Dreadnought
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 2,876
- 3,942
Sio ajali gani haikutangazwa, maagizo yalitolewa "nisisikie ajali eneo lako" kila mteule alijiongeza kwa namna yake.Ajali gani ilitokea hatukutangaziwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio ajali gani haikutangazwa, maagizo yalitolewa "nisisikie ajali eneo lako" kila mteule alijiongeza kwa namna yake.Ajali gani ilitokea hatukutangaziwa?
Njoo nyumbani kwangu nikupe evidence!Toa evidence
tochi zipo ila hazina meno saivi rushwa imeongezekaKwamba siku izi hakuna tochi barabarani au unataka kusema nini?
siku yaja yaja utakojoa na kulala wewe.haya kakojoe ulale.
Kweli labda chumvi iadimike ndipo watajitambuaRevolution kwa nchi yenywe watu milion karibu 60...lkn waliopata elimu had kidato cha nne hawazidi million 10...nchi hii watu kuamka n had sku aone njaa inamuuwa akiwa kijijin huko huko
Ndio lengo la uzi wako?Anyways, hakuna rais atakuja kutokea kama magufuli. Tukisema hivi kuna watu wanaona wivu. Nyie oneni wivu tu ila huo ndo ukweli.
Unazungumzia ule wa chato? Kama ni terminal 3 ya Jk Nyerere nakusanua kuwa ujenzi wake ulianza awamu ya Kikwete.WiFi kila sehem mazingira yanavutia kwa mbali unasikika mziki mzuri kutoka kwa Ed sheeran, I found a love, to carry more than just my secrets, To carry love, to carry children of our own [emoji445][emoji445]
Anyways, hakuna rais atakuja kutokea kama magufuli. Tukisema hivi kuna watu wanaona wivu. Nyie oneni wivu tu ila huo ndo ukweli.