Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toka last week namwangalia utube siku nzima na vile nina unlimited bando, yaan najikuta nazidi kumpenda yule baba, alikua mtu mzuri sana, Mungu ni mwema kwa kila jamabo hata kwa hili la majonzi
Mkuu hawa wana uhusiano gani na baba yetu Magufuli?Vaa viatu vya tundu lissu,vaa viatu vya wazazi na mke wa Ben saanane ,vaa viatu vya azory,lwajabe,kanguye!!
Kama hujui labda unatokea Bermuda TriangleMkuu hawa wana uhusiano gani na baba yetu Magufuli?
Mkuu hawa wana uhusiano gani na baba yetu Magufuli?
Nasikiaga tuu watu wanasema ila sijawahi ona ushahidi wowote hivyo siwezi hukumu, halafu hata sisi tuna mapungufu yetu mkuu, nasisi tusipendwe kwasababu tuna mapungufu?Una maana haujui walichafanyiwa hao watu enzi za JPM au unajitoa ufahamu?
Nasikiaga tuu watu wanasema ila sijawahi ona ushahidi wowote hivyo siwezi hukumu, halafu hata sisi tuna mapungufu yetu mkuu, nasisi tusipendwe kwasababu tuna mapungufu?
Sukuma gang wapo ikulu, warudi kwani wametoka lini? Ngoja 2025 utajua hujuiGod is not a man
Sukuma Gang msitegemee kurudi ikulu hata Kama ni kwa dawa mlipewa nchi mkaishia kuua watu
Sukuma gang wapo ikulu, warudi kwani wametoka lini? Ngoja 2025 utajua hujui
Hawajitambui wanaomtukana maana hawaijui hasira iliyoko mioyoni mwa watanzania.Endeleeni kuota
Aahaah! Kumbe unahuluka za kijinga licha ya I,d yako nzuri!God is not a man
Sukuma Gang msitegemee kurudi ikulu hata Kama ni kwa dawa mlipewa nchi mkaishia kuua watu
Kuna sauti nadhani ilikuwa ikimuashiria hivyo mkuu!Kwa Kasi yake Ile ya kufanya KAZI usiku na mchana,
Ni kama alijua hatoishi muda mrefu.
Na ndio maana mpaka sasa Chadema mnaenda kwake Ujerumani kumuomba arudi kututawala upya!Hata mkoloni aliacha mareli, mashule nk.