Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Watu wanatembea na maradhi ila mara nying inakua ni siri kati yao na watu wao wa karibu, kwa mtu baki unaweza kudhani ni ghafla kumbe mtu ni mgonjwa miaka na miaka anahesabiwa siku tuuu
 
Vipi jf members ambao wamekata moto na hatujui!! Na bado, 70yrs from now tutakuwa tumepukutika wote tuliopo humu.
 
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mh Tundu Lisu anasema " Magufuli alikuwa anatuambia Kila Siku Watanzania siyo Wajinga hivyo Wanachadema msikubali kufanywa Wajinga"

Mbowe anasema " miaka 11 ya Uongozi wangu ilikuwa ya baridi tu ila Joto lilianza kwenye Utawala wa Magufuli na pale ndipo tulifundishwa na kuanza Siasa za upinzani"

Mbowe a asisitiza " Magufuli aliniahidi Kila aina ya cheo nikamkatalia"

Jiwe walilolikataa Waasi limekuwa Jiwe Kuu la Pembeni

Dominica Njema 🌹😀
 
Magufuli japo alikuwa hasikilizi ushauri, lakini alifanya mambo makubwa, Tundu Lissu ni kama Magufuli na zaidi ya Magufuli Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!

Magufuli alikuwa ni mkweli na hakopeshi, Tundu Lissu pia ni mkweli na hakopeshi Tundu Lissu kama JPM, ni mtu mkweli. Asema ukweli jinsi ukomo wa uongozi ulivyoyeyuka CHADEMA

Tofauti ya Tundu Lissu na Magufuli, Magufuli alikuwa ni mkweli aliyenyooka, hapindishi pindishi, Lissu ni mkweli ila pia ni muongo muongo, ile kauli ya Rushwa Chadema kutaka kuhongwa na Abdul na Mama yake, kumbe ni uongo mtupu!, ukweli ni huu
 
Sitakuwa na maneno mengi...

"Inashangaza sana watu wasio wema, kuutupilia mbali wema wote uliofanywa na Shujaa Magufuli, wasiompenda walikuwepo na wapo na ninashawishika kusema kwamba, wanatumia kila mbinu kuidondosha legacy ya huyu Mwamba".....

Pamoja na ufidhuli wa kuupindua wema huo, wale wachache wenye mapenzi mema na Magufuli, njooni hapa tunene na kujikumbusha mazuri yote ya Mwamba huyu...

Tafadhari, wale wenye mtazamo tofauti, fungueni nyuzi zenu.
 
Mwamba aliipigania nchi kwa moyo wake wote wa kizalendo africa itamlilia daima ndio maana anayejua mazuri yake alisema kazi iendelee!
 

Attachments

  • 20240627_162057.jpg
    20240627_162057.jpg
    72.3 KB · Views: 1
View attachment 1734652
Picha: Hayati Rais Magufuli enzi uhai wake

This is a special thread and a tribute to the late J.P.M.

Najua tupo katika kipindi cha masikitiko kama taifa, Jemedari wetu amefariki dunia, kama lisemavyo neno la Mungu katika kitabu cha biblia kuwa mfalme hawezi kuokolewa kwa na jeshi lake kubwa bali ni Bwana hutuponya na mauti (Zaburi 33:16), yaliyoandikwa yametimia Mungu amlaze mahala pema peponi.

Hakika tutammiss, kama ule usemi usemao umuhimu wa mtu huonekana zaidi asipokuwepo.

Yafuatayo ni mambo aliyonikosha J. P. M (R. I. P).

1. Nidhamu kwenye taasisi za serikali, kuanzia matumizi, utendaji wa kazi na utoaji wa huduma.

2. Msimamo bila kujali nchi nyingine zimeamuaje, kimsingi maamuzi mengi yalifanywa kuzingatia maslahi ya nchi sio mkumbo ( i.e chanjo ya corona).

3. Super-Mega projects zenye maslahi ya muda mrefu, S.G.R, Nyerere, Mwendokasi n.k.

4. Kuwanyoosha majirani zetu walizoea kutuibia na kutuchezea michezo ya ajabu ajabu.

5. Kuleta siasa za kuambiana ukweli na sio za kubembelazana hovyo.

6. Kukomesha ujambazi na matukio ya kihalifu majumbani.

7.

Itaendelea...

PIA SOMA>> TANZIA - Rais John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar
kwa mauaji wa wapinzani wake
 
Think of the following.

1. He killed ben saanane using his own gun
2. He killed azory gwanda using his own gun
3. He abducted Mo and forced him to disburse money
4. He was about to rape his depute and his wife was about to run away
5. He killed Ben mkapa because of his criticisms on him
6. He was about to kill kikwete, thanks to the minister of home affairs by that time
7. He killed the economy and forced us to call it the upper economy.
8. He banned all employment vacancies
9. He raised the charge of heslb from 3% to 15%.
10. He put forward the retention fee to graduates etc.
photo-output.jpeg
 
Back
Top Bottom