Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Mungu ni mkali balaa

Haya maisha kumbe hayana maana kabisa ptuuu[emoji848]
Dah acha tu mamiloo.ila kama binadamu kahuzuni kapo aisee pamoja na ubabe wao jicho moja nilishangaa limetoa kachozi aisee, ila tukifa sisi wao machozi ni ya Samaki aisee, hawanaga hawa uvccm roho mbovu.
 
Namkumbuka kwa malipo yawastaafu ya kila mwezi. Kiuhakika, tarehe 24 ya kila mwezi ni kicheko tu kwa wazee wetu
 
Nitamkumbua Magufuli kwa ukatili wake wa kutisha

1. Kuvunja nyumba za wananchi wa Kimara - Mbezi bila chembe ya huruma ila wale wa mwanza aliwaachia

2.Kupora Korosho za wananchi wa mikoa ya kusini kwa mtutu wa bunduki, hii hali iiwatia wananchi umasikini

3. Bila kujali kuwa watu wameshahudumu serikalini kwa muda mrefu na wanategemea kustaafu, akapitisha hoja ya uhakiki na kuwafukuza maelfu ya watu hao Huku akiwaacha bila kuwagusa wanasiasa na wateule wake katika hilo zoezi

4. Kubabikizia watu kesi za uhujumu uchumi, kuwatesa kupitia mfumo wa mashitaka na kuzisababishia familia zao maumivu makubwa na hali ngumu

5. Kuendelea kuwashikilia mamia ya masheikh walioko jela huku akisamehe wabakaji akina Babu Seya

6. Kukataa kuwapa watumishi wa serikai stahiki zao kwa wakati, ikiwemo kupandishwa madaraja na nyongeza za ishahara

7. Kuharibu chaguzi zote zilizofanyika chini ya serikali yake, kuanzia zile za marudio, serikali za mitaa na uchaguzi mkuu, Alidhuluu haki ya wananchi kuchagua viongozi wao

8. Magufuli alitunga sheria kandamizi, na kuvuruga misingi ya katiba. Kafanya kia jitihada kulifanya bunge liwe butu, kuiweka mahakama mfukoni etc

9. Magufuli alikuwa na kauli mbaya zisizo na staha mfano "sisomeshi wazazi, serikali siyo iliyoleta tetemeko, baki na mavi yako nyumbani, nitapiga mashangazi.. etc"

10. Alikuwa na miradi kadhaa au mpango wa miradi kadhaa ambayo ni white elephant mfano, uwanja wa ndege Chato, Midege,Mpango wa Uwanja wa mpira Chato

11..Magufuli alikuwa mdini, huhitaji kuwa mwanasayansi wa elimu ya jamii kuona kuwa teuzi zake ziliaia sana watu wa imani moja

12. Magufuli alikuwa haheshimu katiba waa sheria pale zinapokinzana na anachokitaka yeye, mfano haki ya kufanya siasa kwa vyama vya siasa iliyokuwepo kikatiba hakuiheshimu

13. Magufulu hakuthubutu na wala hakujali kufanya uchunguzi juu ya kupotea kwa Ben Saanane, Azory Gwanda, Kanguye na waliompiga risasi Lissu

Kwa hiyo mimi nakichukulia kifo cha Magufuli kama nafasi muhimu ili Taifa letu lipone.

Na sisi kama Taifa, tumeona kwa macho yetu namna katiba ya sasa ilivyokuwa hatari kama tunampata mtu mmoja asiyejali, ambaye ana element za udikteta, basi tuitumie nafasi hii kuliponya Taifa

Tangulia Magufuli, uwongo mbaya sitokumiss na sijawahi kukupenda kwa style ya uongozi wako, ninatamani Taifa lisipate Kiongozi mwenye mapungufu ya aina yako, ni mapungufu hatari kabisa
 
Kutekekeza vijana bila ajira, huku wakidharaulika mitaani ...

Hawana tofauti na kina man fongo mtaani
 
Binafsi nitamkumbuka kwa yote mazuri aliyo yafanya ....wa Tz tusiwe wepesi kusahau alivyo jitolea kulitumia Taifa alke tangu akiwa waziri wa Miundombinu ... Alisimamia ujenzi wa mtandao wa barabara ...kazi aliyoifanya mpaka akiwa raisi

Ujwnzi wa JNHPP ,SGR,
 
Alikuwa Rais asiependa UJINGA ambalo ni tatizo kubwa sana Tanzania na moja ya UJINGA huo ni kushabikia CCM.
 
This is a special thread and a tribute to the late J.P.M.

Najua tupo katika kipindi cha masikitiko kama taifa, Jemedari wetu amefariki dunia, kama lisemavyo neno la Mungu katika kitabu cha biblia kuwa mfalme hawezi kuokolewa kwa na jeshi lake kubwa bali ni Bwana hutuponya na mauti ( Zaburi 33:16), yaliyoandikwa yametimia Mungu amlaze mahala pema peponi.
Ukatili, ubabe, uuaji, kupoteza watu, kusigina katiba, kupirisha sheria kandamizi, wizi, kubambikia watu kesi, lugha chafu, hotuva za hovyo, mirdi isiyo ya tija, kukandamiza upinzani, uongo mfarakanishi hayo ni nusu tu.
 
Nitamkumbua Magufuli kwa ukatili wake wa kutisha

1. Kuvunja nyumba za wananchi wa Kimara - Mbezi bila chembe ya huruma ila wale wa mwanza aliwaachia

2.Kupora Korosho za wananchi wa mikoa ya kusini kwa mtutu wa bunduki, hii hali iiwatia wananchi umasikini

3. Bila kujali kuwa watu wameshahudumu serikalini kwa muda mrefu na wanategemea kustaafu, akapitisha hoja ya uhakiki na kuwafukuza maelfu ya watu hao Huku akiwaacha bila kuwagusa wanasiasa na wateule wake katika hilo zoezi

4. Kubabikizia watu kesi za uhujumu uchumi, kuwatesa kupitia mfumo wa mashitaka na kuzisababishia familia zao maumivu makubwa na hali ngumu

5. Kuendelea kuwashikilia mamia ya masheikh walioko jela huku akisamehe wabakaji akina Babu Seya

6. Kukataa kuwapa watumishi wa serikai stahiki zao kwa wakati, ikiwemo kupandishwa madaraja na nyongeza za ishahara

7. Kuharibu chaguzi zote zilizofanyika chini ya serikali yake, kuanzia zile za marudio, serikali za mitaa na uchaguzi mkuu, Alidhuluu haki ya wananchi kuchagua viongozi wao

8. Magufuli alitunga sheria kandamizi, na kuvuruga misingi ya katiba. Kafanya kia jitihada kulifanya bunge liwe butu, kuiweka mahakama mfukoni etc

9. Magufuli alikuwa na kauli mbaya zisizo na staha mfano "sisomeshi wazazi, serikali siyo iliyoleta tetemeko, baki na mavi yako nyumbani, nitapiga mashangazi.. etc"

10. Alikuwa na miradi kadhaa au mpango wa miradi kadhaa ambayo ni white elephant mfano, uwanja wa ndege Chato, Midege,Mpango wa Uwanja wa mpira Chato

11..Magufuli alikuwa mdini, huhitaji kuwa mwanasayansi wa elimu ya jamii kuona kuwa teuzi zake ziliaia sana watu wa imani moja

12. Magufuli alikuwa haheshimu katiba waa sheria pale zinapokinzana na anachokitaka yeye, mfano haki ya kufanya siasa kwa vyama vya siasa iliyokuwepo kikatiba hakuiheshimu

13. Magufulu hakuthubutu na wala hakujali kufanya uchunguzi juu ya kupotea kwa Ben Saanane, Azory Gwanda, Kanguye na waliompiga risasi Lissu

Kwa hiyo mimi nakichukulia kifo cha Magufuli kama nafasi muhimu ili Taifa letu lipone.

Na sisi kama Taifa, tumeona kwa macho yetu namna katiba ya sasa ilivyokuwa hatari kama tunampata mtu mmoja asiyejali, ambaye ana element za udikteta, basi tuitumie nafasi hii kuliponya Taifa

Tangulia Magufuli, uwongo mbaya sitokumiss na sijawahi kukupenda kwa style ya uongozi wako, ninatamani Taifa lisipate Kiongozi mwenye mapungufu ya aina yako, ni mapungufu hatari kabisa
Haya uliyoandika hapa ni orodha ndefu ambayo ni vigumu kwa yeyote kuipinga.

Nami naongezea moja mawili, hata kama hayana tofauti na hayo uliyoandika:

Uteuzi wa viongozi kwenye nafasi alizotaka wakasimamie alichotaka kifanyike.

Kwa mfano DC wa Hai alikuwa na lengo maalum; Arusha nako aliwekwa RC kwa lengo maalum; halikadhalika na kwingineko.

Kwa ujumla, Magufuli alikuwa ni kiongozi mwenye roho, tabia mbaya - mwenye visasi na kukomoa.

Wakati akionyesha kwamba anaitetea Tanzania kwa kulinda mali zake, msukumo wake ulilalia zaidi kujipatia sifa toka kwa wananchi.

Lakini pengine kazi mbaya zaidi kuliko zote aliyoifanyia Tanzania ni kuleta mfarakanyo ndani ya taifa. Itabidi mama Samia atumie busara sana kujaribu kurekebisha hali hiyo. Aonekane kweli anajali sana mshikamano wa taifa letu bila kujali itikadi za kila mmoja wetu.

Ndiyo, yapo mazuri aliyoyafanya Magufuli, kama hayo ya miradi muhimu, lakini haya thamani yake imeshushwa sana na mabaya aliyofanya.

Mbali ya yote haya, Mungu airehemu roho yake kama alipata nafasi ya kuyajutia na kutubu.
 
Magufuli aligeuza nchi na kuifanya kuwa ya vitendo, siyo ya maneno maneno na njia za mkato mkato tu. Nina wasiwasi nchi itarudi kwenye maneno mingi na misheni town zitazaliwa upya tena.

Katika line up iliyopo, sioni mtu ambaye ni wa matendo decisively kama alivyokuwa Magufuli, labda Kassim Majaliwa tu. Huyu Mama Samia kwa vile position yake ilikuwa ni ya kivulini, siwezi kuelewa philosophy na approach yake ya uongozi, lakini in the end, maneno mingi na misheni town vinarudi nchini.

Acha virudi kuliko kuishi kma shetan bora uishi km mfalme kwan hii dunia ni yetu hta ww waweza kufa mda wwte
 
Kikwete alikuta bia 500 mpaka anaondoka akaacha 2500.
Magufuli alikuta bia 2500 mpaka anakufa kaacha 1800,hili wengi hawalioni kabisa.

Sikuwahi kupanda treni toka nizaliwe ila mwaka 2020 nimepanda Deluxe kwenda Moshi,hili umuhimu wake utaonekana baada ya treni kufa na kuanza nauli za 80k kwenda Moshi.

Kabla ya 2015 ilikua ni kawaida kusikia matukio ya ujambazi tena karibu na vituo vya polisi,ila toka 2015 mpaka sasa sijaskia jambazi aliesalimika kwenye ujambazi,na matukio yamekuwa machache sana.

Kajambee mbele ukalale wewe kweli zoba yani unaangalia Bia kwa kujali tumbo lako 1.Huoni uonevu alokua akifanya.kwa wapinzani

2.Ukabila na Ukanda alokua ametugawa nao na kupoteza mshikamano wewe unaangalia Delux treni ilokua inakupeleka ukafanye mila zenu hko

3.Dhuluma alokua akiwafanyia watu wazi wazi kama kina Azori Gwanda ,Ben Saanane Tito Magoti, na Mdude Nyangali.

4.Udhalimu uliopitiliza kwa kutuchagulia makapi ya wabunge wake "Kama Gwajima na wengineo

5.Ubabe usokua na tija kwa watendaji wake kama kina Makonda,Sabaya, na Chalamila

6. Ukatili kama kupigwa risasi kwa lisu na kupotezwa kina Akwilina na Kabendera

7. Utapeli kama kurushwa penshen za wastaafu na kufukuza watu kazi bila kuwapa stahiki zao.
 
Aliwachukia akina Kimaro, Mosha, Mushi, Moshi, Mbowe, Mboya, Mbuya, Mallya, Tarimo na wenzao kutoka ukanda huo kama ukoma. Angeendelea angepanga holocaust kama ya Hitler kwa mayahudi.

Yani hiki kilikua na ushahidi Asilimia 65% sbbu hata mimi mwenywe kuna mtu alishaniambia kabisa yan nyie watu kutoka kanda flan hta iweje nafasi serikalin kupata ni ngumu
 
Nitamkumbua Magufuli kwa ukatili wake wa kutisha

1. Kuvunja nyumba za wananchi wa Kimara - Mbezi bila chembe ya huruma ila wale wa mwanza aliwaachia

2.Kupora Korosho za wananchi wa mikoa ya kusini kwa mtutu wa bunduki, hii hali iiwatia wananchi umasikini

3. Bila kujali kuwa watu wameshahudumu serikalini kwa muda mrefu na wanategemea kustaafu, akapitisha hoja ya uhakiki na kuwafukuza maelfu ya watu hao Huku akiwaacha bila kuwagusa wanasiasa na wateule wake katika hilo zoezi

4. Kubabikizia watu kesi za uhujumu uchumi, kuwatesa kupitia mfumo wa mashitaka na kuzisababishia familia zao maumivu makubwa na hali ngumu

5. Kuendelea kuwashikilia mamia ya masheikh walioko jela huku akisamehe wabakaji akina Babu Seya

6. Kukataa kuwapa watumishi wa serikai stahiki zao kwa wakati, ikiwemo kupandishwa madaraja na nyongeza za ishahara

7. Kuharibu chaguzi zote zilizofanyika chini ya serikali yake, kuanzia zile za marudio, serikali za mitaa na uchaguzi mkuu, Alidhuluu haki ya wananchi kuchagua viongozi wao

8. Magufuli alitunga sheria kandamizi, na kuvuruga misingi ya katiba. Kafanya kia jitihada kulifanya bunge liwe butu, kuiweka mahakama mfukoni etc

9. Magufuli alikuwa na kauli mbaya zisizo na staha mfano "sisomeshi wazazi, serikali siyo iliyoleta tetemeko, baki na mavi yako nyumbani, nitapiga mashangazi.. etc"

10. Alikuwa na miradi kadhaa au mpango wa miradi kadhaa ambayo ni white elephant mfano, uwanja wa ndege Chato, Midege,Mpango wa Uwanja wa mpira Chato

11..Magufuli alikuwa mdini, huhitaji kuwa mwanasayansi wa elimu ya jamii kuona kuwa teuzi zake ziliaia sana watu wa imani moja

12. Magufuli alikuwa haheshimu katiba waa sheria pale zinapokinzana na anachokitaka yeye, mfano haki ya kufanya siasa kwa vyama vya siasa iliyokuwepo kikatiba hakuiheshimu

13. Magufulu hakuthubutu na wala hakujali kufanya uchunguzi juu ya kupotea kwa Ben Saanane, Azory Gwanda, Kanguye na waliompiga risasi Lissu

Kwa hiyo mimi nakichukulia kifo cha Magufuli kama nafasi muhimu ili Taifa letu lipone.

Na sisi kama Taifa, tumeona kwa macho yetu namna katiba ya sasa ilivyokuwa hatari kama tunampata mtu mmoja asiyejali, ambaye ana element za udikteta, basi tuitumie nafasi hii kuliponya Taifa

Tangulia Magufuli, uwongo mbaya sitokumiss na sijawahi kukupenda kwa style ya uongozi wako, ninatamani Taifa lisipate Kiongozi mwenye mapungufu ya aina yako, ni mapungufu hatari kabisa

Mkuu Jmamos ntakua hapo kidimbwi nachoma Mbuzi kama utakua mtaa ntakuita tuje tuyajenge. KIMSINGI MIMI PIA SIJAWAHI VUTIWA NA JIWE HATA KIDOGO NA NILISHASEMA KAMA MUNGU ALITULETEA JIWE MILELE BASI KUNA SEHEMU TULIMKOSEA NA NDO HYO KAMTWAA
 
He is My son's legacy
Amenisaidia Mambo mengi.

JPM kafanya mengi makubwa kuliko Rais yeyote aliwewah pita nakosa la kuandika kabisa vidole vinatetemeka, Nimelia Mimi leo

Naogopa nchi yetu inarudi shimoni

MUNGU TUANGALIE TENA WAJA WAKO

Yani aina ya watu kama nyie huwa inaniacha hoi. Na vidole vinatetemeka??! [emoji28]
 
  1. Ubunifu aliokuwa nao katika kuokoa matumizi holela wa pesa na mali za umma
  2. Mentality na imani aliyokuwa nayo kuwa Tanzania ni Taifa tajiri na linastahili kuwa donor country
  3. Uwezo wake wa kusukuma mambo mengi yenye tija kwa Taifa kwa wakati mmoja
 
Back
Top Bottom