Inasikitisha sana kwakweli.Magufuli alikuwa na msimamo na nia thabit ya kuinua uchumi wa nchi.Ila kwa sasa naona kama tumepoteza mwelekeo.Rais anasimama anasema waziwazi tunahitaji wawekezaji kuliko wanavyotuhitaji! Anaruhusu wawekezaji waje na watu wao bila kujali ajira za wazawa.Hana msimamo mambo ambayo alitakiwa azungumzie ofisini anaweka hadharani au alijua JPM alikuwa mjinga kutokusema hadharani baadhi ya mambo? Huko ni kutengeneza panic na porojo ambazo zitamuondolea focus ya maendeleo na hazitamuongezea chochote!