Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Hayati namkumbuka kwa mengi sana mazuri aliyoyafanya kwa ajili ya nchi hii..
R.I.P ndugu JPM.
 
bora nitulie tu maana nikikumbuka naumia sana ukilinganisha na upepo ninaouona kwa mama mhuu!!
 
Hata Adolf Hitler alipokufa watu walilia kwa hiyo sikushangai.
Hakuna kiongozi ameweza kufanya makubwa kama magufuli, mbona kipindi kile, mishahara ilipandishwa lakibi huduma katika jamii ni za hovyo kuanzia miundombinu, huduma hospitalini, kilw mmoja kafanya yake ila huyu mzee kaenda extra miles.
Mjiandae sasa hali yote hiyo inakuja kurudi

Watu watamkumvuka tu

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Labda kwa mauaji
 
Mimi nitamkumbuka zaidi kwa kuanzisha lile genge la wasiojulikana ili kupambana na wote aliowaona kama maadui zake na kwa kuwa kakwepa hukumu hapa duniani lakini kwa Mungu ataipata.
 
Shirika la ndege la Kenya limepata hasara zaidi ya Bilioni 800 ila bado linaendelea na shughuli zake kama kawaida.

Ni shirika kongwe ambalo limekuwepo toka miaka ya 70.

Shirika changa la ndege la Tanzania limepata hasara ya Bil. 60 wanataka wasitishe ununuaji wa ndege.

Magufuli amekufa na ndoto yake ya kuifanya Tanzania taifa kubwa Afrika lenye uchumi mkubwa.

Hakika tutamkumbuka huyu kiongozi.
 
Kupata hasara sio jambo la kujisifia. Kupata hasara sio mashindano.

Kama mke wa jirani yako kaliwa juzi naww mkeo akiliwa leo na mchepuko utaleta uzi wa kumsifia hapa?

Acheni mambo ya kijinga, umaskini sio sifa.
 
Shirika la ndege la Kenya limepata hasara zaidi ya Bilioni 800 ila bado linaendelea na shughuli zake kama kawaida.

Ni shirika kongwe ambalo limekuwepo toka miaka ya 70.

Shirika changa la ndege la Tanzania limepata hasara ya Bil. 60 wanataka wasitishe ununuaji wa ndege.

Magufuli amekufa na ndoto yake ya kuifanya Tanzania taifa kubwa Afrika lenye uchumi mkubwa.

Hakika tutamkumbuka huyu kiongozi.
Utamkumbuka wewe na mafashisti wenzio.....
 
Kupata hasara sio jambo la kujisifia.
Kama mke wa jirani yako kaliwa juzi naww mkeo akiliwa leo na mchepuko utaleta uzi wa kumsifia hapa?

Acheni mambo ya kijinga, umaskini sio sifa.
Hasara sio garantee ya kufunga biashara...halafu kuwa na shirika la ndege ni kama kutoa huduma.

Mashirika ya ndege yanaendeshwa kwa hasara kipindi kama hiki cha covid...shirika letu hata kama litaendeshwa kwa hasara faida ipo kwenye utalii.

Wakenya wametumia shirika lao kuutangazia ukimwengu kuwa Kilimanjaro ni mlima wao. Na wamepata mapato mengi sana kupitia kubeba watalii kuleta nchini mwao.
 
Shirika la ndege la Kenya limepata hasara zaidi ya Bilioni 800 ila bado linaendelea na shughuli zake kama kawaida.

Ni shirika kongwe ambalo limekuwepo toka miaka ya 70.

Shirika changa la ndege la Tanzania limepata hasara ya Bil. 60 wanataka wasitishe ununuaji wa ndege.

Magufuli amekufa na ndoto yake ya kuifanya Tanzania taifa kubwa Afrika lenye uchumi mkubwa.

Hakika tutamkumbuka huyu kiongozi.
Yaonekana ulikuwa unagawiwa mabulungutu
 
Back
Top Bottom