Magufuli yuko wapi.Mbowe ni mzee wa ten percent. Kiboko yao Magufuli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magufuli yuko wapi.Mbowe ni mzee wa ten percent. Kiboko yao Magufuli.
Sijawahi ona kilaza kana huyu kenge ...Hili halina ubishi wakuu atakaye bisha basi either ana upungufu wa akili.
Kipindi cha JPM ndicho tulicho shuhudia watoto wawanyonge
wanashika UDC, URC na Ukurugenzi.
Lakini pia tulishudia watoto wawanyonge wanaajiriwa
TANROADS, TANESCO, TRA, TPDC, EWURA, TBA, n.k.
Kwa kifupi kabla ya hapo mtoto wa mnyonge asingeweza kupenya katika sehemu hizo.
Hao watoto wa wanyonge ndio walioiharibu nchi, kwa unyonge wao kazi yao kubwa ilikuwa kujipendekeza na sio kufanya kazi.Hili halina ubishi wakuu atakaye bisha basi either ana upungufu wa akili.
Kipindi cha JPM ndicho tulicho shuhudia watoto wawanyonge
wanashika UDC, URC na Ukurugenzi.
Lakini pia tulishudia watoto wawanyonge wanaajiriwa
TANROADS, TANESCO, TRA, TPDC, EWURA, TBA, n.k.
Kwa kifupi kabla ya hapo mtoto wa mnyonge asingeweza kupenya katika sehemu hizo.
Kwahiyo mzazi akiwa mfanyabiashara mkubwa, Waziri, Balozi, Meneja, Muhadhiri nk unapoteza sifa ya kutumikia nchi yako kwenye nafasi ulizotaja?Hili halina ubishi wakuu atakaye bisha basi either ana upungufu wa akili.
Kipindi cha JPM ndicho tulicho shuhudia watoto wawanyonge
wanashika UDC, URC na Ukurugenzi.
Lakini pia tulishudia watoto wawanyonge wanaajiriwa
TANROADS, TANESCO, TRA, TPDC, EWURA, TBA, n.k.
Kwa kifupi kabla ya hapo mtoto wa mnyonge asingeweza kupenya katika sehemu hizo.
Hakuna sifa itakayomsafisha katili na mtu mwenye roho mbaya kuliko wote duniani.Hili halina ubishi wakuu atakaye bisha basi either ana upungufu wa akili.
Kipindi cha JPM ndicho tulicho shuhudia watoto wawanyonge
wanashika UDC, URC na Ukurugenzi.
Lakini pia tulishudia watoto wawanyonge wanaajiriwa
TANROADS, TANESCO, TRA, TPDC, EWURA, TBA, n.k.
Kwa kifupi kabla ya hapo mtoto wa mnyonge asingeweza kupenya katika sehemu hizo.
Marijani Rajab angekuwa yuko hai huu wimbo wake wa DUNIA UWANJA WA FUJO angeongeza maneno ya Mwendazake!
View attachment 1750527
Kuna kikundi kimekua kikisisitizia kauli ya marehemu mwendazake ya"mtakuja kunikumbuka",kana kwamba tulifanya kila liwezekanalo kumuondoa madarakani.
Mwendazake kachukuliwa na Muumba,na zaidi hata tulipotaka kuujua ukweli juu ya shida yake kama anaumwa ama vp,ili tumuombee apone maake tulikua tayari tushaamua kuishi nae ,bado tulifichwa.
Haina haja ya kutoa toa iyo kauli,sababu hatukua na uwezo wowote wa kupinga alichohitaji,hakuna chombo chochote cha habari ,wala mitandao ya kijamii iliyokua na ubavu wa kumuwekea kauzibe kwenye utendaji wake wa kazi.
Yaani katika marais waliofanya kazi bila presha basi mwendazake alikua free saaana,hapingwi na bunge,wananchi wala media.
So kusema kwamba tutakuja kumkumbuka ndio kweli tutamkumbuka kwa mema aliyofanya lakini hatujawahi kufanya jaribio loloooooote la kumuondoa mwendazake,aidha MAANDAMANO,BUNGE,kila aliyefanya hivyo nadhan inajulikana kilichomkuta.
Kusema kwamba tutakuja juta ni sawa na kuwa na mpenzi wako kila siku analalamika utakuja mkumbuka na wakati haumfanyii chochote kibaya unampa kiiila kitu anaishi kulalalama tu.
.........
Funny thing is, we did not look at it like that at all. Na ilikuwa more responsibility than privilege. To be humble, to act appropriately, to be of service, to not be brats etc.Watu wengine ndiyo waliona privilege.Damn!
Privileged brat!
Wewe si mtoto wa mnyonge[emoji16].
Pia kafanya ukatili mwingi kuliko rais yeyote aliepitaHe is My sons's legacy
Amenisaidia Mambo mengi.
JPM kafanya mengi makubwa kuliko Rais yeyote aliwewahi pita nakosa la kuandika kabisa vidole vinatetemeka, Nimelia Mimi leo
Naogopa nchi yetu inarudi shimoni
MUNGU TUANGALIE TENA WAJA WAKO
Nitamkumbuka kwa kutumia mabavu kuwaweka madarakani wabunge anaowataka yeyeKushughulika na kero za miaka nenda rudi na kutuaminisha kuwa tunaweza.
Kujaribu kutuheshimisha wananchi wa kawaida mbele ya watumishi wa umma.
Ile mentality ya ujanjaujanja aliyoikuza JK na kuwa siasa/nafasi za siasa ziikuwa za kununua kufutika kwa kiasi kikubwa.
Hujui ng'oHata usipoedit tumeshaelewa unataka kutuambia nini, na tumeshajua uwezo wako