Umeandika upuuzi na riwaya ya kufikirika.

Eti 90% ya watanzania, ni lini ulifanya utafiti huo. Magufuli alikuwa kiongozi dikteta ambaye aliitawala nchi kwa siasa za hila na uwongo. Wapo wajinga waliohadaika na hila zake lakini kila mwenye akiki alijua kuwa tuna kiongozi wa ajabu
 
Kumuchafua.......

alimuleta..........

rekebisha hayo mkuu vizuri.
 
Magufuli alikua na makosa mengi lakini kwenye kodi alikua sahihi.

Watu kama Antony Dialo ni wezi wanajulikana na wakwepa kodi, hakuna asiefahamu hilo.

Mwambieni alipe madeni ya mishahara, alipe maji, alipe umeme maana hao wanamdai sio kidogo.
 
Hadi kuniona humu jua kuwa natumia hela, nina miradi yangu mingi tu ambayo hata nikiamua kutokufanya kazi mpka miaka 100 ijayo nitaendelea kula vizuri na kusomesha ndugu, familia na wasiojiweza kama navyofanya sasa.
Miradi ya shemeji yako ndio imekua yako?
 
Hadi kuniona humu jua kuwa natumia hela, nina miradi yangu mingi tu ambayo hata nikiamua kutokufanya kazi mpka miaka 100 ijayo nitaendelea kula vizuri na kusomesha ndugu, familia na wasiojiweza kama navyofanya sasa.
Usingeongea upuuzi huu,
 
... nani ana muda wa kumtuma nani na ukweli uko wazi hivyo? ... acha wakina Diallo waseme ukweli utakaotuweka huru! UNAFIKI TUPA KULEE!
View attachment 1848043
Huo ukweli anaousema sasa ndo unafiki wenyewe nyie nyumbu mnaubariki na kumuona diallo ni mtu poa kasema ukweli kipindi chote alikuwa wapi? Kama magufuli alipitishwa na nec 100% na yeye ni mnec kwanini wasinge mcrush kuanzia mwanzo? Au ni vile kaonge vile vitu mnavyopenda kusikia ?
 
Mnatafutana ubaya,
Mama amesema hataki fedha za DHULUMA.
Mkitaka rudisheni fedha zote mlizodhulumu,Waombeni MSAMAHA wale wote mlio WAPOTEZA na MLIOWAJERUHI.Ndio tujadili legacy.

Wakwepa kodi TRA washughulike nao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…