Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Daima Nitamkumbuka Rais Wa Wanyonge Magufuri. Hakika ulitupigania Baba.
Pumzika kwa Amani.
Wewe na Magufuli wako wote wabinafsi unaongea haya kwa sababu kuna walioumizwa ili wewe upate raha na umsifie na kumfurahia yeye, kwa sababu aliamini kuwa utajiri ni kosa la jinai na kila tajiro ni mwizi lakin binafsi huyu mchato bora alipumzika milele sitomkumbuka kabisaa hata mama samia akileta tozo la mara 3 ya hela ninayo tuma yaan natuma Tsh 5,000/= lakini nakatwa tozo Tsh.15,000/= bado ziwezi kumkubuka yule bwana

Yaan hata kama mama Samia alete tozo kwamba kila bao unalo piga lilipie tozo ya Tsh.100,000/= badooo siwezi kumkubuka hiyo mchato wenu , maana heri yule anaye umiza mwili kuliko yule aumizaye roho. Mchato kaumiza roho sana za watu ili awafurahishe hao alio waita wanyonge ambao aliamini ndiyo wapiga kura wake. SIWEZI KUMKUMBUKA.
 
JPM alikuwa mtetezi wa kweli wa wananchi. Mungu ampokee mbinguni.
 
DF63C12D-12AB-4657-8035-66D33514C211.jpeg

Behaviourist 🤣🤣🤣🤣🤣
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji1][emoji1]naiogopa mim ile picha ya
 
Hakika Mwendazake alijua walalahoi wanahitaji Nini Ni Kama vile Mzee Makamba alivyo jua wana KGM,TA na DSM walihitaji nini katika wakati wake.
Chezeni nae tu madelu wa madilu wa mchemba ni tozo mpk ya kunya inakuja👊
 
Back
Top Bottom