yani ni kumwaga ajira tuuuuu vijana walineeemeka sana
Hakuwa mkabika na mkanda kama watangulizi wake ambao walijali kwao tuuu !!! Huyu yeye alikua jaangali kabila UA watu wa kanda yake
Pia aliwa wafanya biashara pesa ( hakuwapora kaaaabisa yani )
Hospitali zilijaaaaaa dawa
Wapinzani waliwapenda sanaa yani aliwafungulia ac benk
Alianzisha mirad yenye faida saaaana mfano alinunua midege kwa mwaka faida ni 60 billion
Aliimudu sana lugha ya kiingereza yani mm huyu ni roli modo wangu
Aliliheshimu saaaana bunge hakufanya kitu bila ridhaa ya bunge
 
Mkuu Jmamos ntakua hapo kidimbwi nachoma Mbuzi kama utakua mtaa ntakuita tuje tuyajenge. KIMSINGI MIMI PIA SIJAWAHI VUTIWA NA JIWE HATA KIDOGO NA NILISHASEMA KAMA MUNGU ALITULETEA JIWE MILELE BASI KUNA SEHEMU TULIMKOSEA NA NDO HYO KAMTWAA
Mwenzio Nina kato ni za wine na nimesha lianzisha !!!
 
Mzuri kwenu
 
Walizimia na kubebwa huku mkononi wameshikilia mifuko ya viporo yaaani usaniii mtupuuuuuu afe tuuuuu
 
Viongozi wangu watatu bora Tanzania
1. Mwl.Julius Kambarage Nyerere
2. Edward Moringe Sokoine
3. John Pombe Magufuli

Nyongeza;
4. Chifu Mkwawa
5. B.W. Mkapa

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…