Mwanakwetuuu
JF-Expert Member
- Apr 8, 2022
- 1,011
- 2,283
Tuweke katiba mpyaMuwe mnatoa na mapendekezo, kwa hiyo tufanyeje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuweke katiba mpyaMuwe mnatoa na mapendekezo, kwa hiyo tufanyeje?
Sawa.Tuweke katiba mpya
Magu alikuwa anawajali wananchi, ni
Pita Bagamoyo Road uone ilivyochoka au kile kipande Cha kwenda Lindi hahahaaha "regacy"Huyu Jamaa wa kanda ya ziwa kwa jinsi alivyojenga madaraja yaliyo chini ya viwango na Bado mnataka legacy gani
Yaani watu ambao mmezaliwa Tz bila hata kwenda nje mnaweza mkaamini kuwa Legacy Ni madaraja tu.
Mimi ndo first time kusikia Mtu anaacha urithi wa madaraja Mabovu Aibu kubwaPita Bagamoyo Road uone ilivyochoka au kile kipande Cha kwenda Lindi hahahaaha "regacy"
Kuna dodoma iringaMimi ndo first time kusikia Mtu anaacha urithi wa madaraja Mabovu Aibu kubwa
😃😃😃😃😃😃😃😃Ila mnapata shida hakika roho anawasumbua. Mtapata sana shida. Hamta sahau.Huyu Jamaa wa kanda ya ziwa kwa jinsi alivyojenga madaraja yaliyo chini ya viwango na Bado mnataka legacy gani
Yaani watu ambao mmezaliwa Tz bila hata kwenda nje mnaweza mkaamini kuwa Legacy Ni madaraja tu.
Sasa wewe hata kiswahili hujui, eti legacy 'hipi'.Huyu Jamaa wa kanda ya ziwa kwa jinsi alivyojenga madaraja yaliyo chini ya viwango na Bado mnataka legacy gani
Yaani watu ambao mmezaliwa Tz bila hata kwenda nje mnaweza mkaamini kuwa Legacy Ni madaraja tu.
Waziri hajengi jinga weye, wanaojenga ni wakandarasi wakisimamiwa na Tanroads, yeye Waziri ni msimamizi wa SERA kuhakikisha miradi inatekelezwa, tatizo huna Elimu ya Uraia hujui Waziri kaz in yake ni nmHuyu Jamaa wa kanda ya ziwa kwa jinsi alivyojenga madaraja yaliyo chini ya viwango na Bado mnataka legacy gani
Yaani watu ambao mmezaliwa Tz bila hata kwenda nje mnaweza mkaamini kuwa Legacy Ni madaraja tu.
Sio kwamba ni fisadi, huyo ni kijana Muhuni Mmoja mjanja mjanja alizoea Maisha ya ujanjaujanja sana, Sasa Kwa Uongozi wa JPM ,watu wenye matope vichwan ,midomo mirefu, walikua hawatoboi !!Mafisadi mmepata chaka lingine la propaganda.
Mbona mama yenu hajajenga hata banda la kuku anazurura tu kwa mabeberu akigawa uroda kwa Peter Greenbird sijui Greenburg!
Hamna sisi sio waabudu watu Mimi since day one naongeaga ukweli , madaraja Mabovu hayawezi kuwa LegacySio kwamba ni fisadi, huyo ni kijana Muhuni Mmoja mjanja mjanja alizoea Maisha ya ujanjaujanja sana, Sasa Kwa Uongozi wa JPM ,watu wenye matope vichwan ,midomo mirefu, walikua hawatoboi !!
JPM aliwapa shida sana sana !!.
Kaburi linezikwa Pepo au binadamuKinembe unateseka na Kaburi!
Jinyonge.
Kuna watu hawajui majukumu ya Raisi, Waziri, taasisi husika(Tanroads) or Mkandarasi...Waziri hajengi jinga weye, wanaojenga ni wakandarasi wakisimamiwa na Tanroads, yeye Waziri ni msimamizi wa SERA kuhakikisha miradi inatekelezwa, tatizo huna Elimu ya Uraia hujui Waziri kaz in yake ni nm