Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Nawaza tu.

Huenda Spika akatokana na Kazi ya mikono yake.

Ngoja tuone.

Tukumbuke Ndugai alilazimisha tu 2020.
 
Kweli alikua jasiri muongoza njia kwenye manunuzi ya viongozi wa upinzani kwa mamilioni ya shilingi wakati madarasa na matundu ya vyoo yalikua hayatoshi nchini mwake!!

Nakumbuka kausemi kake "kupanga ni kuchagua"
 
Kutoka na kinachoendelea kwenye Awamu hii ya Rais SSH, yafuatayo ni ya Magufuli ya kukumbukwa, na yamekwama ni:
[emoji830]︎ Nidhamu kazini Serikalini;
[emoji830]︎ Matumizi na usimamizi wa mali na fedha za umma; na
[emoji830]︎ Ujenzi wa miradi ya kimkakati kwa kujitegemea.
 
Sasa imepita takribani miezi kumi tangu Taifa hili kuingia katika historia ya kumpoteza rais aliepo madarakani.. nini kimekua hasi na chanya?
 
Katika maisha, binadamu anakuwa na malengo. Kinachotofautisha hao binadamu ni wale wanaojali malengo, hasa wanasiasa, na wanahakikisha kuna matokeo. Magufuli alisimamia matokeo
 
JPM ndiye chanzo (source) cha kila baya linaloendelea hapa nchini hivi sasa....tozo, mikopo, vitu kupanda bei, kuparaganyika kwa demokrasia, umeme kukatika hovyo, n.k.

TOZO
Mama kakuta nchi inaendeshwa kwa kupora fedha za wafanyabiashara. Ulitaka mama afanyeje sasa? Aendeleze uporaji? Ndiyo maana kaanzisha tozo. JPM alaumiwe na alaniwe.

MIKOPO
Mama analazimika kukopa sana ili aweze kulipa riba kubwa za mikopo ya biashara ambayo JPM aliichukuwa.

KUPARAGANYIKA KWA DEMOKRASIA
JPM ndiye muasisi wa uporaji wa haki za watu ktk chaguzi. Aliharibu uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 na akaharibu pia uchaguzi mkuu wa 2020 na wala hakushinda.

Pia ALIZIMA INTERNET kipindi cha uchaguzi mkuu. Jambo hili ni la kihuni na kidikteta na hatukuwahi kuwa na ujinga huu huko nyuma.

Kwa haya na mengine mengi KAMWE SIWEZI KUMSAMEHE JPM.

"He must be punished multiple times where he is now"
 
Bado mnapambana na mfu , kubalini Tu nchi imewashinda wazee , mpak mnachoma masoko ya machinga , alaf swala la tozo utakuwa kenge Sana kumlaumu jiwe , yeye mwenyewe aliachiwa nchi haina shillingi akapambana kivyake...!! Ukweli ni kuwa kumpa utawala mwanamke mmechochora , mtaliwa na wahuni mpak mkubali..!!
 
Back
Top Bottom