mwanausangi
JF-Expert Member
- Nov 4, 2021
- 548
- 608
Kwani kuunganishiwa umeme bei ghali inawagusa sukuma gang pekee au??Sukuma Gang mtaimba kila aina ya nyimbo mwaka huu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kuunganishiwa umeme bei ghali inawagusa sukuma gang pekee au??Sukuma Gang mtaimba kila aina ya nyimbo mwaka huu
M*#akali*o Gang mtakuwa mnacheza nyimbo zikiimbwaSukuma Gang mtaimba kila aina ya nyimbo mwaka huu
Hamuamini jamaa yenu kama ameded,mlizoe vya kunyongaM*#akali*o Gang mtakuwa mnacheza nyimbo zikiimbwa
Wewe nawe 27,000 imeanzia kwa mama
Ila mama yako anamkumbuka kwa mazuriNamkumbuka kwa mabaya tu
Ukiwepo na wewe mchepuko wake utachukua muda sana kumsahau alivyokutumbua vyeti feki.Nyie wajane itawachukua muda sana.
Sio kweli mimi ilinigharimu 480,000 kupata umeme.. Hizo story za 27,000 ni maneno ya wanasiasaKiitikio : MTANIKUMBUKA KWA MAZURI...
Kwani iliwezekana vipi enzi hizo jogoo mmoja tu , mtu unaungiwa umeme ?
Ama iliwezekana vipi bila tozo na mambo yakawa ?
Mbona rozo, makato , mambo kibao na serikali bado inapumulia mipira ngoja ifike bajeti ya 2022/23 ndio uongo na ukweli vitakuwa barazani , sasa hivi wacha watudanganye maana kipaza sauti kipo kwao.
Hapa kazi tu [emoji123]
Ni vijijini tu mkuu, waliokuwa chini ya mpango wa REA, town pesa watu mnazo,Sio kweli mimi ilinigharimu 480,000 kupata umeme.. Hizo story za 27,000 ni maneno ya wanasiasa