kirengased
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 6,348
- 7,058
Futeni hii kitu mods vp
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah acha tu mamiloo.ila kama binadamu kahuzuni kapo aisee pamoja na ubabe wao jicho moja nilishangaa limetoa kachozi aisee, ila tukifa sisi wao machozi ni ya Samaki aisee, hawanaga hawa uvccm roho mbovu.Mungu ni mkali balaa
Haya maisha kumbe hayana maana kabisa ptuuu[emoji848]
Ukatili, ubabe, uuaji, kupoteza watu, kusigina katiba, kupirisha sheria kandamizi, wizi, kubambikia watu kesi, lugha chafu, hotuva za hovyo, mirdi isiyo ya tija, kukandamiza upinzani, uongo mfarakanishi hayo ni nusu tu.This is a special thread and a tribute to the late J.P.M.
Najua tupo katika kipindi cha masikitiko kama taifa, Jemedari wetu amefariki dunia, kama lisemavyo neno la Mungu katika kitabu cha biblia kuwa mfalme hawezi kuokolewa kwa na jeshi lake kubwa bali ni Bwana hutuponya na mauti ( Zaburi 33:16), yaliyoandikwa yametimia Mungu amlaze mahala pema peponi.
Haya uliyoandika hapa ni orodha ndefu ambayo ni vigumu kwa yeyote kuipinga.Nitamkumbua Magufuli kwa ukatili wake wa kutisha
1. Kuvunja nyumba za wananchi wa Kimara - Mbezi bila chembe ya huruma ila wale wa mwanza aliwaachia
2.Kupora Korosho za wananchi wa mikoa ya kusini kwa mtutu wa bunduki, hii hali iiwatia wananchi umasikini
3. Bila kujali kuwa watu wameshahudumu serikalini kwa muda mrefu na wanategemea kustaafu, akapitisha hoja ya uhakiki na kuwafukuza maelfu ya watu hao Huku akiwaacha bila kuwagusa wanasiasa na wateule wake katika hilo zoezi
4. Kubabikizia watu kesi za uhujumu uchumi, kuwatesa kupitia mfumo wa mashitaka na kuzisababishia familia zao maumivu makubwa na hali ngumu
5. Kuendelea kuwashikilia mamia ya masheikh walioko jela huku akisamehe wabakaji akina Babu Seya
6. Kukataa kuwapa watumishi wa serikai stahiki zao kwa wakati, ikiwemo kupandishwa madaraja na nyongeza za ishahara
7. Kuharibu chaguzi zote zilizofanyika chini ya serikali yake, kuanzia zile za marudio, serikali za mitaa na uchaguzi mkuu, Alidhuluu haki ya wananchi kuchagua viongozi wao
8. Magufuli alitunga sheria kandamizi, na kuvuruga misingi ya katiba. Kafanya kia jitihada kulifanya bunge liwe butu, kuiweka mahakama mfukoni etc
9. Magufuli alikuwa na kauli mbaya zisizo na staha mfano "sisomeshi wazazi, serikali siyo iliyoleta tetemeko, baki na mavi yako nyumbani, nitapiga mashangazi.. etc"
10. Alikuwa na miradi kadhaa au mpango wa miradi kadhaa ambayo ni white elephant mfano, uwanja wa ndege Chato, Midege,Mpango wa Uwanja wa mpira Chato
11..Magufuli alikuwa mdini, huhitaji kuwa mwanasayansi wa elimu ya jamii kuona kuwa teuzi zake ziliaia sana watu wa imani moja
12. Magufuli alikuwa haheshimu katiba waa sheria pale zinapokinzana na anachokitaka yeye, mfano haki ya kufanya siasa kwa vyama vya siasa iliyokuwepo kikatiba hakuiheshimu
13. Magufulu hakuthubutu na wala hakujali kufanya uchunguzi juu ya kupotea kwa Ben Saanane, Azory Gwanda, Kanguye na waliompiga risasi Lissu
Kwa hiyo mimi nakichukulia kifo cha Magufuli kama nafasi muhimu ili Taifa letu lipone.
Na sisi kama Taifa, tumeona kwa macho yetu namna katiba ya sasa ilivyokuwa hatari kama tunampata mtu mmoja asiyejali, ambaye ana element za udikteta, basi tuitumie nafasi hii kuliponya Taifa
Tangulia Magufuli, uwongo mbaya sitokumiss na sijawahi kukupenda kwa style ya uongozi wako, ninatamani Taifa lisipate Kiongozi mwenye mapungufu ya aina yako, ni mapungufu hatari kabisa
Magufuli aligeuza nchi na kuifanya kuwa ya vitendo, siyo ya maneno maneno na njia za mkato mkato tu. Nina wasiwasi nchi itarudi kwenye maneno mingi na misheni town zitazaliwa upya tena.
Katika line up iliyopo, sioni mtu ambaye ni wa matendo decisively kama alivyokuwa Magufuli, labda Kassim Majaliwa tu. Huyu Mama Samia kwa vile position yake ilikuwa ni ya kivulini, siwezi kuelewa philosophy na approach yake ya uongozi, lakini in the end, maneno mingi na misheni town vinarudi nchini.
Da Umenikumbusha hadithi ya kwenye biblia ya Tajiri alievuna Sana akajaza ghala zote akajipiga kifua, na Nile na kunywa maana Nina kila kitu, MUNGU akamjibu mpumbavu wewe usiku huu naichukua roho yako.
Kufunga biashara kufunga Account za wafanyabiashara kuwabambikia kodi kubwa kienyeji kwa njia haramu za kishetaniKupokonya pesa za wafanya biashara kibabe kupitia DPP
Kikwete alikuta bia 500 mpaka anaondoka akaacha 2500.
Magufuli alikuta bia 2500 mpaka anakufa kaacha 1800,hili wengi hawalioni kabisa.
Sikuwahi kupanda treni toka nizaliwe ila mwaka 2020 nimepanda Deluxe kwenda Moshi,hili umuhimu wake utaonekana baada ya treni kufa na kuanza nauli za 80k kwenda Moshi.
Kabla ya 2015 ilikua ni kawaida kusikia matukio ya ujambazi tena karibu na vituo vya polisi,ila toka 2015 mpaka sasa sijaskia jambazi aliesalimika kwenye ujambazi,na matukio yamekuwa machache sana.
Aliwachukia akina Kimaro, Mosha, Mushi, Moshi, Mbowe, Mboya, Mbuya, Mallya, Tarimo na wenzao kutoka ukanda huo kama ukoma. Angeendelea angepanga holocaust kama ya Hitler kwa mayahudi.
Kufunga biashara kufunga Account za wafanyabiashara kuwabambikia kodi kubwa kienyeji kwa njia haramu za kishetani
Nitamkumbua Magufuli kwa ukatili wake wa kutisha
1. Kuvunja nyumba za wananchi wa Kimara - Mbezi bila chembe ya huruma ila wale wa mwanza aliwaachia
2.Kupora Korosho za wananchi wa mikoa ya kusini kwa mtutu wa bunduki, hii hali iiwatia wananchi umasikini
3. Bila kujali kuwa watu wameshahudumu serikalini kwa muda mrefu na wanategemea kustaafu, akapitisha hoja ya uhakiki na kuwafukuza maelfu ya watu hao Huku akiwaacha bila kuwagusa wanasiasa na wateule wake katika hilo zoezi
4. Kubabikizia watu kesi za uhujumu uchumi, kuwatesa kupitia mfumo wa mashitaka na kuzisababishia familia zao maumivu makubwa na hali ngumu
5. Kuendelea kuwashikilia mamia ya masheikh walioko jela huku akisamehe wabakaji akina Babu Seya
6. Kukataa kuwapa watumishi wa serikai stahiki zao kwa wakati, ikiwemo kupandishwa madaraja na nyongeza za ishahara
7. Kuharibu chaguzi zote zilizofanyika chini ya serikali yake, kuanzia zile za marudio, serikali za mitaa na uchaguzi mkuu, Alidhuluu haki ya wananchi kuchagua viongozi wao
8. Magufuli alitunga sheria kandamizi, na kuvuruga misingi ya katiba. Kafanya kia jitihada kulifanya bunge liwe butu, kuiweka mahakama mfukoni etc
9. Magufuli alikuwa na kauli mbaya zisizo na staha mfano "sisomeshi wazazi, serikali siyo iliyoleta tetemeko, baki na mavi yako nyumbani, nitapiga mashangazi.. etc"
10. Alikuwa na miradi kadhaa au mpango wa miradi kadhaa ambayo ni white elephant mfano, uwanja wa ndege Chato, Midege,Mpango wa Uwanja wa mpira Chato
11..Magufuli alikuwa mdini, huhitaji kuwa mwanasayansi wa elimu ya jamii kuona kuwa teuzi zake ziliaia sana watu wa imani moja
12. Magufuli alikuwa haheshimu katiba waa sheria pale zinapokinzana na anachokitaka yeye, mfano haki ya kufanya siasa kwa vyama vya siasa iliyokuwepo kikatiba hakuiheshimu
13. Magufulu hakuthubutu na wala hakujali kufanya uchunguzi juu ya kupotea kwa Ben Saanane, Azory Gwanda, Kanguye na waliompiga risasi Lissu
Kwa hiyo mimi nakichukulia kifo cha Magufuli kama nafasi muhimu ili Taifa letu lipone.
Na sisi kama Taifa, tumeona kwa macho yetu namna katiba ya sasa ilivyokuwa hatari kama tunampata mtu mmoja asiyejali, ambaye ana element za udikteta, basi tuitumie nafasi hii kuliponya Taifa
Tangulia Magufuli, uwongo mbaya sitokumiss na sijawahi kukupenda kwa style ya uongozi wako, ninatamani Taifa lisipate Kiongozi mwenye mapungufu ya aina yako, ni mapungufu hatari kabisa
He is My son's legacy
Amenisaidia Mambo mengi.
JPM kafanya mengi makubwa kuliko Rais yeyote aliwewah pita nakosa la kuandika kabisa vidole vinatetemeka, Nimelia Mimi leo
Naogopa nchi yetu inarudi shimoni
MUNGU TUANGALIE TENA WAJA WAKO