Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
MATAGA na Misukule na Jiwe mnahangaika sana kutaka kuaminisha wasahaulifu kwamba kinachoendelea hivi sasa ni jambo jipya!! Tangu zamani tozo za miamala zilikuwa kubwa, alichofanya Samia ni kuweka pilipili tu kwenye kidonda! Yaani mnavyoongea mtu anaweza kusema hapo kabla hii miamala ilikuwa haina tozo wakati tozo ilikuwa kubwa kweli kweli!!
 
Nitamkumbuka sana kwa kuniongezea makato ya bodi ya mikopo kutoka 8 hadi 15

Nitamkumbuka sana kwa kuongeza kodi na kupaisha bei ya sukari mafuta na vifaa vya ujenzi

Hakika nitamkumbuka sana kwa kuweka heshima mtaani kwa wahitimu maana hakutaka kutoa ajira

Hakika alikuwa Mwamba sana kwenye kupata pesa bila kuwaumiza wanainchi



Sent from my X-TIGI_V13 using JamiiForums mobile app
 
Mi namkunbuka kwa kununua jogoo kwa laki moja na kulifanya kama mahari ya mama yake...

Pia namkumbuka kwa kuokota vichwa vya treni bandarini...

Sitamsahau kwa kula mahindi hadharani

Pipo yuzdi to dai in ze leki...

Not to say extent

Kila mtanzania na Noah yake kwenye mauzo ya makinikia...

Watu kama hawa hawana sababu ya kuishi...

Sadam Hussein Rais wa Kuwait...

Tanzania ni donor kantre...

Wapinzani ndio wametufikisha hapa...

Maendeleo hayana vyama...

Ili kusudi nikifa nikawe kiongozi wa malaika mbinguni...

Tumepima papai tukakuta lina Corona...

Mwamba ntamkumbuka kwa mengi sana wallah
Ww mjinga
 
Hii ni awamu ambayo wafanyabiashara wakubwa watanufaika sana wananchi wa kipato Cha chini ambao ndio 85% ya watanzania wote watajutia kuwepo kwenye nchi yao.
 

This is a special thread and a tribute to the late J.P.M.

Najua tupo katika kipindi cha masikitiko kama taifa, Jemedari wetu amefariki dunia, kama lisemavyo neno la Mungu katika kitabu cha biblia kuwa mfalme hawezi kuokolewa kwa na jeshi lake kubwa bali ni Bwana hutuponya na mauti ( Zaburi 33:16), yaliyoandikwa yametimia Mungu amlaze mahala pema peponi
Tunamkubuka kwa kuuwa watu
 
Hii ni kauli ya the late sir John Pombe Magufuri ambayo aliipenda sana kuitumia, nakiri binafsi sikuwah kuielewa ila sasa ndio nimepata kuielewa vizuri

RIP Jembe!! Hakika tutakukumbuka sana.
 
Hii ni kauli ya the late sir John Pombe Magufuri ambayo aliipenda sana kuitumia, nakiri binafsi sikuwah kuielewa ila sasa ndio nimepata kuielewa vizuri

RIP Jembe!! Hakika tutakukumbuka sana.

Pole sana Jembe letu bwana Bashiri, maumivu yako yanaeleweka. Ila sasa:

"Ndugu, jamaa na marafiki wa akina Azory, Ben, Mawazo, au wale waliopotea na wengine kupatikana hadi kwenye viroba, nk nao wana comment hapa hapa?

Vipi walioumizwa, waliojeruhiwa, waliodhulumiwa, nk nao wana comment kwenye uzi huu huu?"

Seriously?!
 
Back
Top Bottom