Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,718
- 5,899
Kama huna fkra shaur yako
Thibitisha kauli yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thibitisha kauli yako
Ataweza nae atakuwa na staili yakw,Mungu katuumba na talanta tofauti roho ni yuleyule anaetuongoza,binadamu huwezi kuwaridhisha watu wote,nae atafanya kwa kiwango chake,atasimamia sheria na katiba mengine yatajipa yenyewe!Huyu mwamba mm nilikua nampenda maana alikua hapendi unafiki ukizngua anazingua tena mbele ya watu haina sijui kuitana chemba yy anakumaliza hapo hapo.Sijui km Mh Suluhu ataweza hivi viatu.
Umetumwa nini mzeeMagufulu Baba umeniliza sana. Mimi ni CDM, pamoja na yote uliyowafanyia viogozi wetu lakn tumekusamehe. Daima tutakuombea kwa Mungu upate pumziko jema.. Nenda Baba..
hapa ulisahau na chuo cha veta,hospitali ya rufaa kubwa na nzuri kabisaa,jamaa aliwajari sana kwao,aliogopa nyie nyie mliowatukana marais wengine kuwa waliterekeza kwao msije mkamtukana pia akimaliza uongozi wake1.Chato International Airport
2.Chato National Park
3.Trafic light Chato
4.3 star hotel Chato (TANAPA)
5.Bohari ya kanda madawa Chato
6.Hospital ya rufaa Chato
7.Stadium (proposa)
8.CRDB Chato