He is My son's legacy
Amenisaidia Mambo mengi.

JPM kafanya mengi makubwa kuliko Rais yeyote aliwewah pita nakosa la kuandika kabisa vidole vinatetemeka, Nimelia Mimi leo

Naogopa nchi yetu inarudi shimoni

MUNGU TUANGALIE TENA WAJA WAKO
Hayo mengi makubwa itakuwa kwenye familia yako, nauwakika hata ukoo wako haujafanyiwa hayo makubwa.
 
He is My son's legacy
Amenisaidia Mambo mengi.

JPM kafanya mengi makubwa kuliko Rais yeyote aliwewah pita nakosa la kuandika kabisa vidole vinatetemeka, Nimelia Mimi leo

Naogopa nchi yetu inarudi shimoni

MUNGU TUANGALIE TENA WAJA WAKO
Mungu anapenda uonevu km aliokuwa anaufanya?Usimhusishe Mungu na urais wa tz.
 
Nitamkumbuka kwa siasa chafu ,utekaji wa raia wanaoikosoa serikali, mauaji ya wanasiasa wa upinzani, utawala usiofuata katiba na sheria za nchi. Suala la miradi ya maendeleo ilikuaa ni wajibu wake na ndio alichaguliwa kwasababu hizo. Otherwise lala jiwe
 
Ni kweli inawezekana kuna baadhi ya mambo tulikua tunamchukia magufuli lakini misimamo yake kuhusu kenya na baba zenu mabeberu nipende kuwaakikishia tu tutazidi kuienzi na kwanza ndio tutawakazia zaidi maana naona wakenya mmefurai sana
 
1.Chato International Airport
2.Chato National Park
3.Trafic light Chato
4.3 star hotel Chato (TANAPA)
5.Bohari ya kanda madawa Chato
6.Hospital ya rufaa Chato
7.Stadium (proposa)
8.CRDB Chato
Da Umenikumbusha hadithi ya kwenye biblia ya Tajiri alievuna Sana akajaza ghala zote akajipiga kifua, na Nile na kunywa maana Nina kila kitu, MUNGU akamjibu mpumbavu wewe usiku huu naichukua roho yako.
 
Ni kweli inawezekana kuna baadhi ya mambo tulikua tunamchukia magufuli lakini misimamo yake kuhusu kenya na baba zenu mabeberu nipende kuwaakikishia tu tutazidi kuienzi na kwanza ndio tutawakazia zaidi maana naona wakenya mmefurai sana
Unaona kama chuki yenyu itatupunguzia hewa ama?
 
He is My son's legacy
Amenisaidia Mambo mengi.

JPM kafanya mengi makubwa kuliko Rais yeyote aliwewah pita nakosa la kuandika kabisa vidole vinatetemeka, Nimelia Mimi leo

Naogopa nchi yetu inarudi shimoni

MUNGU TUANGALIE TENA WAJA WAKO
Hongera kwa kusaidiwa

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…