Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
KATI YA MAMBO YANAYOFANYA NIMKUMBUKE NI JINSI ALIVYOLETA NIDHAMU NA UWAJIBIKAJI SERIKALINI. NI KWELI SIO JAMBO ZURI SANA KIONGOZI KUOGOPWA LAKINI UKIWA NA JAMII KAMA YA TANZANIA KUNA MUDA KIONGOZI ANATAKIWA KUWA MKALI. SASAHIVI TANESCO HAWAOGOPI KITU, DAWASCO, WIZARA YA UJENZI/ TANROADO NK. WAKATI WA MAGUFULI ULIKUWA UNAFANYA WATENDAKI WAKUU WAUMIZE VICHWA KWELIKWELI KUTAFUTA SULUHISHO MAANA RAIS AKISEMA SITAKI KUSIKIA KUNA MGAO WA UMEME BASI WADAU WA UMEME WATAJIJUA KIVYAO CHAKUFANYA.

TATIZO LA NGOZI YETU HII BILA FIMBO HAKUNA KITAKACHOFANYIKA, NA NI SABABU YA HISTORIA TULIYOJENGEWA KIPINDI CHA UKOLONI HASA MUARABU NA MJERUMANI , KAZI ZILIFANYIKA KWA FIMBO, SASA HII DNA YA TABIA HAIFUTIKI VIZAZI NA VIZAZI.

RAIS WETU WA SASA NAYE YUPO VIZURI SANA KWA MENGI, HASA KUHESHIMU HAKI ZA WATU NA SHERIA. AKIPATA WASAIDIZI WAZURI NCHI ITAFIKA PAZURI ZAIDI.
 
Nimeona jina la Lisu hapa nimekumbuka

Hivi ni kweli Lisu alienda kuwatonya wale wazungu waliotimuliwa kwa kujenga barabara chini ya kiwango kuwa wakazikamate ndenge za Tanzania nchini Canada ili walipwe pesa zao?
Kuna issue ya ARV fake pia
 
Umeme na maji yalikua na uhakika kwa asilimia 90
 
Najua tupo awamu ya sita ila kuna matendo yanatia huzuni sana na ya kishetani hususan hili la kuchoma vifaranga vikiwa hai na moto

Magufuli alikua katili sana, na hili niliarifiwa kuwa lilifanywa kwa amri kutoka kwake waliofanya huo ukatili nao wakamatwe hata kama ni sasa

Watu wanaroho ngum jmn. Unakichoma kifaranga kizima kizima ..kinalia mpaka kinakufa .. alaf unajisifia.
Nawaza sana sauti zao za maumivu wakati wa kutekelezwa kwa moto. Hii njia ya kulaaniwa kabisa kwa viumbe hai kufanyiwa ukatili huo[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Naomba waliofanya huu ukatili watafutwe nao wakamatwe waburuzwe mahakamani au ikishindikana nao wachomwe kama hao vifaranga wahisi uchungu walokua wanapitia hao vifaranga

Sijawahi kumpenda huyu mwendazake wenu na sitokuja kumpenda alikua katili sana, namshukuru mungu kwa alichotutendea tarehe 17/03 maana hakukua na njia nyingine na bado nina hasira nae hadi leo i wish ningekua malaika wa huko kaburini.....Au basi tu.....
JamiiForums1907076737.jpg
 
Najua tupo awamu ya sita ila kuna matendo yanatia huzuni sana na ya kishetani hususan hili la kuchoma vifaranga vikiwa hai na moto

Magufuli alikua katili sana, na hili niliarifiwa kuwa lilifanywa kwa amri kutoka kwake waliofanya huo ukatili nao wakamatwe hata kama ni sasa

Watu wanaroho ngum jmn. Unakichoma kifaranga kizima kizima ..kinalia mpaka kinakufa .. alaf unajisifia.
Nawaza sana sauti zao za maumivu wakati wa kutekelezwa kwa moto. Hii njia ya kulaaniwa kabisa kwa viumbe hai kufanyiwa ukatili huo[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Naomba waliofanya huu ukatili watafutwe nao wakamatwe waburuzwe mahakamani au ikishindikana nao wachomwe kama hao vifaranga wahisi uchungu walokua wanapitia hao vifaranga

Sijawahi kumpenda huyu mwendazake wenu na sitokuja kumpenda alikua katili sana, namshukuru mungu kwa alichotutendea tarehe 17/03 maana hakukua na njia nyingine na bado nina hasira nae hadi leo i wish ningekua malaika wa huko kaburini.....Au basi tu.....View attachment 2427902
Magufuli ulaaniwe huko uliko na hutauona ufalme wa Mungu. Utahukumiwa utanyongwa mpaka ufe!
 
Miaka 20 ya uwaziri wake alipatikana na ukatili gani kabla hajautwaa urais?

Tuliokuwa majipu yaliyotumbuliwa, vyeti feki, wala mishahara ya wafanyakazi hewa, drugs dealers, wakwepaji wa kulipa kodi, wafanyabiashara za magendo, wala posho za vikao lazima tumkandie Hayati JPM maana hawezi kujitetea sasa hivi.

Ni mwendo wa maji na karanga tu kwenye vikao...[emoji28]
 
Kuandika tu hapa tayari unammiss!

Yani wewe hata mumeo akishindwa kusimamisha ili akupande lazima umsingizie Magufuli
 
Najua tupo awamu ya sita ila kuna matendo yanatia huzuni sana na ya kishetani hususan hili la kuchoma vifaranga vikiwa hai na moto

Magufuli alikua katili sana, na hili niliarifiwa kuwa lilifanywa kwa amri kutoka kwake waliofanya huo ukatili nao wakamatwe hata kama ni sasa

Watu wanaroho ngum jmn. Unakichoma kifaranga kizima kizima ..kinalia mpaka kinakufa .. alaf unajisifia.
Nawaza sana sauti zao za maumivu wakati wa kutekelezwa kwa moto. Hii njia ya kulaaniwa kabisa kwa viumbe hai kufanyiwa ukatili huo[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Naomba waliofanya huu ukatili watafutwe nao wakamatwe waburuzwe mahakamani au ikishindikana nao wachomwe kama hao vifaranga wahisi uchungu walokua wanapitia hao vifaranga

Sijawahi kumpenda huyu mwendazake wenu na sitokuja kumpenda alikua katili sana, namshukuru mungu kwa alichotutendea tarehe 17/03 maana hakukua na njia nyingine na bado nina hasira nae hadi leo i wish ningekua malaika wa huko kaburini.....Au basi tu.....View attachment 2427902
Afu unapochinjaga kuku huwa hauui, Akili zingine bhana [emoji848][emoji16]
 
Angekuwepo JPM:-
1. Kusingekuwa na mgao wa umeme.
2. Kusingekuwa na uhaba wa maji.
3. Bwawa la Umeme la Mwl. Nyerere likuwa limeshakamilika kama ilivyopangwa.
4. MAFISADI waliorudi kwa kasi ya ajabu wasingekuwepo.
Mungu ailaze pema peponi roho ya JPM, Amina.
 
Katika bara la Afrika Wanaojulikana Viongozi wazuri wanao watetea Wananchi wao walikuwa ni viongozi 5 tu Wa Kwanza Alikuwa Hayati Baba wa Taifa Mwalim Nyerere, Wa pili alikuwa Mzee Nelson Mandela ,Wa Tatu alikuwa ni Kiongozi wa Ghana Kwame Nkurumah, Wa Nne Alikuwa ni Kiongoz wa Libya Kanali Muammar Qaddafi na Wa Tano alikuwa Kiongozi wa Tanzania Doctor John Pombe Magufuli.

Na Waliobakia ni Ma-Rais wa nchi tu wanachaguliwa na vyama vyao kuongoza nchi kwa muda malum na muda wao ukimalizika wanaondoka Madarakani wanakuja Ma-Rais wengine Tofauti na Kiongozi wananchi yeye anachaguliwa na Wananchi ili apate kuwaongoza Wananchi wake.

Na hata kama akifa bado Kiongozi mzuri huwa anakumbukwa kwa wema wake juu ya Wananchi tofauti na Rais akifa watu hawakawii kumsahau.

Katika bara la Afrika Wanaojulikana Viongozi wazuri wanao watetea Wananchi wao walikuwa ni viongozi 5 tu Wa Kwanza Alikuwa Hayati Baba wa Taifa Mwalim Nyerere, Wa pili alikuwa Mzee Nelson Mandela ,Wa Tatu alikuwa ni Kiongozi wa Ghana Kwame Nkurumah, Wa Nne Alikuwa ni Kiongoz wa Libya Kanali Muammar Qaddafi na Wa Tano alikuwa Kiongozi wa Tanzania Doctor John Pombe Magufuli. Na Waliobakia ni Ma-Rais wa nchi tu wanachaguliwa na vyama vyao kuongoza nchi kwa muda malum na muda wao ukimalizika wanaondoka Madarakani wanakuja Ma-Rais wengine Tofauti na Kiongozi wananchi yeye anachaguliwa na Wananchi ili apate kuwaongoza Wananchi wake. Na hata kama akifa bado Kiongozi mzuri huwa anakumbukwa kwa wema wake juu ya Wananchi tofauti na Rais akifa watu hawakawii kumsahau.

View attachment 2440793
 
Wamrudishe, Alphonce mawazo, Ben sanane, AZORY GWANDA, Daniel John na marehem wote ndio waua tuwafikilie msamaha.

Hilda Newton

@HildaNewton21
·
20h

"Watu Wazuri HAWAFI ndo maana Mzee Kikwete na Kinana wapo hai mpaka leo"-: Mzee Yusuph Makamba

1670594192652.png

1670594241461.png

Dr. Bashiru Ally

@dr_bashiru
·
21h

Tatizo ni; -umeme -maji -gharama za maisha. Katikati ya hayo hakuna kuupiga mwingi. Lakini tunaweza kuimba anaupiga mwingi ili watoto wetu waendelee kula.

Image
 
Makamba Snr. kawakosea marehemu wengi tu.
Mzee Reginald Mengi naye alikuwa mbaya kafa kabla ya Kikwete na Kinana?
 
Habari!
Mwaka 2014 nikiwa mfanyakazi wa Mgodi wa Bulyanhulu chini ya Barrick na baadaye kuwa chini ya acacia niliwahi kutamka jambo mbele za watu kuwa nchi hii ya Tanzania ilipaswa iwe mikononi mwa Magufuli kama RAIS ndipo ifike pazuri. Mmoja wapo akanipinga akasema Mimi natokea Chato tena nimesoma shule ya sekondari Tunduru inayomilikiwa na Magufuli. Huyo mtu namjua hafai kuwa Rais.
Mwaka 2015- 2022 nimekutana na ndugu wa damu wa Magufuli, watu aliofanya nao kazi akiwa Waziri wa wizara mbalimbali, watu aliosoma nao primary, sekondari na chuo.
Magufuli alikuwa na roho mbaya sana sana.
Nimeongea na madereva 2 waliomwendesha kabla hajawa Rais, nimekutana na kuongea naye msaidizi wake mmoja alipokuwa wizara ya Ujenzi . Nimeongea na mtu aliyelinda nyumba yake zaidi ya miaka 20.
Nimeongea na aliyekuwa mkuu wa idara fulani wizara ya Ujenzi.
Kwa ufupi yule mzee alikuwa katili na mwenye roho mbaya.
Unaweza kuniuliza hao watu nimewatoa wapi na kwanini niwahoji mambo ya Magufuli?
Ni kwamba tunakutana kwenye kazi na ndipo huanzisha stori za Magufuli hapo ndipo ninawachimba kwa viswali vidogovidogo.
 
Back
Top Bottom